Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haya sawa.Wao wangekuwa sio waoga wangetembea na mabunduki muda wote...?
Waziache bunduki waje kitaa kama walivyo waone.
[emoji87] [emoji87] [emoji85] [emoji15]Kaeni mbali isije ikatokea hii kitu![]()
teh...teh..bora babu umetoa draw nilikuwa nampango wa kukusemea kwa bibi kuwa wanakuchuna huku! lakini kwa hili nimekubaliAnhaaa... basi nchi yetu sio shithole bali baadhi ya viongozi wetu... hapo vipi?
Maneno ya mzee wa sheria yanatimia,alisema msidhani kuwa,mko salama kila wakatiAnayedhani yuko salama asikilize vizuri clip ya mama Aquilina akimwambia prof Ndalichako kwamba alikuwa akisikia kwenye vyombo vya habari watu wanauawa na polisi lakini hakutegemea hata siku moja kwamba hilo litatokea kwa mmoja Wa wanafamilia wake. AJIDHANIAYE AMESIMAMA AANGALIE ASIANGUKE.

Kwani analala nje, au barabarani, una maana gani, kabla ya hapo aliishi wapi?hivi kwanini tusiungane jf kumchangia huyu mzee rambirambi za kumjengea nyumba iwe ndo pole yetu na rambi rambi zetu
Kwani analala nje, au barabarani, una maana gani, kabla ya hapo aliishi wapi?