Huyu polepole mbona anadharua mbaya sana kwa binaadamu wenzake?!

Huyu polepole mbona anadharua mbaya sana kwa binaadamu wenzake?!

Eti kwa dhihaka kabisa anahoji Salum Mwalimu kugombea nafasi ya Uraisi, pia anamdhihaki eti Luhaga mpina kugombea nafasi ya uraisi kupitia ACT!!
Yaani anawaona kama vile sio watu wenye sifa.
Huyu jamaa kweli anajielewa?
Urais wa nchi siyo kwa kila mtu. Sijui kwa nini ngozi nyeusi akiambiwa hana sifa za kuwa rais anakasirika kama ni tusi. Unaweza kuwa na akili au msomi au tajiri au umekamilika mambo mengi lakini huna uwezo wa kuwa kiongozi.
 
Eti kwa dhihaka kabisa anahoji Salum Mwalimu kugombea nafasi ya Uraisi, pia anamdhihaki eti Luhaga mpina kugombea nafasi ya uraisi kupitia ACT!!
Yaani anawaona kama vile sio watu wenye sifa.
Huyu jamaa kweli anajielewa?
Wewe unaonaje? Basi shauri afunguliwe kesi ya UGAIDI/ uhaini tena kwa hati ya dharura. Mwambie msajili chap hapo akafungue kesi kwa huyu polepole. Tena anyongwe mpaka kufa
 
Back
Top Bottom