Ibada za wakiristo mbona siku hizi zipo hivi?

Ibada za wakiristo mbona siku hizi zipo hivi?

Nenda kabishane Facebook sio humu JF....au rudi shule wewe MEMKWA usiyejua tofauti ya "Mada" na "Maada" 😆😆
Hii mada kwa wenye akili- ukitoka baa ukaja humu utabaki kuchukia na comments za ajabu- utafiti
 
Ujinga Ujinga tu maelezo mengi yote eti una tetea Uislamu 🤣🤣 Dini zote ni mambo ya kufikirika tu sasa io adhana yenu nani aliwambia kua anataka kuamshwa uo mda
Kanywe bia
 
1. Utakuta baadhi ya makanisa saa 11 alfajiri yanaanza ibada kwa kutumia maspika makubwa yanayotoa sauti kubwa . kama unaishi Mitaa ya Mbabaga basi hadi Kongowe utasikia. na sio kama sauti ya mchungaji bali ni nyimbo na mziki wenye kurindima na kutikisha nyumba

2. Ukiwa kanisa lipo karibu na msikiti- mziki wote unangia msikitini
Kama kanisa lipo karibu na chuo kikuu au Taasisi ya Taaluma siku hio huwezi kusoma

3. Baadhi ya makanisa hasa walokole wanasali usiku kwa kutumia maspika yenye sauti kubwa na kusababisha hata watoto na wagonjwa washindwe kulala

BIBLIA INATAKA IBADA KWA SIRI
Mathayo 6:6 (Biblia Habari Njema):
  • "Lakini wewe, ukiomba, ingia chumbani kwako, ukafunge mlango wako, na omba kwa Baba yako aliye siri; na Baba yako aonae siri atakujalia wazi."
  • Katika kifungu hiki, Yesu anasisitiza umuhimu wa sala kwa siri na kwa uaminifu wa moyo, badala ya kufanya ibada kwa ajili ya kuonekana na watu.
  • Marko 12:30 (Biblia Habari Njema):
    • "Mpende Bwana Mungu wako kwa moyo wako wote, kwa roho yako yote, kwa akili yako yote, na kwa nguvu zako zote."
    • Ingawa kifungu hiki hakizungumzii ibada kwa siri moja kwa moja, inasisitiza mapenzi ya kweli ya moyo na roho kwa Mungu, jambo ambalo linaweza kujumuisha kufanya ibada kwa hali ya siri na kwa uaminifu wa ndani.
  • Mathayo 6:5 (Biblia Habari Njema):
    • "Wakati mnapokuwa mnawomba, msifanye hivyo kama wanafiki, kwa sababu wanapenda kusimama wakiomba mashuleni na kwenye kona za mitaa ili waonekane na watu. Kweli nawaambieni, wameshapokea thawabu yao."
    • Katika aya hii, Yesu anasisitiza kwamba kufanya ibada kwa lengo la kuonekana na watu ni kupoteza malipo. Hii inahusu zaidi kuhusu nia ya moyo kuliko sauti inayotumika.

IBDA ZA WAISLAM
Waislam wao sauti inatoka kwenye adhana tu ambayo dakika 2 au ili kuamsha watu, na hii inawasadia hata wasiokuwa waisam kuwahi makazini, mashuleni na masokoni.

TANBIH
Maada hii haina nia ya kukebehi dini, ni maada ya kuelimishana katika hii dunia.
Uislam inawapenda watu wa dini nyengine wao wanavyowapenda waislam. ushahidi wa haya ni hi:
Surah Al-Mumtahanah (60:8):

  • "Mwenyezi Mungu hakukatazi wale wanaokutendeeni mema na hawakukufuru kwa dini yenu kuwa na urafiki nao. Hakika Mwenyezi Mungu anapenda wenye haki."
  • Aya hii inaonyesha kuwa Waislamu wanapaswa kuwa na urafiki na heshima kwa wale wanaoishi kwa amani na waislamu na hawawapingi katika dini yao.
Pia wakati wa Mtume kulikuwa na Makafiri wakubwa wakimpiga vita Mtume wazi wazi wengine kupanga kumuua, lakini baadae wakasilimu wakawa ndio Maswahaba wakubwa. Pia Mtume wakati alipopigwa mawe akatakiwa aombe dua kwa wale waliomshambulia, yeye akaomba Allah awajaalie watoto waliomshambulia wawe watoto wema
KWA MFANO WATU WAOVU BAADAE KUWA WEMA WAKUBWA
  • Abu Sufyan ibn Harb (RA):
  • Abu Sufyan alikuwa kiongozi wa Quraysh na adui mkubwa wa Mtume Muhammad (SAW) kabla ya kubadili imani na kukubali Kiislamu. Alikuwa na nafasi muhimu katika vita vya Badr, Uhud, na Hudaibiya, lakini baadaye aligeuka kuwa muislamu baada ya Mkataba wa Hudaibiya na aliungana na Waislamu.

