Plaintiff
JF-Expert Member
- Feb 1, 2014
- 307
- 216
- Thread starter
- #81
Huo siyo ukristo huo ni upagani wa kanisa katoliki ambao waliuendesha kwa miaka mingi sana, Haijaandikwa popote kwenye biblia kwamba ulipie ili uombewe dhambi zako.Dini zina upuuzi, mwingi, karne ya 19,huko ulaya, watu walikuwa wanalipa ili waombewe, wanatoa sadaka zaidi ili Mambo Yao yaende vzr, waepuke umaskini, na magonjwa, makanisa, yakawa tajiri Sana, ilipokuja industrial revolution, watu wakagundua kuwa kumbe unaweza kubadilisha maisha yako kwa kufanya kazi na kutumia sayansi, watu Waka kacha kwenda nyumba za ibada!sasa yaliyofanyika karne 19! Ndio yapo Leo bongo, pale kawe kwa mwamposa, watu wanaenda "kutatuliwa matatizo" yao ya kiuchumi, ki afya, nk,
Wanazidi, kuwa, maskini, wenye makanisa yao, ndio, wanazidi kuneemeka.
![]()
Prayers over state action? Is the Dark Age back?
It has become alarming that a new-age evangelism has begun taking people back, conceptually, to the dark ages.www.theeastafrican.co.ke
Tukizungumza mafundisho ya kipagani ya ukatoliki ni pamoja na hili