Mkonowatembo
JF-Expert Member
- Sep 25, 2016
- 1,107
- 1,012
Mwenyekiti wa usalama wa wilayaUkishindwa mambo madogo kama haya utaweza nini ?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwenyekiti wa usalama wa wilayaUkishindwa mambo madogo kama haya utaweza nini ?
Hilo nalo neno. zipo sare nyingi tu: za Trafiki, za wafungwa, za Shule, za kwaya, mbona wanapenda za JW tu? kweli hapo una hojaIla hivi kwanini huwa wanapenda kuvaa za JW tu!! za magereza au zimamoto hawazipendi??
Huyo ni mwakilishi wa Rais ngazi ya wilaya
Tatizo hata jeshi letu linapata amri toka mhimili fulani1. DC Gondwe amepataje credential za kuvaa sare za JWTZ?
2. Nani amempa DC Gondwe sare za JWTZ?
3. Sheria inasemaje kuhusu matumizi ya sare za JWTZ?
Kama kuna katazo hili la raia kutokuvaa sare za jeshi, kwanini hili limefanyika ?
Ndiwo mkuuDuh mkuu, kwa hiyo tuseme ni amiri jeshi wa wilaya?
ni wivu tuHizo ukivaa automatic unakuwa umejimwambaFY.
Nyerere alikuwa anapiga kombati za mgamboLabda kwa kuwa yeye ndiyo mwenyekiti wa ulinzi na usalama basi huenda anaruhusiwa
Ila hivi kwanini huwa wanapenda kuvaa za JW tu!! za magereza au zimamoto hawazipendi??
Tatizo hata jeshi letu linapata amri toka mhimili fulani
JWTZ ilikuwa zamani sio sasa
Nchi imeuzwa kwa mtu mmoja anafanya anavyotaka kwa kusaidiwa na akina bashite hapi n.k
Safari ni ndefu sana.
Nguo aliovaa Gondwe sio sare ya JWTZ kwasababu ni T~SHIRT na Kofia za kawaida ; nguo ambazo leo hii mtu anaweza akaenda kwenye duka la MACY's au JC PENNY huko marekani au Canada na akanunua hizo nguo bila taabu yoyote!!! Ni ushamba na lack of exposure ndio inawasumbua watu; Gondwe angevaa tepe mabegani hapo mgekuwa na jambo la kudadisi!! Hizo Nguo za mabaka mabaka ni za kawaida sana ulaya na marekani kwa wenzetu. Waulizeni mabalozi wenu.
Usithubutu .Mimi ninabukta hapa naogopa kuivaa kabisaaa.
Itaozea ndani
Hapa ni ulaya? Acha usenge
Mkuu labda kwa katiba ya RwandaAmiri jeshi mkuu ngazi ya wilaya
Usithubutu .
Kigwangala anavaa za Askari Pori.Mwigulu mbona alivaa za Polisi?
Mie mbona huvaa za mgambo?
Nguo za JKT tulikuwa tunashtua tunatoka nazo uraiani ila kichapo cha huyo mtoto kingenifanya niwavae hata kuniua.Mambo ndio kama hivi..
Hata Afisa Mtendaji Kata na mwenyewe ni Mlinzi wa Amani katika kata yake!!Labda kwa kuwa yeye ndiyo mwenyekiti wa ulinzi na usalama basi huenda anaruhusiwa
Ila hivi kwanini huwa wanapenda kuvaa za JW tu!! za magereza au zimamoto hawazipendi??