Ibada ya kuaga mwili wa Marehemu Akwilina: Padri Mayanga ataka aliyeua awekwe wazi, awaombe radhi Watanzania

Uchunguzi ufanyike-sawa, swali ni nani afanye uchunguzi na anachunguza nini? Kwa nini serikali hailiweki hili wazi?
 
Nimesoma
Mbona sioni mabango yenye kile ulichoandika?
Nami pia nilitaka kumjibu UWONGO mbona hamna mambo ya kujiuzulu?
 
Daah dunia hii hakuna haki kabisa, Dada wa watu walimpiga risasi na kumuua ili tu wasalie madarakani! Hatari sana hii, halafu kuna wapumbavu fulani nao wanaunga mkono harakati hizi!
J2 wanakaa viti vya mbele Kabisaa eti wameenda kuabudu...hawa watu hawa..... Kuna siku
 
Padri aliyehubiri msibani kusema mhalifu aliyepiga risasi awekwe wazi hapo padri kakosea ina maana huyo muuaji akienda kuungama kwake kuwa ameua akwilini atamwanika wazi huyo muuaji.Hilo haliendani na upadri wake.Hakustahili kuongea hivyo alitakiwi aombe huyo mtu atubu sio kusema aanikwe wazi .Hapo padri kawa influenced na mihemko ya kisiasa badala ya imani yake ya upadri.Anafukuza waumini wasipende kwenda kuungama dhambi kwa mapadri sababu waweza anikwa wazi any time
 
R.I.P Aqwilina Acquline
 
Weka picha yenye uhalisia Piliz.
 
Kazi baado ipo kweli! Mungu ibariki tanzania na watu wake. Amani na upendo vitawale. Sote tuimbe.................. Tanzania amani na maendeleo.............. Amani na maendeleo....Tanzania
 
Nahili jambo watanzania walio wengi hawalielewi. Elimu elimu elimu.
 
Umaskini wa mawazo kitu kibaya sana!
Iweje polisi waunajisi mwili wa Aquilina ambao wao ndiyo watuhumiwa?Polis hawahitajiki ktk msiba huu
 
RIP mtoto. Umetuachia nchi iliyo pinda hatujui tunakoelekea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…