I ain't concerned about your past, our business is from now onwards

Kweli kabisa. I agree with you
 
Siku pekee niliyosifiwa na mzee ni baada ya matokeo ya advance kutoka, maana nilifunika shuleni na centre tuliyokuwa tunaishi. Kwa hiyo dingi watu wakawa wanamsifu mpaka yeye mwenyewe akaniambia hongera. Only that one time.
Hahaha mzee wako alikuwa mgumu kutoa pongezi kama my sister, mimi alinipongeza mtihani wa form four huko nyuma hata ukiwa wa kwanza unaambiwa umekuwa wa kwanza kati ya wajinga na wewe unajiona wa maana hahaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…