Bishweko
JF-Expert Member
- Sep 29, 2011
- 3,406
- 2,521
Apo Godwin Gondwe kavaa nguo za jeshi tu ajavaa sare ya jeshi mkuuBarua yenyewe imakaa shalo sana mtu yoyote asiye husika ni too General
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Apo Godwin Gondwe kavaa nguo za jeshi tu ajavaa sare ya jeshi mkuuBarua yenyewe imakaa shalo sana mtu yoyote asiye husika ni too General
Soma hilo onyo la JWTZ Makao Makuu Upanga halafu swali lako waulize waoKuna tatizo gani mtu yoyote akivaa mavazi yafananayo na ya kijeshi?
Zile haznogi xaxa utavaaje ya polisi au ya magereza? Yaan hautauza kabsaLabda kwa kuwa yeye ndiyo mwenyekiti wa ulinzi na usalama basi huenda anaruhusiwa
Ila hivi kwanini huwa wanapenda kuvaa za JW tu!! za magereza au zimamoto hawazipendi??
mkuu wa wilaya si ni mkuu wa ulinzi na usalama wa wilaya?Kwa mujibu wa KJMT Mh. Rais ni Amiri Jeshi Mkuu sasa mkuu wa Wilaya ni Amiri Jeshi pia au... kuwa mwakishi haimaanishi awe amiri jeshi wa wilaya kiongozi.
umenukuu ibara ya ngapi mkuu ? Hivi DC anaweza kuamuru vita ?Alikuwa kwenye operesheni inayofanana na ya kisheshi. Yeye ni mkt wa ulinzi na usalama wilaya hivyo vyombo vyote vya ulinzi na usalama wilaya zinamhusu.
Bora angevaa "green vest" nyekundu!Au zile za kaki, na zile nyeupe
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Labda kwa kuwa yeye ndiyo mwenyekiti wa ulinzi na usalama basi huenda anaruhusiwa
Ila hivi kwanini huwa wanapenda kuvaa za JW tu!! za magereza au zimamoto hawazipendi??
Au zile za kaki, na zile nyeupe
mkuu wa wilaya ya hai mbona huwa anavaa zle za kaki[emoji23][emoji23][emoji23]Au zile za kaki, na zile nyeupe
skia ww acha kujiona mjuaji.....sheria za marekani na bongo n tofaut kabisa na ndo mana marekan unaweza rekod wimbo/video ukiwa na full combat ya jesh .....unaweza pita madukan na kukuta kombat za jesh full zinauzwa...Nguo aliovaa Gondwe sio sare ya JWTZ kwasababu ni T~SHIRT na Kofia za kawaida ; nguo ambazo leo hii mtu anaweza akaenda kwenye duka la MACY's au JC PENNY huko marekani au Canada na akanunua hizo nguo bila taabu yoyote!!! Ni ushamba na lack of exposure ndio inawasumbua watu; Gondwe angevaa tepe mabegani hapo mgekuwa na jambo la kudadisi!! Hizo Nguo za mabaka mabaka ni za kawaida sana ulaya na marekani kwa wenzetu. Waulizeni mabalozi wenu.
Unatwambia hakuna mwanajeshi mlokole? Hapa Mbezi Beach, Tangibovu kuna Kanisa Mchungaji ni Afisa JWTZHalafu anajifanyaga mlokole huyo
Sijawahi ona mlokole akiwa ndani ya kombat za jeshi
Umenikumbusha enzi zangu JKT. Afande anakuita' We kuruta njoo hapa. Cockroach mende wewe'Bora angevaa "green vest" nyekundu!
Thubutuuuu!Mwigulu mbona alivaa za Polisi?
Mie mbona huvaa za mgambo?
sawa mr kiyuraKwa mujibu wa KJMT Mh. Rais ni Amiri Jeshi Mkuu sasa mkuu wa Wilaya ni Amiri Jeshi pia au... kuwa mwakishi haimaanishi awe amiri jeshi wa wilaya kiongozi.
hata wewe balozi wa nyumba 10 unaweza kuvaaKwa hiyo ata Mtendaji Wa kijiji anaruhusiwa kuvaa kwa sababu anamuwakilisha rais kwenye kijiji?