Ibada ya kuaga mwili wa Marehemu Akwilina: Padri Mayanga ataka aliyeua awekwe wazi, awaombe radhi Watanzania

Si polisi wala mahakama wala serikali pia inayozungumzia kifo cha Akwilina zaidi ya kulipa visasi visivyo na maana ya kurudisha uhai wake.

Si watu wenye akili wala wapumbavu kama wewe wanaozungumzia chanzo cha sababu ya kifo cha Akwilina, zaidi ya kuongozwa na husda na ukosefu wa busara.

Ni kukosa haiba na uhalali wa kisiasa kufumbia macho mkurugenzi wa tumeya uchaguzi na mwajiriwa wake kubaki bila kuwajibishwa.

Mwisho kuacha kuwakemea polisi katika matumizi ya nguvu hasa matumizi ya risasi za moto kuzuia watu walio beba matawi ya miti.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwani marehemu Akwilina naye ana kesi mahakamani? Jo sometimes mahaba yanakutoa ufahamu na kufanya vitu vya hovyo
Jr[emoji769]
 
SHETANI umeanza KUZEEKA?
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mpumbavu ni baba Bigmind bwashee!
 
CHADEMA waseme nini? Mahakama imesema kesi ya mauaji ya Akwilina sio yao, hivyo aliyepaswa kusema ni DPP na jeshi la polisi, waseme askari aliyempiga risasi huyo binti yuko wapi na amechukuliwa hatua gani.
 
Haya maneno waambie wauaji.
Unawalaumu viongozi wa chadema BV ambao wamesingiziwa kesi na wamepewa hukumu ya uwongo wakati wauaji wako mitaani. Ulitegemea wasichangishane michango ili wasitoke gerezani? Au ni kivipi unataka wachangishane kimyakimya?

Kuwa mkweli, kemea wauaji na siyo hao wanaoonewa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wee mama naona mimba uliyo nayo inakuvuruga sana ubongo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…