Ndo wanaKopata ugali huku😄Ni aibu sana kuwa na mtu wa hivi... Aibu mpaka mwingine unawaza watu wa namna hii waliumbwa masaa yapi wakati wa uumbaji? Mtu anavaa hivi kabisa kuonesha ukada? Huyu utakuta choka mbaya amefika hapo kwa lift au kubebwa.
View attachment 3207309
Baba ndubwi mtupu huyoLucas mtupu huyu
mbona anafanana nawewe...🤣Lucas mtupu huyu
Acha wivu acha wapige pesaNi aibu sana kuwa na mtu wa hivi... Aibu mpaka mwingine unawaza watu wa namna hii waliumbwa masaa yapi wakati wa uumbaji? Mtu anavaa hivi kabisa kuonesha ukada? Huyu utakuta choka mbaya amefika hapo kwa lift au kubebwa.
View attachment 3207309
Vijana kama hao ni hasara kwa TaifaBora kufuga mbuzi ila sio kuwa na litoto la hivi
Nakuelewa. Ila siumii nikipuuzwa na jamii yenu.we wa kupuuzwa
Punde utasikia kala uteuzi wa mama AbdulCCM ina hazina kubwa sana ya wapumbavu na majuha
Kaka jamaa yupo kama punga flani hivi .Ni aibu sana kuwa na mtu wa hivi... Aibu mpaka mwingine unawaza watu wa namna hii waliumbwa masaa yapi wakati wa uumbaji? Mtu anavaa hivi kabisa kuonesha ukada? Huyu utakuta choka mbaya amefika hapo kwa lift au kubebwa.
View attachment 3207309
Furaha ya mtu usimpangie mtindo na vitu vya kuvaa. Akina JK au Samia ni viongozi wenye masharti ya uvaaji. Wengine hata wangekuwa mabilionea ili mradi sio Viongozi watavaa vyovyote ili mradi hawavunji sheria.Kama kunufaika na chama basi ni wakina JK, Samia na viongozi wakubwa wengine ila huwezi kuona wanafanya huo upuuzi, hao ni chawa tu , wanaweza kuuza chochote hao
Sio furaha huo ni uchawa, huyo hawezi kuwa na furaha na ccm kuliko wakina JK, huyo ni chawa anatafuta macho ya watu wammulikeFuraha ya mtu usimpangie mtindo na vitu vya kuvaa. Akina JK au Samia ni viongozi wenye masharti ya uvaaji. Wengine hata wangekuwa mabilionea ili mradi sio Viongozi watavaa vyovyote ili mradi hawavunji sheria.
Ndio avae hivyo kama spider kweli?Wewe una chuki zisizo na Sababu, yeye anajua ana nufaika vipi kuwa kada wa Chama Cha mapinduzi.
Nawewe kama utaona inafaa tafuta Chama na uonyeshe mapenzi yaliyo tukuka kwa icho Chama.
Kuwa chukia wengine haitabadili maisha Yako na kutafuta maradhi ya Moyo sababu ya chuki.
Chuki ni Sumu.
Mbunge wa kina Vunja bei...hahahaaa haahaaaaa!Ni aibu sana kuwa na mtu wa hivi... Aibu mpaka mwingine unawaza watu wa namna hii waliumbwa masaa yapi wakati wa uumbaji? Mtu anavaa hivi kabisa kuonesha ukada? Huyu utakuta choka mbaya amefika hapo kwa lift au kubebwa.
View attachment 3207309
... kwakweli CHADEMA inaigwa Kwa mengi!Ni aibu sana kuwa na mtu wa hivi... Aibu mpaka mwingine unawaza watu wa namna hii waliumbwa masaa yapi wakati wa uumbaji? Mtu anavaa hivi kabisa kuonesha ukada? Huyu utakuta choka mbaya amefika hapo kwa lift au kubebwa.
View attachment 3207309