  • Ikrimah ibn Abi Jahl (RA):
  • Ikrimah alikuwa mwana wa Abu Jahl, mmoja wa maadui wakuu wa Mtume Muhammad (SAW). Alikuwa na uadui mkali dhidi ya Waislamu lakini alikubali Kiislamu baadaye na kuwa mmoja wa waislamu wa kweli.
  • Khalid ibn al-Walid (RA):
    • Khalid alikuwa kiongozi maarufu wa jeshi la Quraysh na aliongoza vita dhidi ya Waislamu. Alikuwa na uadui mkubwa na Mtume Muhammad (SAW) lakini alikubali Kiislamu baada ya vita vya Uhud na kuwa mmoja wa mashujaa wa Kiislamu katika vita vya Khyber na vita vingine.
  • Amr ibn al-As (RA):
    • Amr alikuwa mmoja wa viongozi wa Quraysh na alikuwa na upinzani dhidi ya Waislamu. Alikubali Kiislamu baada ya Mkataba wa Hudaibiya na alichangia kwa kiasi kikubwa katika kueneza dini ya Kiislamu.
  • Hind bint Utbah (RA):
    • Hind alikuwa mke wa Abu Sufyan na aliongoza kampeni dhidi ya Waislamu. Baada ya kukubali Kiislamu, aligeuka kuwa mcha Mungu na aliunga mkono dini kwa nguvu.WAPO WAISLAM WALIOASI KWA MFANO
  • Abdullah ibn Ubayy (RA):
    • Abdullah ibn Ubayy alikuwa kiongozi wa makabila ya Khazraj na alikuwa miongoni mwa Waislamu waliokubali dini mapema. Hata hivyo, alikuwa na matendo ya unafiki na alijaribu kudhoofisha jamii ya Kiislamu kwa kutoa maoni yenye mashaka na kuongoza watu kwa uasi.
Ndio maana waislam kila wakati tunatakiwa tuombe Allah atuondoshe katika dunia hali ya kuwa ameturidhia

SOMA KWA UTULIVU KABLA KUKOMENTS USIJE KUCOMENTS KITU USICHOKIJUA
Kama kuna kanisa linatumika kupiga kelele nje ya utaratibu nakushauri wasilisha malalamiko yako kwa viongozi husika lifanyiwe kazi, wakati mwingine ni kukosa hekima tu. Mfano halisi nimewahi kushuhudia mtu mmoja anafanya maombi kanisani kwa spika za sauti kubwa sana karibu kila siku na ni maombi ambayo angeweza kufanya kimya kimya. Ndo sababu wanaambiwa waende vyuo vya Biblia, sasa mwingine anaanzisha kanisa hana maarifa ya kuongoza kanisa, hana mtu wa kumshauri/kumrekebisha anapokosea kwa hiyo inakuwa vurugu huku mtaani.

Lakini mstari wa Biblia ulioutumia unaeleza aspect moja ya ibada kati ya nyingi, kuna wakati wa kuomba mwenyewe kibinafsi ambapo ndio lengo la huo mstari na kuna wakati wa kujumuika na wenzako. Na mkijumuika kuna vitu vingi vinavyoambatana na ibada kuna wakati wa kusifu na kuabudu (kwa wenye uwezo wanatumia na vyombo vya sauti), kuna wakati wa neno na kuna wakati wa maombi/maombezi. Sasa haya huwezi kufanya kimya kimya.

Halafu umeweka na mistari ya Quran, labda tu nikufahamishe imani ya kikristo haiamini kabisa kwamba Quran imetoka kwa Mungu. Labda ungeanza na kuweka sababu kwa nini wakristo waanze kuiamini Quran ndipo ukaleta na hiyo mistari yake.
 
