kibobori mahoro
JF-Expert Member
- Dec 12, 2022
- 7,452
- 10,785
Katiba inatoa uhuru wa kuabudu, wamevunja sheria ipi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mimi nimesoma Quran, Surat Mariam 19: 71 inasema waislamu wote wanakwenda motoni, sasa unaweza kunishawishi vipi kuwa muislamu?Mkristo akiisoma qur an ili aitumie kama hoja dhidi ya waislam ataielewa na akiielewa tu nakuhakikishia hatakaa awe tena mkristo
Hata wewe isome qur an utake kuitumia kama hoja dhidi ya waislam na uislam uone kama hutakua muislamu
1. Utakuta baadhi ya makanisa saa 11 alfajiri yanaanza ibada kwa kutumia maspika makubwa yanayotoa sauti kubwa . kama unaishi Mitaa ya Mbabaga basi hadi Kongowe utasikia. na sio kama sauti ya mchungaji bali ni nyimbo na mziki wenye kurindima na kutikisha nyumba
2. Ukiwa kanisa lipo karibu na msikiti- mziki wote unangia msikitini
Kama kanisa lipo karibu na chuo kikuu au Taasisi ya Taaluma siku hio huwezi kusoma
3. Baadhi ya makanisa hasa walokole wanasali usiku kwa kutumia maspika yenye sauti kubwa na kusababisha hata watoto na wagonjwa washindwe kulala
BIBLIA INATAKA IBADA KWA SIRI
Mathayo 6:6 (Biblia Habari Njema):
- "Lakini wewe, ukiomba, ingia chumbani kwako, ukafunge mlango wako, na omba kwa Baba yako aliye siri; na Baba yako aonae siri atakujalia wazi."
- Katika kifungu hiki, Yesu anasisitiza umuhimu wa sala kwa siri na kwa uaminifu wa moyo, badala ya kufanya ibada kwa ajili ya kuonekana na watu.
- Marko 12:30 (Biblia Habari Njema):
- "Mpende Bwana Mungu wako kwa moyo wako wote, kwa roho yako yote, kwa akili yako yote, na kwa nguvu zako zote."
- Ingawa kifungu hiki hakizungumzii ibada kwa siri moja kwa moja, inasisitiza mapenzi ya kweli ya moyo na roho kwa Mungu, jambo ambalo linaweza kujumuisha kufanya ibada kwa hali ya siri na kwa uaminifu wa ndani.
- Mathayo 6:5 (Biblia Habari Njema):
- "Wakati mnapokuwa mnawomba, msifanye hivyo kama wanafiki, kwa sababu wanapenda kusimama wakiomba mashuleni na kwenye kona za mitaa ili waonekane na watu. Kweli nawaambieni, wameshapokea thawabu yao."
- Katika aya hii, Yesu anasisitiza kwamba kufanya ibada kwa lengo la kuonekana na watu ni kupoteza malipo. Hii inahusu zaidi kuhusu nia ya moyo kuliko sauti inayotumika.
IBDA ZA WAISLAM
Waislam wao sauti inatoka kwenye adhana tu ambayo dakika 2 au ili kuamsha watu, na hii inawasadia hata wasiokuwa waisam kuwahi makazini, mashuleni na masokoni.
TANBIH
Maada hii haina nia ya kukebehi dini, ni maada ya kuelimishana katika hii dunia.
Uislam inawapenda watu wa dini nyengine wao wanavyowapenda waislam. ushahidi wa haya ni hi:
Surah Al-Mumtahanah (60:8):
Pia wakati wa Mtume kulikuwa na Makafiri wakubwa wakimpiga vita Mtume wazi wazi wengine kupanga kumuua, lakini baadae wakasilimu wakawa ndio Maswahaba wakubwa. Pia Mtume wakati alipopigwa mawe akatakiwa aombe dua kwa wale waliomshambulia, yeye akaomba Allah awajaalie watoto waliomshambulia wawe watoto wema
- "Mwenyezi Mungu hakukatazi wale wanaokutendeeni mema na hawakukufuru kwa dini yenu kuwa na urafiki nao. Hakika Mwenyezi Mungu anapenda wenye haki."
- Aya hii inaonyesha kuwa Waislamu wanapaswa kuwa na urafiki na heshima kwa wale wanaoishi kwa amani na waislamu na hawawapingi katika dini yao.
KWA MFANO WATU WAOVU BAADAE KUWA WEMA WAKUBWA
Ndio maana waislam kila wakati tunatakiwa tuombe Allah atuondoshe katika dunia hali ya kuwa ameturidhia
- Abu Sufyan ibn Harb (RA):
- Abu Sufyan alikuwa kiongozi wa Quraysh na adui mkubwa wa Mtume Muhammad (SAW) kabla ya kubadili imani na kukubali Kiislamu. Alikuwa na nafasi muhimu katika vita vya Badr, Uhud, na Hudaibiya, lakini baadaye aligeuka kuwa muislamu baada ya Mkataba wa Hudaibiya na aliungana na Waislamu.
