Ibada ya kuaga mwili wa Marehemu Akwilina: Padri Mayanga ataka aliyeua awekwe wazi, awaombe radhi Watanzania

R.I.P Acha unafiq poolisi si walishakiri sasa kizungumzwe nini tena? Pitia hapa
Maandamano ya CHADEMA: Mwanafunzi wa mwaka wa kwanza NIT apigwa risasi na kufariki; Polisi wakiri kuhusika
FB_IMG_1583928026763.jpg
 
Hata yule Abdul Nondo wa ngome ya vijana sijamsikia akisema lolote kama huu ndio mwisho rasmi wa kufuatilia haki za Akwilina.

Ila kiukweli wanasiasa ni kama wala rushwa tu wamepofushwa macho, fikiria katika hitimisho la kesi kama hii mbwembwe za kulipiana faini zinatoka wapi?.......haikuwezekana kulipiana kimya kimya huku tukitafakari damu isiyo na hatia ya mtoto Akwilina iliyomwagika?

Tuzidi sana kumuomba Mungu atuletee amani ile atoayo yeye ya mbinguni.

Nawatakia Kwaresma yenye baraka!
Si polisi wala mahakama wala serikali pia inayozungumzia kifo cha Akwilina zaidi ya kulipa visasi visivyo na maana ya kurudisha uhai wake.

Si watu wenye akili wala wapumbavu kama wewe wanaozungumzia chanzo cha sababu ya kifo cha Akwilina, zaidi ya kuongozwa na husda na ukosefu wa busara.

Ni kukosa haiba na uhalali wa kisiasa kufumbia macho mkurugenzi wa tumeya uchaguzi na mwajiriwa wake kubaki bila kuwajibishwa.

Mwisho kuacha kuwakemea polisi katika matumizi ya nguvu hasa matumizi ya risasi za moto kuzuia watu walio beba matawi ya miti.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwani marehemu Akwilina naye ana kesi mahakamani? Jo sometimes mahaba yanakutoa ufahamu na kufanya vitu vya hovyo
Hata yule Abdul Nondo wa ngome ya vijana sijamsikia akisema lolote kama huu ndio mwisho rasmi wa kufuatilia haki za Akwilina.

Ila kiukweli wanasiasa ni kama wala rushwa tu wamepofushwa macho, fikiria katika hitimisho la kesi kama hii mbwembwe za kulipiana faini zinatoka wapi?.......haikuwezekana kulipiana kimya kimya huku tukitafakari damu isiyo na hatia ya mtoto Akwilina iliyomwagika?

Tuzidi sana kumuomba Mungu atuletee amani ile atoayo yeye ya mbinguni.

Nawatakia Kwaresma yenye baraka!

Jr[emoji769]
 
SHETANI umeanza KUZEEKA?
Hata yule Abdul Nondo wa ngome ya vijana sijamsikia akisema lolote kama huu ndio mwisho rasmi wa kufuatilia haki za Akwilina.

Ila kiukweli wanasiasa ni kama wala rushwa tu wamepofushwa macho, fikiria katika hitimisho la kesi kama hii mbwembwe za kulipiana faini zinatoka wapi?.......haikuwezekana kulipiana kimya kimya huku tukitafakari damu isiyo na hatia ya mtoto Akwilina iliyomwagika?

Tuzidi sana kumuomba Mungu atuletee amani ile atoayo yeye ya mbinguni.

Nawatakia Kwaresma yenye baraka!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Si polisi wala mahakama wala serikali pia inayozungumzia kifo cha Akwilina zaidi ya kulipa visasi visivyo na maana ya kurudisha uhai wake.

Si watu wenye akili wala wapumbavu kama wewe wanaozungumzia chanzo cha sababu ya kifo cha Akwilina, zaidi ya kuongozwa na husda na ukosefu wa busara.

Ni kukosa haiba na uhalali wa kisiasa kufumbia macho mkurugenzi wa tumeya uchaguzi na mwajiriwa wake kubaki bila kuwajibishwa.

Mwisho kuacha kuwakemea polisi katika matumizi ya nguvu hasa matumizi ya risasi za moto kuzuia watu walio beba matawi ya miti.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mpumbavu ni baba Bigmind bwashee!
 
CHADEMA waseme nini? Mahakama imesema kesi ya mauaji ya Akwilina sio yao, hivyo aliyepaswa kusema ni DPP na jeshi la polisi, waseme askari aliyempiga risasi huyo binti yuko wapi na amechukuliwa hatua gani.
 
Hata yule Abdul Nondo wa ngome ya vijana sijamsikia akisema lolote kama huu ndio mwisho rasmi wa kufuatilia haki za Akwilina.

Ila kiukweli wanasiasa ni kama wala rushwa tu wamepofushwa macho, fikiria katika hitimisho la kesi kama hii mbwembwe za kulipiana faini zinatoka wapi?.......haikuwezekana kulipiana kimya kimya huku tukitafakari damu isiyo na hatia ya mtoto Akwilina iliyomwagika?

Tuzidi sana kumuomba Mungu atuletee amani ile atoayo yeye ya mbinguni.

Nawatakia Kwaresma yenye baraka!
Haya maneno waambie wauaji.
Unawalaumu viongozi wa chadema BV ambao wamesingiziwa kesi na wamepewa hukumu ya uwongo wakati wauaji wako mitaani. Ulitegemea wasichangishane michango ili wasitoke gerezani? Au ni kivipi unataka wachangishane kimyakimya?

Kuwa mkweli, kemea wauaji na siyo hao wanaoonewa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hata yule Abdul Nondo wa ngome ya vijana sijamsikia akisema lolote kama huu ndio mwisho rasmi wa kufuatilia haki za Akwilina.

Ila kiukweli wanasiasa ni kama wala rushwa tu wamepofushwa macho, fikiria katika hitimisho la kesi kama hii mbwembwe za kulipiana faini zinatoka wapi?.......haikuwezekana kulipiana kimya kimya huku tukitafakari damu isiyo na hatia ya mtoto Akwilina iliyomwagika?

Tuzidi sana kumuomba Mungu atuletee amani ile atoayo yeye ya mbinguni.

Nawatakia Kwaresma yenye baraka!
Wee mama naona mimba uliyo nayo inakuvuruga sana ubongo.
 
Back
Top Bottom