Huyu raia Godwin Gondwe amepata wapi ujasiri wa kuvaa sare za JWTZ?

Acha uzwazwa,wangapi wanakamatwa mtaani kwa kuvaa nguo hizo zisizo za JWTZ.
 
Huyu ni askari wa akiba wa muda mrefu tuu
Alianza kazi kama msafisha vyoo pale mwanza(hii alisema mwenyewe),akaja kutangaza Rfa,akaja IPP akajiendeleza kimasomo akaanza kufundisha chuo cha saut(Dar),huo uaskari aliufanya lini?
 
Licha ya ushamba, lakini pia hiyo siyo sare rasmi ya JWTZ. Ni sare ya kijeshi au mfanano wa nchi nyingine na Tena sidhani kama ni Africa South of Sahara. Hayo mabaka yanaanzia North Africa kuelekea nchi za mabeberu.
Vijana wangapi wanakamatwa mtaani kwa kuvaa nguo hizo zisizo za JWTZ,je umesahau hata Bongo Movie walipigwa beat wasivae nguo hizo?
 
Haujawahi kuona mtu anajifanya chizi, kumbe usalama!! Ulitegemea atakuambia yeye ni usalama?
 
Hata diamond JW walishataka kumdaka kwa kuvaa nguo za jeshi.Habari iko hapo chini:

Juzi, JWTZ ilisema kuwa wamewasiliana na Jeshi la Polisi ili kuchukua hatua za kisheria dhidi ya ‘Diamond Platnumz’ kutokana na kuvaa nguo za kijeshi akiwa jukwaani.

Katika taarifa hiyo iliyotolewa na jeshi hilo kutoka Makao Makuu yake Upanga, Dar es Salaam, ilieleza kuwa ni kosa kisheria kumiliki au kuvaa sare za JWTZ kwa mtu yeyote asiyehusika.

“Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) linatoa taarifa kwa wananchi wote kuwa ni kosa kisheria kumiliki au kuvaa sare za JWTZ kwa mtu yeyote asiyehusika. “Aidha, kumeonekana matukio kadhaa ya baadhi ya vikundi, ama mtu mmoja mmoja kumiliki au kuvaa sare za JWTZ. Inakumbushwa kuwa kwa yeyote atakayeonekana amevaa ama kumiliki sare hizo, sheria itachukua mkondo wake,” ilieleza taarifa hiyo ya JWTZ juzi.

Katika mazungumzo na simu na gazeti hili, Ofisa Habari wa Jeshi hilo, Meja Joseph Masanja, alifafanua kuwa kwa sasa tayari polisi wameombwa kuchukua hatua za kisheria dhidi ya tukio la Diamond na wenzake.

Meja Masanja alisema JWTZ imekuwa ikitoa elimu mara kwa mara ya kupinga uvaaji wa mavazi hayo kwa watu wasiokuwa wahusika, lakini wapo watu wanaoendelea kujivalia kama watakavyo.

Source:TSN
 
Haujawahi kuona mtu anajifanya chizi, kumbe usalama!! Ulitegemea atakuambia yeye ni usalama?
So huko ulikofundishwa ndio uliambiwa kwamba Usalama maana yake anakua ndio askari wa akiba?hahah

Rookies bana.
 
So wewe una exposure kuliko JW wenyewe sio?haya soma hapo chini:

JWTZ ilisema kuwa wamewasiliana na Jeshi la Polisi ili kuchukua hatua za kisheria dhidi ya ‘Diamond Platnumz’ kutokana na kuvaa nguo za kijeshi akiwa jukwaani.

Katika taarifa hiyo iliyotolewa na jeshi hilo kutoka Makao Makuu yake Upanga, Dar es Salaam, ilieleza kuwa ni kosa kisheria kumiliki au kuvaa sare za JWTZ kwa mtu yeyote asiyehusika.

“Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) linatoa taarifa kwa wananchi wote kuwa ni kosa kisheria kumiliki au kuvaa sare za JWTZ kwa mtu yeyote asiyehusika. “Aidha, kumeonekana matukio kadhaa ya baadhi ya vikundi, ama mtu mmoja mmoja kumiliki au kuvaa sare za JWTZ. Inakumbushwa kuwa kwa yeyote atakayeonekana amevaa ama kumiliki sare hizo, sheria itachukua mkondo wake,” ilieleza taarifa hiyo ya JWTZ juzi.

Katika mazungumzo na simu na gazeti hili, Ofisa Habari wa Jeshi hilo, Meja Joseph Masanja, alifafanua kuwa kwa sasa tayari polisi wameombwa kuchukua hatua za kisheria dhidi ya tukio la Diamond na wenzake.

Meja Masanja alisema JWTZ imekuwa ikitoa elimu mara kwa mara ya kupinga uvaaji wa mavazi hayo kwa watu wasiokuwa wahusika, lakini wapo watu wanaoendelea kujivalia kama watakavyo.

Source:Tsn
 
Wengi wao ni form four failures!

Hata problem solving skills hawajui!

Kitu kidogo maguvu tele!
 
Licha ya ushamba, lakini pia hiyo siyo sare rasmi ya JWTZ. Ni sare ya kijeshi au mfanano wa nchi nyingine na Tena sidhani kama ni Africa South of Sahara. Hayo mabaka yanaanzia North Africa kuelekea nchi za mabeberu.
Hata hivyo ni kosa la jinai kuvaa nguo za jeshi au nguo zinazofanana na nguo za jeshi!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…