Hilo sio tatizo. unatakiwa usome, utulize akili, ufikiri baadae utaamini, wengine wamesilimu kwa kusoma na kutafakari. kwa hiyo hoja yako haina mashiko
 
Shida ni mipango miji walishindwa kutenga maeneo kwa kila shughuli za huduma fulani.
Pana makazi,maeneo ya Ibada,masoko,michezo,shule nk.
Ili walaumiwe watu wa mipango miji
 
Mkuu umejichanganya kuleta uislamu ndani,mada mwanzo ni nzuri ila kuanza kutuconvice tuufate uislamu huo ndo upumbavu ulipokosea,siku nyingne tumia akili
 
Ni ngumu sana mkristo kuandika mada akanukuu vifungu vya kuruani ila ni rahisi sana muislam kuandika mada na kunukuu vifungu vya Biblia, Nguvu ya Biblia ni kubwa.
Sababu kuu ni Qurani ni copy and paste ya Biblia, waandishi wa Quran walichaguwa vya kucopy vingine wakaacha.

Kwenye Qurani kuna Torati, zaburi na Injili na Quran inamtambuwa Masiah kama mtume wa daraja la juu ambaye yupo na Allah.
 
adhana 2 min- hayo ni 3-4 hours continue
5mins za adhana zinaharibu usingizi wa mtu totally.

Ungeleta hoja yako kwa context ya mazingira ningekuunga mkono kabisa, ila upo na mambo yako ya kidoni.
 
Hili nakubaliana na wewe. N makanisa ya kilokole. Serikali ndiyo ya kulaumiwa. Jiji la Dar lina noise pollution mbaya sana. Bar, makanisa, honi za magari na wapiga debe wanaotumia speaker.
Na wale wahubiri wanaokaa stand na maspika wapo au wamehama
Wengine walikua wanapanda mpaka ndani ya dala dala wanatoa mahubiri😀😀😀
 
Mkuu umejichanganya kuleta uislamu ndani,mada mwanzo ni nzuri ila kuanza kutuconvice tuufate uislamu huo ndo upumbavu ulipokosea,siku nyingne tumia akili
Uislamu hauwezi kukamilika bila Ukristo, wengi hamjui siri iliyojificha.

Muhammad aliuwa watu na hajawahi kufufuwa wafu, lakini Yesu hakuwahi kuuwa watu bali alifufuwa wafu.

Muhammad amekufa na amezikwa Madina na yupo Jehenamu wakati Yesu alisurubiwa akafa na akafufuka na yupo mbinguni na Allah.

Soma surat Mariam 19; 71- 72 waislamu wote wanakwenda motoni.
 
Mbona bar huwa wanafujo pia, vibanda vya kuchoma movie pia,
Kiujumla kelele ni kero.

Napenda sana waislamu yaani atakama wana ibada zao za usiku wa manane, wanavyoimba atakama una stress unalala nakusinzia. Wana micharazo mizuri sana.
 
Ni ngumu sana mkristo kuandika mada akanukuu vifungu vya kuruani ila ni rahisi sana muislam kuandika mada na kunukuu vifungu vya Biblia, Nguvu ya Biblia ni kubwa.
Mkristo akiisoma qur an ili aitumie kama hoja dhidi ya waislam ataielewa na akiielewa tu nakuhakikishia hatakaa awe tena mkristo
Hata wewe isome qur an utake kuitumia kama hoja dhidi ya waislam na uislam uone kama hutakua muislamu
 
IBDA ZA WAISLAM
Waislam wao sauti inatoka kwenye adhana tu ambayo dakika 2 au ili kuamsha watu, na hii inawasadia hata wasiokuwa waisam kuwahi makazini, mashuleni na masokoni.
Sielewi hiyo hapo juu sheikh.

Hapa nilipo kuna misikiti iliyo karibu karibu kama mitano, yaani umbali kwa yote hauzidi 500mtrs na yote ina adhini kwa wakati mmoja.

Kutokana na andiko lako hapo juu, je ni sahihi?, sababu utakuwa umeshaifaham hapo.
 
5mins za adhana zinaharibu usingizi wa mtu totally.

Ungeleta hoja yako kwa context ya mazingira ningekuunga mkono kabisa, ila upo na mambo yako ya kidoni.
Duniani hakuna adhana inayochukua dakika tano
Labda msomaji awe anasoma ananyamaza hapa sawa
Ila ukisoma direct umetumia muda mwingi dakika 3
 
Nchi sahv kila mahali makelele

Ova
 
Back
Top Bottom