Ibada ya kuaga mwili wa Marehemu Akwilina: Padri Mayanga ataka aliyeua awekwe wazi, awaombe radhi Watanzania

Ibada ya kuaga mwili wa Marehemu Akwilina: Padri Mayanga ataka aliyeua awekwe wazi, awaombe radhi Watanzania

Pumzika kwa amani Akwilina. Kifo chako kimeliuzunisha taifa, kwa tamaa ya madaraka wameondosha uhai wako. Ni Mungu tu atoaye hukumu ya haki.

Neno lake linasema katika kitabu cha:
Kumbukumbu la Torati 32:35

''Kisasi ni changu mimi, na kulipa, Wakati itakapoteleza miguu yao; Maana siku ya msiba wao imekaribia, Na mambo yatakayowapata yatafanya haraka. ''

Tuzidi kuliombea taifa letu.
 
Polisi ndio watuhumiwa namba moja halafu ndio wanachunguza tena.

Hii nchi hii....!!!!
 
mamia wajitokeza Leo katika viwanja chuo cha usafirshaji N.I.T akiwemo mkuu wa mkoa wa DSM,John Munyika na waziri wa Elimu mam Ndalichako kuanga mwili wa Aqulina
da6382858b694af9708fd2dc410d1fac.jpg
c70b393db8c4e3a2f7077d7318348f12.jpg
22f21bb1ce91baaf6fa4096ba22e94f2.jpg
bfba96cb437546e9c44111f8b488af5a.jpg
 
RIP dada yetu Akwilina, tangulia tu,lakini sote tupo safarini, pamoja na huyo aliyekuwahisha kwa silaha.
 
Hivyo nchi hii ina waziri wa mambo ya ndani?
 
Kifo kwa mwanadamu ni lazima..namna ya kufa ni siri anayoijua Mungu..Kuna mtu kapigwa risasi zaidi ya 30 za kulengwa na anaishi..akwilin kapigwa risasi moja isiyo ya kumlenga amekufa..tafakuri ya ajabu..punguzeni siasa Mungu kachuma ua lake kwenye bustani kwa wakati muafaka
 
Padri sio kiongozi wa serikali ni wa kidini alitakiwa ajikite hapo tu akijua kuwa huyo mpiga risasi aweza kuwa mkatoliki ambaye aweza kuja kwake kuungama dhambi ya kuua.Mihemko ya kisiasa imemtoa kwenye reli ya upadre akaongea yasiyohusiana na upadre
ukiiweka pembeni kofia yake ya upadree aliyonayo ...ana simama kama mwananchi wakawaida mwananchi ambaye katiba tukufu ya nchi inamtambua kuwa ana haki yaupigaji kura na kumchagua kiongozi amtakaye na katiba hiyo hiyo inatambuwa kuwa ..ana haki yakutoa maoni kama vile ambavyo ungepaswa kutoa wewe maoni ama mwananchi yoyote yule wa taifa hili

sijui hii nayo utaipinga ..
hahaaa
 
Kifo kwa mwanadamu ni lazima..namna ya kufa ni siri anayoijua Mungu..Kuna mtu kapigwa risasi zaidi ya 30 za kulengwa na anaishi..akwilin kapigwa risasi moja isiyo ya kumlenga amekufa..tafakuri ya ajabu..punguzeni siasa Mungu kachuma ua lake kwenye bustani kwa wakati muafaka
Kukuita mshenzi najisikia vibayaaaa ILA sinabudiii unahisi UMEAMUA KUMWITA MTOTO WA WATU UA HUNA ADABU KABISA WALA MAANA .EMBU HESHIMU HIKI KIFO PLS KAMA BINADAMU...NAFIKIRI ZILE ADHABU ZA MUNGU KWA WALIOMUUA ZISIKUACHE HATA KIDOGO UZIONJE KWA MANENO YAKO
 
Kwanini unabishia kitu usichokijua
Padri analetaje falsafa kwa watu wasiojua falsafa? Principle za communication zinataka kuwa meseji iwe clear kwa hadhira unayoongea nayo unaleta falsafa kwa mtu kama mimi asiyejua falsafa ni kitu gani?Ni sawa na kalika daktari bingwa mkutano wa wabafalsafa halafu aongee terminologies za kidaktari bingwa wanafalsafa wattoka sifuri
 
Kukufuru ni dhambi lakini naomba niseme ukweli nachukia kuwa mtanzania, najutia kuzaliwa tanzania
 
Back
Top Bottom