Huyu polepole mbona anadharua mbaya sana kwa binaadamu wenzake?!

Mkuu, weka hitimisho, wewe unawaonaje?

Uwezo wa aliyekuwa mgombe Uraisi wa CHAUMA mwaka 2015 mzee Hashimu Rungwe huwezi kumfananisha na SALIM MWALIMU kijana na mwenye uwezo wa kujenga hoja na mwenye uwezo wa kushawishi.
Luhaga Mpina wa ACT ni kina pia mwenye uwezo wa kujenga hoja na mwenye uwezo wa kushawishi.
Wote wanajimudu sana.
 
Wewe nawe ulieleta huu uzi ni mpumbavu nambari wani, sasa hio ni rocket science ??? Huyu huyu Mwalimu mganga njaa aliesema walidanganya kuhusu no reform no election anaeza kupambania urais kweli??? Na huyu Mpina ni mpambanaji lakini qualities za kupambania urais akapigiwa kura hamna hapo. Huo ndio ukweli.
 
LISU mlopokaji mzee wa kukurupuka ndio unamuona anafaa!! Kichwa panzi!!!
Angalia rekodi yake alipo kuja kugombea uraisi mwaka 2020 dhidi ya Hayati Magufuli! hakuna kitu Lisu aliishia kukimbilia ubalozini kisha akasepa.

Mwaka huu LIsu kajinyima.mwenye haki ya kugombea uraisi kwa kulopoka mambo ambayo sio sahihi kisheria....sasa anakabiliwa na makosa ya uhaini.
 
Uwezo wa aliyekuwa mgombe Uraisi wa CHAUMA mwaka 2015 mzee Hashimu Rungwe huwezi kumfananisha na SALIM MWALIMU kijana na mwenye uwezo wa kujenga hoja na mwenye uwezo wa kushawishi.
Luhaga Mpina wa ACT ni kina pia mwenye uwezo wa kujenga hoja na mwenye uwezo wa kushawishi.
Wote wanajimudu sana.
Mkuu, basi ni vyema, ngoja tuwasikilize kwenye hoja zao kwenye mikutano ya kujinanadi.
 
Uwezo wa aliyekuwa mgombe Uraisi wa CHAUMA mwaka 2015 mzee Hashimu Rungwe huwezi kumfananisha na SALIM MWALIMU kijana na mwenye uwezo wa kujenga hoja na mwenye uwezo wa kushawishi.
Luhaga Mpina wa ACT ni kina pia mwenye uwezo wa kujenga hoja na mwenye uwezo wa kushawishi.
Wote wanajimudu sana.
Hao wawili waliwahi kujenga hoja zipi hadi zikakushawishi?
 
Eti kwa dhihaka kabisa anahoji Salum Mwalimu kugombea nafasi ya Uraisi, pia anamdhihaki eti Luhaga mpina kugombea nafasi ya uraisi kupitia ACT!!
Yaani anawaona kama vile sio watu wenye sifa.
Huyu jamaa kweli anajielewa?
Wote hao sio Presidential material.
Ukiondoa unafiki, iwekwe kadi ya CCM na hao wagombea, nani anashinda?!
 
Eti kwa dhihaka kabisa anahoji Salum Mwalimu kugombea nafasi ya Uraisi, pia anamdhihaki eti Luhaga mpina kugombea nafasi ya uraisi kupitia ACT!!
Yaani anawaona kama vile sio watu wenye sifa.
Huyu jamaa kweli anajielewa?
Nawewe ni great thinker?
 
Yeye ana details ya kinachoendelea, anayajua fika haya maigizo yanayoendelea ndo maana akahoji
 
LISU mlopokaji mzee wa kukurupuka ndio unamuona anafaa!! Kichwa panzi!!!
Angalia rekodi yake alipo kuja kugombea uraisi mwaka 2020 dhidi ya Hayati Magufuli! hakuna kitu Lisu aliishia kukimbilia ubalozini kisha akasepa.

Mwaka huu LIsu kajinyima.mwenye haki ya kugombea uraisi kwa kulopoka mambo ambayo sio sahihi kisheria....sasa anakabiliwa na makosa ya uhaini.
Kumbe wewe mpumbavu tu. Hasira zote hizo kumbe lengo lako umshambulie Tundu Lissu ambaye japo mmemfunga bado mnateseka naye.

Yaani unawaona hao akina Samia, mwalimu na mpina ni presidential material kuliko TAL? Hopeless kabisa.

Rekodi yake 2020 unayoijua kwa akili yako ndogo ni ipi?

Hiyo haki ya kugombea urais kajinyimaje na lini kwa kuropoka mambo gani yasiyo sahihi kisheria? Ni sheria gani hiyo aliyoivunja? Ni mahakama/chombo gani kilitoa conclusion kwamba "TAL kutokana na kuropoka mambo yasiyo sahihi kisheria kajinyima mwenyewe haki ya kugombea urais"?
 
We umetokea nchi gani?
Yeye ana details ya kinachoendelea, anayajua fika haya maigizo yanayoendelea ndo maana akahoji

anajua nini zaidi ya
Yeye ana details ya kinachoendelea, anayajua fika haya maigizo yanayoendelea ndo maana akahoji
hana cha details wala nn, walisha m disconnect kitambo sana, tangu 7march.
 
Eti kwa dhihaka kabisa anahoji Salum Mwalimu kugombea nafasi ya Uraisi, pia anamdhihaki eti Luhaga mpina kugombea nafasi ya uraisi kupitia ACT!!
Yaani anawaona kama vile sio watu wenye sifa.
Huyu jamaa kweli anajielewa?
Ni haki yake ya kikatiba.

Jenga hoja, Salum Mwalimu amefanya nini kustahili urais?

Watanzania wangapi waliwahi kumsikia Salum Mwalimu kabla ya kugombea urais?

Kwa nini unapigia sana mstari heshima bila kujali ukweli?
 
Back
Top Bottom