Uchaguzi 2020 Huyu siyo Abood ninayemjua. Huwezi kuwa mwema utotoni ukawa shetani uzeeni

Abood,Gwajima na ote wanaotumia.ukwasi wao na kupitishwa bila ya kupingwa kama wanavyojitanabaisha.
Ndio hao wafishili wakubwa wanaoisaidia tawara hii.hadi wanagawa hela hovyo na kuzitumia.bila ya kuhoji.

Hebu jiulize.
Gwajima huyuhuyu aliekua anagombana wazwaz na mtoto wa pekee na mzee leo hii ote.aliowatukana wametulizwa na yeye.anapitishwa bila ya kupingwa.

Ukimuangalia jiwe siku ile anawasifia wajumbe kwa kazi nzuri,utaona kabisa hakua na laha usoni.
Kana kwamba kunakitu hakikua sawa .
 
Mimi nimekuelewa ninaishi morogoro.
 
Siasa za majitaka hizi....kwani wote wanaogombea wana shida na pesa wengine wanaenda kusaidia wananchi kama abood
 
unajua kama kuna ujenzi wa tanki la maji unaendelea... ukimaliza eneo la azimio... kwenye ule mlima unaonekana mbele ya lukobe kambi tatu...???
na kweli kwamba morogoro kuna shida ya maji.. na hili ni tatizo la muda mrefu tangu enzi za Dr Mzeru
 
unajua kama kuna ujenzi wa tanki la maji unaendelea... ukimaliza eneo la azimio... kwenye ule mlima unaonekana mbele ya lukobe kambi tatu...???
na kweli kwamba morogoro kuna shida ya maji.. na hili ni tatizo la muda mrefu tangu enzi za Dr Mzeru
Hio ishu ya Tanki la maji kujengwa nimeisiki tangu mwaka 2010 Hadi leo Hilo Tanki halijakamilika
 
Eti pesa yako ya nauli unampa. Kama niyako siungebaki nayo chiz ww?

Usimpangie matumizi kwenye pesa yake tafadhal
 
Si atatubu tu,tatizo liko wapi?,kikubwa apate huo ubunge kwanza,,,mungu ni msamehevu
Atamsamehe tu na ubunge atakua kapata....
 
Hio ishu ya Tanki la maji kujengwa nimeisiki tangu mwaka 2010 Hadi leo Hilo Tanki halijakamilika
Hapa ndio wanapokosea... lakini haimaanishi kwamba pangekuwa na mpinzani angeweza hayo mambo kwa wakati pia...
mfano nenda kasanga... juu kabisa kule... maji yamefika...
lakini tatizo kubwa la maji morogoro lipo kwenye kupata maji ya uhakika...
na hii ni kutokana na jinsi morogoro jinsi ilivyo na eneo kubwa... kihonda sio ndogo... ina wakazi wengi mno... na si kihonda pekee wanahitaji maji ya uhakika... kuna sehemu nyingine pia panahitajika maji yafike hata kama si ya uhakika... huku kukiwa kunasubiriwa mazingira mazuri ya upatikanaji wa maji ya uhakika...
kama unaijua vizuri jiografia ya morogoro utaelewa ugumu upo wapi...
angalia vyanzo vya maji vya morogoro vilipo... kisha angalia mji ulivyo...
 
Waluguru bado hamjajitambua ,Huyu jamaa kutoa basi moja kwa shughuli za misiba ndio maendeleo?
 
Waluguru bado hamjajitambua ,Huyu jamaa kutoa basi moja kwa shughuli za misiba ndio maendeleo?
Tatizo mmeona kutoa hizo basi kwaajili ya msiba...
mbona hamuongelei mambo mengine... maana hayo ya kutoa gari ni ya kawaida sana... ni jamaa alishaamua hilo kwenye ratiba zake... na si vinginevyo...
mbona huko Tanga kuna watu wenye mabasi hutoa ticket za bure kila ijumaa...
tafuteni hoja mumtoe huyo jamaa hapo morogoro mjini acheni majungu
 
Sisi kama wajumbe tunafikisha ujumbe,,huyo amewafunga kwa vitu vidogo vidogo so nyie kwa uelewa wenu mnaona amefanya maendeleo,shtukeni
 
Kitu ambacho hukielewi Ni kwamba hata Mafisadi huwa hayatafuti madaraka kwa ajili ya mshahara Bali kulinda Miradi na biashara zao. Anaamini akiwa Mbunge Ni vigumu kukamatwa kwa sababu za uhujumu uchumi au kuhisiwa kwa mambo Kama hayo.
 
hope humjui vyema mkuu binafsi nlishawahi kugusia hili huwezi kuua viwanda kwa makusudi tena mh amesahau kiwanda cha sabuni komoa af uwe na Nguvu ya kuja mbele kuhitaji kuwaongoza haohao ulowaondolea fursa ya ajira
 
Jamani wengine tupo mwisho wa dunia huku amefanyaje huyooo mbunge wa morogoro maana naona code mwanzo mwisho?
 
hope humjui vyema mkuu binafsi nlishawahi kugusia hili huwezi kuua viwanda kwa makusudi tena mh amesahau kiwanda cha sabuni komoa af uwe na Nguvu ya kuja mbele kuhitaji kuwaongoza haohao ulowaondolea fursa ya ajira
Mnaongea sana wakati hata ukipewa leo kiwanda hutaweza...
Simtetei Abood kwani hata kipindi kiwanda cha komoa kinafanya kazi alikuwa anawaumiza sana kimalipo wafanyakazi wake....hapo ndipo nilipomchukia...ila all in all alijaribu kitu ambacho wengi wetu hatuwezi.
 
ndo shida ya ss ngozi nyeusi unanipinga hapohapo unaniunga mkono!!ila ndo nature yao manake mpk leo ukimuliza mfanyakazi wa mo utapata huruma bt cheki anavyojitapua kuweka mapesa Simba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…