Leslie Mbena
JF-Expert Member
- Nov 24, 2019
- 207
- 677
Mimi Morogoro ipo moyoni,sisi watoto wa Morogoro tumekulia Morogoro kuishi tunakuja kuishi Dar maana Morogoro hakuna ajira,kwa hiyo Morogoro wapo wazee wetu tu,hili jambo linauma kwa kila aliyekulia Morogoro maana tukiwa wadogo Miaka ya 1980's tulikuwa tunaona viwanda vikiajiri maelfu ya watu,wakichukuliwa na bus asubuhi na kurudishwa jioni,Viwanda vya Vyombo vya Udongo (Ceramics) Moro Shoes,Polyster,Canvas,Moproco,Viwanda vya dawa za Kilimo,kiwanda Cha nyuzi za mkonge,Kiwanda cha ngozi.