Huyu raia Godwin Gondwe amepata wapi ujasiri wa kuvaa sare za JWTZ?

Huyu raia Godwin Gondwe amepata wapi ujasiri wa kuvaa sare za JWTZ?

Gwanda la JWTZ lilishapoteza heshima yake,siku hizi limekuwa kama nguo ya kawaida tu
 
Nguo aliovaa Gondwe sio sare ya JWTZ kwasababu ni T~SHIRT na Kofia za kawaida ; nguo ambazo leo hii mtu anaweza akaenda kwenye duka la MACY's au JC PENNY huko marekani au Canada na akanunua hizo nguo bila taabu yoyote!!! Ni ushamba na lack of exposure ndio inawasumbua watu; Gondwe angevaa tepe mabegani hapo mgekuwa na jambo la kudadisi!! Hizo Nguo za mabaka mabaka ni za kawaida sana ulaya na marekani kwa wenzetu. Waulizeni mabalozi wenu.
Sheria inasema ivyo sasa sijui labda mm sijaelewa kidhungu
20191030_103958.jpeg
 
Nguo aliovaa Gondwe sio sare ya JWTZ kwasababu ni T~SHIRT na Kofia za kawaida ; nguo ambazo leo hii mtu anaweza akaenda kwenye duka la MACY's au JC PENNY huko marekani au Canada na akanunua hizo nguo bila taabu yoyote!!! Ni ushamba na lack of exposure ndio inawasumbua watu; Gondwe angevaa tepe mabegani hapo mgekuwa na jambo la kudadisi!! Hizo Nguo za mabaka mabaka ni za kawaida sana ulaya na marekani kwa wenzetu. Waulizeni mabalozi wenu.
Na wale wanao chakazwa kuvaa hata bukta yenye mabaka unawazungumziaje
 
That's what is known as IMPUNITY, a weakness that is so rampant in this government esp among the ruling elites.
 
Na wale wanao chakazwa kuvaa hata bukta yenye mabaka unawazungumziaje

Wanaonewa, sheria haisemi hivyo!! Sheria inasema kama utavaa nguo hizo na ukajifanya wewe ni askari hilo ni kosa lakini sio kuvaa kama nguo ya kawaida!! Ni pale unapotaka kufanya uhalifu kwa kutumia nguo inayofanana na sare ya askari.
 
Uongo utakusaidia nini ? mtatetea hadi uharo ili mjikimu wanafiki wakubwa nyie , mbona raia wengine wanadhalilishwa na hukuwahi kuwatetea kwamba hawakuvaa nguo za jeshi ?

Kuwakamata kama hawajajifanya kuwa wao ni wanajeshi kwa matendo yao ni makosa!! Pale ambapo raia anavaa nguo ambazo atawahadaa raia wengine kuwa yeye ni mwanajeshi hilo ndio kosa;lakini kuvaa nguo yenye mabaka mabaka inayofanana na sare za Jeshi sio makosa! Kumbuka Gondwe amevaa nguo zinazofanana na sare za Jeshi lakini sio sare za jeshi , tofautisha!
 
Labda kwa kuwa yeye ndiyo mwenyekiti wa ulinzi na usalama basi huenda anaruhusiwa

Ila hivi kwanini huwa wanapenda kuvaa za JW tu!! za magereza au zimamoto hawazipendi??
hzo sare nyingine ukivaa Raia wanahisi unafanya kazi kampuni ya ulinzi
 
skia ww acha kujiona mjuaji.....sheria za marekani na bongo n tofaut kabisa na ndo mana marekan unaweza rekod wimbo/video ukiwa na full combat ya jesh .....unaweza pita madukan na kukuta kombat za jesh full zinauzwa...
je tz kuna duka la kufanya hvyo????
marekan raia wanaruhusiwa kuvaa sare za jeshi ..je tz wanaruhusiwa??

Sharia za Tanzania hazikatazi mtu kuvaa nguo za mabaka mabaka zinazoshabihiana na sare za Jeshi!! Ni pale mtu anapovaa sare za jeshi na kujifanya mwanajeshi ndipo hapo anavunja sheria!! Leo hii mtu akinunua nguo ya mabaka mabaka kwenye mtumba kumkamata ni kumuonea kama hajafanya kosa jingine.
 
Wanaonewa, sheria haisemi hivyo!! Sheria inasema kama utavaa nguo hizo na ukajifanya wewe ni askari hilo ni kosa lakini sio kuvaa kama nguo ya kawaida!! Ni pale unapotaka kufanya uhalifu kwa kutumia nguo inayofanana na sare ya askari.
Mimi ninabukta hapa naogopa kuivaa kabisaaa.

Itaozea ndani
 
Attachments

  • IMG_20191030_172650.jpg
    IMG_20191030_172650.jpg
    207.2 KB · Views: 2
Mimi ninabukta hapa naogopa kuivaa kabisaaa.

Itaozea ndani

Huo ni woga wako tu, hiyo bukta yako ni designer bukta na bila shaka ina nembo yake hivyo hawawezi kukukamata kuwa umevaa sare ya jeshi!! Mimi Nina bukta na ninaivaa kila nikitaka weekend na sijawahi kuulizwa kwani ina nembo ya designer. Hata hivyo ukiivaa huendi kujimwambafy kuwa wewe ni askari. Tatizo linakuja pale watu wanavaa nguo zinofanana au sare za askari na kwenda kufanya uhalifu!
 
Back
Top Bottom