Falsafa aliyotumia huyo padri kufikisha ujumbe ni ngumu sana kwa wenye vichwa vya panzi kama wewe kumuelewaPadri sio kiongozi wa serikali ni wa kidini alitakiwa ajikite hapo tu akijua kuwa huyo mpiga risasi aweza kuwa mkatoliki ambaye aweza kuja kwake kuungama dhambi ya kuua.Mihemko ya kisiasa imemtoa kwenye reli ya upadre akaongea yasiyohusiana na upadre
Siku mtapiga watu risasi na hakutakuwa na kiongozi wa upinzani wa kumtupia lawama.Leo hii kuna matukio makubwa mawili yanafanyika ambayo yametokana na athari za maandamano yaliyofanyika siku ya Ijumaa Februari 16, 2018.
Tukio la kwanza ni la kuagwa kwa mwili wa Mwanafunzi wa Chuo cha Usafirishaji (NIT), Akwilina Akwilin linalofanyika chuoni hapo; Tukio la Pili ni la Wafuasi wa Chadema waliokamatwa siku ya maandamano wakipandishwa Mahakamani.
Katika matukio yote mawili hatukumuona Mwenyekiti Mbowe aliyekuwa akiongoza maandamano haramu yasiyo na kibali ambayo yalisababisha madhara yote haya. Hajui pasipo kuitisha maandamano yasiyo na kibali pasingetokea madhara tunayoyaona leo?
Bado najiuliza, Mwenyekiti hajahudhulia msiba wa Akwilina kwa sababu hajaguswa nao? Ama sio wa muhimu kwake? Ama shida zetu sio zake? Inauma sana!
Kama haitoshi wale Wafuasi waliokamatwa wamekwenda Mahabusu kwa kukosa dhamana ya Tsh. Milioni 1.5 tu. Kweli wanakwenda Mahabusu kwa sababu wamekosa dhamana ya Tsh. Milioni 1.5?
Jambo la kushangaza, hakukuwepo hata kiongozi mmoja toka Chadema ambaye alikwenda Mahakamani kuwa nao bega kwa bega. Wanakwenda mahabusu kizembe kwa kuwasikiliza Wanasiasa ambao leo hii wamewatelekeza!!
Wamejikuta kwenye matatizo lakini wale waliosababisha wao wapate matatizo hawapo nao pamoja. Inauma sana!
Ninapofikia hapa nakumbuka ule msemo wa Rais Mstaafu Mzee Kikwete aliosema "Akili za kuambiwa, changanya na za kwako".
Hili ni funzo kwetu sote, tunapoambiwa na Wanasiasa tukafanye jambo ambalo tunajua tutakuwa matatani kisheria tuwe makini kuchanganya na akili zetu maana shida zitakazotupata zitakuwa ni zetu na si zao, mateso yatakuwa kwetu na si kwao.
Narudia tena kuwasihi, akili za kuambiwa changanya na za kwako.
*Na Thadei, Mwanaharakati Mpambanaji*
Msiba sio mkutano wa wanafalsafa kiasi utumie lugha ya wanafalsafaFalsafa aliyotumia huyo padri kufikisha ujumbe ni ngumu sana kwa wenye vichwa vya panzi kama wewe kumuelewa
Aiseeeee
Sasa kwanini wamenyang'anywa mabango?
Stupid logic. Eti akienda kutubu atamwanika wazi. Usichanganye mambo ya kiroho na kijamii.Padri aliyehubiri msibani kusema mhalifu aliyepiga risasi awekwe wazi hapo padri kakosea ina maana huyo muuaji akienda kuungama kwake kuwa ameua akwilini atamwanika wazi huyo muuaji.Hilo haliendani na upadri wake.Hakustahili kuongea hivyo alitakiwi aombe huyo mtu atubu sio kusema aanikwe wazi .Hapo padri kawa influenced na mihemko ya kisiasa badala ya imani yake ya upadri.Anafukuza waumini wasipende kwenda kuungama dhambi kwa mapadri sababu waweza anikwa wazi any time
Mtu unaishia kutukana kimoyo moyo tu.Huyu Makonda huyu.....
Inawezekana wanaamini yule alistahili lakini huyu ni 'bahati mbaya'Inakuwaje katika msiba wa yule Katibu wa CHADEMA hatukuona waziri au kiongozi yeyoye wa serikali akiwemo mkuu wa Mkoa. Leo wote wako hapo wakionyesha majonzi ya kutisha. Je damu ya Aqulina ni nzito kuliko ya Daudi?
R.I.P Aquilina na Daudi
Umeandika upuuzi mwingiiiLeo hii kuna matukio makubwa mawili yanafanyika ambayo yametokana na athari za maandamano yaliyofanyika siku ya Ijumaa Februari 16, 2018.
Tukio la kwanza ni la kuagwa kwa mwili wa Mwanafunzi wa Chuo cha Usafirishaji (NIT), Akwilina Akwilin linalofanyika chuoni hapo; Tukio la Pili ni la Wafuasi wa Chadema waliokamatwa siku ya maandamano wakipandishwa Mahakamani.
Katika matukio yote mawili hatukumuona Mwenyekiti Mbowe aliyekuwa akiongoza maandamano haramu yasiyo na kibali ambayo yalisababisha madhara yote haya. Hajui pasipo kuitisha maandamano yasiyo na kibali pasingetokea madhara tunayoyaona leo?
Bado najiuliza, Mwenyekiti hajahudhulia msiba wa Akwilina kwa sababu hajaguswa nao? Ama sio wa muhimu kwake? Ama shida zetu sio zake? Inauma sana!
Kama haitoshi wale Wafuasi waliokamatwa wamekwenda Mahabusu kwa kukosa dhamana ya Tsh. Milioni 1.5 tu. Kweli wanakwenda Mahabusu kwa sababu wamekosa dhamana ya Tsh. Milioni 1.5?
Jambo la kushangaza, hakukuwepo hata kiongozi mmoja toka Chadema ambaye alikwenda Mahakamani kuwa nao bega kwa bega. Wanakwenda mahabusu kizembe kwa kuwasikiliza Wanasiasa ambao leo hii wamewatelekeza!!
Wamejikuta kwenye matatizo lakini wale waliosababisha wao wapate matatizo hawapo nao pamoja. Inauma sana!
Ninapofikia hapa nakumbuka ule msemo wa Rais Mstaafu Mzee Kikwete aliosema "Akili za kuambiwa, changanya na za kwako".
Hili ni funzo kwetu sote, tunapoambiwa na Wanasiasa tukafanye jambo ambalo tunajua tutakuwa matatani kisheria tuwe makini kuchanganya na akili zetu maana shida zitakazotupata zitakuwa ni zetu na si zao, mateso yatakuwa kwetu na si kwao.
Narudia tena kuwasihi, akili za kuambiwa changanya na za kwako.
*Na Thadei, Mwanaharakati Mpambanaji*
NENOLeo hii kuna matukio makubwa mawili yanafanyika ambayo yametokana na athari za maandamano yaliyofanyika siku ya Ijumaa Februari 16, 2018.

Mpaka kibarua kinaota majani sadWameenda mahabusu kwa muda gani mkuu!? Dah! Inasikitisha sana, haswa kama wana familia zinazowategemea maishani.
Yeye padri ndie kachanganyaStupid logic. Eti akienda kutubu atamwanika wazi. Usichanganye mambo ya kiroho na kijamii.
Falsafa nininiMsiba sio mkutano wa wanafalsafa kiasi utumie lugha ya wanafalsafa