Huyu raia Godwin Gondwe amepata wapi ujasiri wa kuvaa sare za JWTZ?

Huyu raia Godwin Gondwe amepata wapi ujasiri wa kuvaa sare za JWTZ?

Kwa mujibu wa KJMT Mh. Rais ni Amiri Jeshi Mkuu sasa mkuu wa Wilaya ni Amiri Jeshi pia au... kuwa mwakishi haimaanishi awe amiri jeshi wa wilaya kiongozi.
mkuu wa wilaya si ni mkuu wa ulinzi na usalama wa wilaya?
 
Alikuwa kwenye operesheni inayofanana na ya kisheshi. Yeye ni mkt wa ulinzi na usalama wilaya hivyo vyombo vyote vya ulinzi na usalama wilaya zinamhusu.
umenukuu ibara ya ngapi mkuu ? Hivi DC anaweza kuamuru vita ?
 
Hamna mwenye kakipande cha katiba humu, manake wote naona tunajibia uzoefu tu
 
Nguo aliovaa Gondwe sio sare ya JWTZ kwasababu ni T~SHIRT na Kofia za kawaida ; nguo ambazo leo hii mtu anaweza akaenda kwenye duka la MACY's au JC PENNY huko marekani au Canada na akanunua hizo nguo bila taabu yoyote!!! Ni ushamba na lack of exposure ndio inawasumbua watu; Gondwe angevaa tepe mabegani hapo mgekuwa na jambo la kudadisi!! Hizo Nguo za mabaka mabaka ni za kawaida sana ulaya na marekani kwa wenzetu. Waulizeni mabalozi wenu.
skia ww acha kujiona mjuaji.....sheria za marekani na bongo n tofaut kabisa na ndo mana marekan unaweza rekod wimbo/video ukiwa na full combat ya jesh .....unaweza pita madukan na kukuta kombat za jesh full zinauzwa...
je tz kuna duka la kufanya hvyo????
marekan raia wanaruhusiwa kuvaa sare za jeshi ..je tz wanaruhusiwa??
 
Mkuu wa wilaya ni rais wa wilaya, mkuu wa mkoa ni rais wa mkoa, rais hawezi kuwepo mahali pote muda wote.

Ndio maana lile agizo la kukamatwa Mzee Shamte lilitolewa na mkuu wa mkoa wa Tanga, akiongea kama muwakilishi wa rais mahali pale.

Maana nyingine ya kujimwambafy ni kutumia mamlaka kadri ya yanavyomtaka mtu ayatumie, miaka ya nyuma mamlaka yalidharauliwa kiasi cha hivi vyeo kuonekana ni vya kisiasa zaidi.
 
Back
Top Bottom