Huyu raia Godwin Gondwe amepata wapi ujasiri wa kuvaa sare za JWTZ?

Hapo alikuwa kwenye operation ya kijeshi mkuu halafu kavaa t-shirt na siyo kombat
 
Huyo ndio mwenyekiti wao wa ulinzi na usalama hivo ni ruksa kuvaa hata za gauni za askari akitaka uniform yeyeto ruksa kwake
 
Rais wa Wilaya huyo. Awamu hii, Kila kitu kinawezekana.
Mbona hata Mkuu JP alipoingia madarakani alikuwa akizivaa sana hizo Uniforms!
Kwa msingi huo labda na yeye kafuata nyayo.
 
Hapa ni ulaya? acha ungese
 
Sikuwahi kufikiria kama huyo jamaa naye ni limbukeni kiasi hicho.

Hii ni mara ya pili namuona kavaa hivyo mbele ya camera cha ajabu wajenda walikuwa wanamchekea tu hiyo jana badala ya kumgaragaza hapo mtoni

Combats hazitofautiani sana na batiki,kwa nini wasivae hizo ili wawaunge akina mama wajasiriamali.
 
Aliyekwambia Uamiri jeshi unakaimishwa nani? Unajua majukumu ya Uamiri jeshi (sio uraia) nyie fisiem msituharibie nchi
 
Uongo utakusaidia nini ? mtatetea hadi uharo ili mjikimu wanafiki wakubwa nyie , mbona raia wengine wanadhalilishwa na hukuwahi kuwatetea kwamba hawakuvaa nguo za jeshi ?
 
DC Godwin Gondwe amevaa nguo za jeshi labda lakini ajavaa sare ya jeshi kama mleta hoja anavyosema.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…