Inshallah maalimBado hawajauana tu?Wauane tule ubwabwa maharage.
Eti kwa dhihaka kabisa anahoji Salum Mwalimu kugombea nafasi ya Uraisi, pia anamdhihaki eti Luhaga mpina kugombea nafasi ya uraisi kupitia ACT!!
Yaani anawaona kama vile sio watu wenye sifa.
Huyu jamaa kweli anajielewa?
Anajielewa sana,shida iko kwako ambaye hutaki kumuelewa!Eti kwa dhihaka kabisa anahoji Salum Mwalimu kugombea nafasi ya Uraisi, pia anamdhihaki eti Luhaga mpina kugombea nafasi ya uraisi kupitia ACT!!
Yaani anawaona kama vile sio watu wenye sifa.
Huyu jamaa kweli anajielewa?
Kwahiyo level ya uraisi ni nani?Anajielewa sana,shida iko kwako ambaye hutaki kumuelewa!
Huyo Salum na mpina level yao ni ubunge tu sio urais..
Anawajua kuliko wewe unavyowafahamu
Hao hawana hiyo hadhi,na hata aliyepo madarakan hana pia.Kwahiyo level ya uraisi ni nani?
Nani ndio mwenye hadhi?Hao hawana hiyo hadhi,na hata aliyepo madarakan hana pia.
Aliyefaa kugombea ni Kingwendu Ngwendulile.Nani ndio mwenye hadhi?
Kila mtanzania mwenye Umri zaidi ya miaka 40 anayo haki ya kikatiba kugombea nafasi ya URAISI.
imashangaza leo hii Polepole anwadhihaki kina Mpina na Mwalimu!!!
Hana hoja bali anafanya viroja.Kama kweli unatumia vizuri akili yako basi Pole pole ana hoja
C anajua vema chauma na act ni matawi au hilo ww hujui!!??Eti kwa dhihaka kabisa anahoji Salum Mwalimu kugombea nafasi ya Uraisi, pia anamdhihaki eti Luhaga mpina kugombea nafasi ya uraisi kupitia ACT!!
Yaani anawaona kama vile sio watu wenye sifa.
Huyu jamaa kweli anajielewa?
Mkuu, weka hitimisho, wewe unawaonaje?Eti kwa dhihaka kabisa anahoji Salum Mwalimu kugombea nafasi ya Uraisi, pia anamdhihaki eti Luhaga mpina kugombea nafasi ya uraisi kupitia ACT!!
Yaani anawaona kama vile sio watu wenye sifa.
Huyu jamaa kweli anajielewa?