habari ya hapa
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 12,791
- 8,749
Mbona hakuna picha?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Maneno kuntu sana!Mahubiri Padre kasemaje?
Mtoa amriKamanda wa Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, Lazaro Mambosasa anaongoza msafara wa magari, likiwemo lililobeba mwili wa mwanafunzi wa Chuo cha Taifa cha Usafirishaji (NIT), Akwilina Akwiline kutoka Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) kuelekea katika viwanja vya chuo hicho kwa ajili ya kuagwa.
Jeneza lenye mwili wa mwanafunzi huo liko katika gari maalumu la kubebea maiti.
Inashangazapale muuaji anapoongoza mazishi
Bonge moja la pointAnayedhani yuko salama asikilize vizuri clip ya mama Aquilina akimwambia prof Ndalichako kwamba alikuwa akisikia kwenye vyombo vya habari watu wanauawa na polisi lakini hakutegemea hata siku moja kwamba hilo litatokea kwa mmoja Wa wanafamilia wake. AJIDHANIAYE AMESIMAMA AANGALIE ASIANGUKE.
Kweli kabisa.Asingelilalamika Rais wala wasingelitoa thamani kwa binti huyo!! R I P Akwillina
hili neno lina tafsiri zaidi ya mbili kwa kiswahili lakini yote yanahusiana na uchafu sasa Hatuwezi kuiita nchi yetu mku.ndu.Shithole country kabisa kabisa kabisa!
Siyo rahisi kama unavyofikiria, ila hakimu wa haki ni Mungu mwenyewe......wako wapo leo Ngeleja na Nchimbi?!!Hapo wa kulaumiwa ni wazazi na Ndugu wa Marehemu kwa kukubali kuingia kwenye huu mtego wa Serikali kujiingiza kwenye Mazishi ya huyu Binti. ili kujijengea Heshima na kuonyesha hisia zao kwa hiki kitendo cha binti yao kuuawa kwa makusudi na hawa polisi wangekataa Jambo hili na wao kumzika huyu Binti kwa gharama zao wenyewe. kwa hiki kinachotokea wamejidhalilisha aisee.
Jinyonge basi ndio hvyo ni shithole....[emoji23] nchi ya ngosha hii aka fidqhapana hatujafikia kuiita hivi nchi yetu vinginevyo wewe sio mtanzania hili hapana!
Asante mkuuPAINS![]()
![]()
![]()
Kwani nani muuaji nani?Kamsimamishe basi.
ujumbe mzito, wauawaji hawawezi kujichunguza. ukiuwa mmoja wetu ni kama umetuwa wote. siasa sio uaduiSijaweza kuyasoma ila ni wakati Prof Ndalichako akitoa neno![]()
watanzania wote kwa ujumla wetu tupo hatarini ........... mpaka awamu hii ipiteAkwillina alijua yuko hatarini?! Think about it!!