- Ikrimah ibn Abi Jahl (RA):
- Ikrimah alikuwa mwana wa Abu Jahl, mmoja wa maadui wakuu wa Mtume Muhammad (SAW). Alikuwa na uadui mkali dhidi ya Waislamu lakini alikubali Kiislamu baadaye na kuwa mmoja wa waislamu wa kweli.
- Khalid ibn al-Walid (RA):
- Khalid alikuwa kiongozi maarufu wa jeshi la Quraysh na aliongoza vita dhidi ya Waislamu. Alikuwa na uadui mkubwa na Mtume Muhammad (SAW) lakini alikubali Kiislamu baada ya vita vya Uhud na kuwa mmoja wa mashujaa wa Kiislamu katika vita vya Khyber na vita vingine.
- Amr ibn al-As (RA):
- Amr alikuwa mmoja wa viongozi wa Quraysh na alikuwa na upinzani dhidi ya Waislamu. Alikubali Kiislamu baada ya Mkataba wa Hudaibiya na alichangia kwa kiasi kikubwa katika kueneza dini ya Kiislamu.
- Hind bint Utbah (RA):
- Hind alikuwa mke wa Abu Sufyan na aliongoza kampeni dhidi ya Waislamu. Baada ya kukubali Kiislamu, aligeuka kuwa mcha Mungu na aliunga mkono dini kwa nguvu.WAPO WAISLAM WALIOASI KWA MFANO
- Abdullah ibn Ubayy (RA):
- Abdullah ibn Ubayy alikuwa kiongozi wa makabila ya Khazraj na alikuwa miongoni mwa Waislamu waliokubali dini mapema. Hata hivyo, alikuwa na matendo ya unafiki na alijaribu kudhoofisha jamii ya Kiislamu kwa kutoa maoni yenye mashaka na kuongoza watu kwa uasi.
SOMA KWA UTULIVU KABLA KUKOMENTS USIJE KUCOMENTS KITU USICHOKIJUA
Mkristo akiisoma qur an ili aitumie kama hoja dhidi ya waislam ataielewa na akiielewa tu nakuhakikishia hatakaa awe tena mkristo
Hata wewe isome qur an utake kuitumia kama hoja dhidi ya waislam na uislam uone kama hutakua muislamu
Kwani 2 minute unaona ni ndogo wengine hatutaki kabisa kelele ya aina yoyote ile kwaio watu wa dini wote mko sawa tuadhana 2 min- hayo ni 3-4 hours continue

Alfajiri huwa sio adhana tu, kuna vipande huwa vinaitangulia adhana, kipo cha saa kumi na ushee hivi, halafu kipo cha saa 11 kosoro chache hivi, then ndio inakuja adhanaadhana dakika 2 zinakukera? kuna waislam wapo chini ya msikitini hawasikii adhana, ukiwauliza anakwambia sikusikia adhana kwa sabau nilichoka. Hapa tunakusudia Mziki
Dini,dini malaria 2 siyo mapenzi ya Mungu, ila imani kumwelekea Mungu ,Upendo na kuchukuliana katika madhaifu, hiyo ndio tabia ya Mungu Toka mwanzo, binaadamu alimtenda Dhambi ,akaghafilika ,lakini badae akamkumbuka akamrudia Tena kwa njia za manabii, Duniani hakuna mtakatifu ila Kuna watu wanaoishi kitakatifu ,mana Ake wanaweza kuanguka mda wowote ,. Ila wakifa huku wakiwa wameishi kitakatifu mpaka mwisho hao Huwa watakatifu,kilichoandikwa vipi?
Namshukuru Jehovah kwa nilipo hakuna wabusu jiwe kabisa na hawatakuwepo in Jesus nameadhana 2 min- hayo ni 3-4 hours continue
Maneno yamekuchoma ndipoUkikosa kazi ya kufanya ndio Huwa hivyo
Ni ngumu sana mkristo kuandika mada akanukuu vifungu vya kuruani ila ni rahisi sana muislam kuandika mada na kunukuu vifungu vya Biblia, Nguvu ya Biblia kubwakuoneshnes
Hio ni kuonesha kua thamani ya quran ni kubwa haiwez kuhifadhiwa kwenye vichwa maji ,yani ukishajiona una kichwa tikitik basi ujue quran huwez kuinukuuu sasa biblia inatiwa mikono mpaka na kizaz kilichozaliwa mwaka 2000 yani maandish kila siku yanabadilishwa nini tatizo
Kwahiyo unakereka na mziki ila sio adhana ya saa kumi alfajiri???adhana dakika 2 zinakukera? kuna waislam wapo chini ya msikitini hawasikii adhana, ukiwauliza anakwambia sikusikia adhana kwa sabau nilichoka. Hapa tunakusudia Mziki