Usimtajie mahari kubwa aisee ili akuoe vizuriAliwahi kufanya kazi EA redio katika kipindi cha EAST AFRICA DRIVE ndinga mpya town akiwa na David rwenyagira.
View attachment 3571508
Jamaa ana madini sana.
Sawa ndugu Dialo..Aliwahi kufanya kazi EA redio katika kipindi cha EAST AFRICA DRIVE ndinga mpya town akiwa na David rwenyagira.
View attachment 3571508
Jamaa ana madini sana.
safi sanaMimi ni good fan wa Kenyan radio stations na radio ninayosikiliza zaidi ni Classic 105 na Homeboys radio
The best presenter Kwa Kenya ni Maina Kageni ambae ana run show ya kashehe Kila siku asubuhi akiwa na Kingangi Churchil