Huyu ndiyo Rais Kagame nimpendae kutokana na IQ yake Kubwa

Nina uhakika 99% ya Watu ( Watanzania ) wanaomchukia Rais wa Rwanda Paul Kagame Mioyoni mwao
Uhakika wa hizo takwimu umeutoa wapi?
Unampenda sana kuchonganisha Tanzania na Rwanda wewe .Sijui una Tatizo gani .Moderators mpigeni ban huyu

Anakula na Kunya Tanzania sio Rwanda lakini kutwa anaiponda Tanzania na kuichonganisha na Rwanda
 
Nimpende, nimkubali ama la, haitatokea awe rais wangu. Ya nini kujishughulisha naye?
 
Watutsi ndio wanamkubali that war monger na mumiani.
 
Kwa lugha nyingine ni kwamba hapo alimtukana Mstaafu wenu Mswahili kuwa hana Akili na Mimi GENTAMYCINE naungana nae Rais Kagame 100%.
 
Changamoto kweli ipo
 
Huo ndio mtihani, na inatia Shaka unapoona anang'ang'ania, hataki hata mpinzani au mbadala wake. Je akiondoka, kuna atakayeendeleza mazuri anayofanya au ni muendelezo wa ubinafsi na kujiona yeye ndio kila kitu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…