Huyu ndiyo Rais Kagame nimpendae kutokana na IQ yake Kubwa

Huyu ndiyo Rais Kagame nimpendae kutokana na IQ yake Kubwa

Nina uhakika 99% ya Watu ( Watanzania ) wanaomchukia Rais wa Rwanda Paul Kagame Mioyoni mwao
Uhakika wa hizo takwimu umeutoa wapi?
Unampenda sana kuchonganisha Tanzania na Rwanda wewe .Sijui una Tatizo gani .Moderators mpigeni ban huyu

Anakula na Kunya Tanzania sio Rwanda lakini kutwa anaiponda Tanzania na kuichonganisha na Rwanda
 
"It is unacceptable that Ukraine a Country of 44 Milion people will feed Africa a Continent of 1.4 billion people. I promise all Rwandans that Rwanda will attain Food self sufficiency before 2025. I have authorized 1 billion dollars worth of Farming Materials, and all Logistics involved in boosting up our Farming industry" President Kagame.

Ukiona tu GENTAMYCINE nampenda ( namkubali ) sana Mtu jua nimeshampima na Kujiridhisha pasi na Shaka kuwa ni Mwerevu ( Genius ) na Visionary kuliko Watu wengine.

Nina uhakika 99% ya Watu ( Watanzania ) wanaomchukia Rais wa Rwanda Paul Kagame Mioyoni mwao Wanampenda, Wanamkubali na wanatamani hata Siku moja tu aje Kuiongoza Tanzania ili iwe Tajiri haraka ( kuliko ilivyo sasa ) kwa kutumia vyema Rasilimali zake.

Hivi kwa Madini kama haya ya Rais Kagame ukiwa kweli una Akili utaachaje Kumpenda na Kuwakumbatia tu akna Van Dame wa Zanzibar?
Nimpende, nimkubali ama la, haitatokea awe rais wangu. Ya nini kujishughulisha naye?
 
Binafsi namkubali sana PK. Anamisimamo yake yuko very strong. Ameijenga vyema Rwanda kuna street kama upo cape town yaani very smart though anaongoza sehemu ndogo ambayo haina resources kiviile.
Nakumbuka kamsemo kake kale ka kejeli ati ye angepatiwa tu bandari ya dar tungeona maajabu yake.
Kwa lugha nyingine ni kwamba hapo alimtukana Mstaafu wenu Mswahili kuwa hana Akili na Mimi GENTAMYCINE naungana nae Rais Kagame 100%.
 
Kila mtu anajua kagame ni smart kiasi cha kuendesha uchumi wa nchi yake ambayo ni sawa na wilaya katika mkoa wa morogoro kwa miaka zaidi ya 25 successfully

Kama yupo visionary & charismatic, nataraji kuwa ameshatengeneza strong system au succession plan itakayofanya kazi kipindi atakapofariki au atakapotoweka maana huo ndio ugonjwa wa viongozi wa kiafrika
Huo ndio mtihani, na inatia Shaka unapoona anang'ang'ania, hataki hata mpinzani au mbadala wake. Je akiondoka, kuna atakayeendeleza mazuri anayofanya au ni muendelezo wa ubinafsi na kujiona yeye ndio kila kitu?
 
Back
Top Bottom