Blessed Keinerugaba
JF-Expert Member
- Nov 16, 2011
- 4,754
- 4,746
Ubarikiwe mtumishi wa MUNGU. Ni ujumbe mzito sana. GOD bless.Bado unauliza ni Mungu wa aina gani wakati unakula, na kushiba na una viungo vilivyokamilika vya kukuwezesha kujipatia riziki?
Always unapojisikia upo desperate, ama haupo unapotaka kuwepo maishani hebu waangalie wa chini yako. Angalia wanavyostruggle. Halafu mlani shetani na umshukuru Mungu kwa alipokufikisha.
Angekuwa na Kasoro ya Kuzaa viwete na Vipofu wewe ungekuwa ni Kipofu au Kiwete hapo Ulipo. Na Duniani Tungejaa watu ambao si Kamilifu. Tungerithi Hayo Mapungufu ya Kuwa Kiwete na Kipofu kutoka KwaoThibitisha kuwa kiumbe wa Kwanza alikua hana kasoro yeyote?
Na wanaozaliwa na kasoro hawajaumbwa na Mungu
Amen.Ubarikiwe mtumishi wa MUNGU. Ni ujumbe mzito sana. GOD bless.
Upp sehemi gani mkuu, nataka twende ocean road mara moja.Wakuu
Najitahidi sana kufanya kazi kwa bidii kwa miaka kadhaa hapo nyuma mpaka leo mwaka wa tano huu bila kutetereka.
Kama ni kuumia nimeumia sana. Kuna muda nafikia stage najiuliza ya kwamba hivi kama yupo MUNGU wetu tunayemuabudu, kumuimba na kumsifu kila uchao, je anaweza niacha naendelea kuteseka namna hii?
Kufanya nini mkuu mimi nipo domUpp sehemi gani mkuu, nataka twende ocean road mara moja.
Majibizano yasiyo na mantiki yeyote nayafunga .Tumia Akili tu Ndugu yangu. Ni sawa na Kuuliza kama Nina Wazazi wakati Unajua Lazima Nizaliwe kwani Wewe ulishamuona Huyo Mungu mbona Unasema Anaumba !?
Ukawaone wenzio wenye cancer we SI unajitoa ufahamuKufanya nini mkuu mimi nipo dom
ngoja Niache Nteseke atusaidieWakuu