Huyu raia Godwin Gondwe amepata wapi ujasiri wa kuvaa sare za JWTZ?

Huyu raia Godwin Gondwe amepata wapi ujasiri wa kuvaa sare za JWTZ?

Mie napendaga zile nyeupe, ukivaa unakuwa kama malaika umetoka kwa Mungu au mjumbe toka Vatican kwa baba mtakatifu.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Kikatiba Mkuu wa Wilaya/Mkoa hana mamlaka juu ya JWTZ na ndio maana pindi akitaka kuwatumia katika Wilaya/Mkoa wake lazima aombe ruhusa kutoka Wizara ya Ulinzi, tofauti na anavyowatumia polisi anaweza mpa amri ya utendaji RPC au OCS na akatekeleza ila si kwa JWTZ
 
Nani alikudanganya!!!!amri ngumu ambayo haikaimiwi au kuwa na mbadara ni ya jeshi kuingia vitani.hiyo hatoi mtu mwingine isipokuwa rais pekee.

Vinginevyo jeshi linazisaidia taasisi nyingine za kiraia katika majanga ,uokoaji na dharula.ambazo zina wakuu wake.
 
Siyo kwa kupokea amri ya Mkuu wa Mkoa/Wilaya, hutuma maombi Wizara ya Ulinzi kupitia Wizara husika, ndio Jeshi hupewa amri. Hakuna mkuu wa mkoa/wilaya mwenye amri juu ya Mkuu wa Kambi aliyepo kwenye eneo lake la utawala. Unaweza nitajia vyeo vya watu wanaoingia kwenye kamati za ulinzi na usalama za wilaya/mikoa?
 
Kwake wale wasiomfahamu bwana mkubwa Gondwe ,mwaka 1997/8 tulikuwa naye kwenye uwanja wa damu nyegezi mwanza tukisaka nafasi ya kwenda jeshi la wananchi, Tukiwa mkoani tukiendelea na mchakato huo Gondwe alikosa furs hiyo na mwisho wake akaangukia radio free Africa kama mtangazaji mwanafunzi, kwa historical hiyo fupi angalau mmepata mwanga kidogo kuwa jamaa Toka zamani ndoto zake zilikuwa kuvaa kombati ikashindikana,so mwacheni ajilizishe tu kuvaa maana ilikuwa tamanio lake Toka siku nyingi ,
 
Back
Top Bottom