Ibada za wakiristo mbona siku hizi zipo hivi?

Nenda kabishane Facebook sio humu JF....au rudi shule wewe MEMKWA usiyejua tofauti ya "Mada" na "Maada" 😆😆
Hii mada kwa wenye akili- ukitoka baa ukaja humu utabaki kuchukia na comments za ajabu- utafiti
 
Ujinga Ujinga tu maelezo mengi yote eti una tetea Uislamu 🤣🤣 Dini zote ni mambo ya kufikirika tu sasa io adhana yenu nani aliwambia kua anataka kuamshwa uo mda
Kanywe bia
 
Kama kuna kanisa linatumika kupiga kelele nje ya utaratibu nakushauri wasilisha malalamiko yako kwa viongozi husika lifanyiwe kazi, wakati mwingine ni kukosa hekima tu. Mfano halisi nimewahi kushuhudia mtu mmoja anafanya maombi kanisani kwa spika za sauti kubwa sana karibu kila siku na ni maombi ambayo angeweza kufanya kimya kimya. Ndo sababu wanaambiwa waende vyuo vya Biblia, sasa mwingine anaanzisha kanisa hana maarifa ya kuongoza kanisa, hana mtu wa kumshauri/kumrekebisha anapokosea kwa hiyo inakuwa vurugu huku mtaani.

Lakini mstari wa Biblia ulioutumia unaeleza aspect moja ya ibada kati ya nyingi, kuna wakati wa kuomba mwenyewe kibinafsi ambapo ndio lengo la huo mstari na kuna wakati wa kujumuika na wenzako. Na mkijumuika kuna vitu vingi vinavyoambatana na ibada kuna wakati wa kusifu na kuabudu (kwa wenye uwezo wanatumia na vyombo vya sauti), kuna wakati wa neno na kuna wakati wa maombi/maombezi. Sasa haya huwezi kufanya kimya kimya.

Halafu umeweka na mistari ya Quran, labda tu nikufahamishe imani ya kikristo haiamini kabisa kwamba Quran imetoka kwa Mungu. Labda ungeanza na kuweka sababu kwa nini wakristo waanze kuiamini Quran ndipo ukaleta na hiyo mistari yake.
 
Hilo sio tatizo. unatakiwa usome, utulize akili, ufikiri baadae utaamini, wengine wamesilimu kwa kusoma na kutafakari. kwa hiyo hoja yako haina mashiko
 
Shida ni mipango miji walishindwa kutenga maeneo kwa kila shughuli za huduma fulani.
Pana makazi,maeneo ya Ibada,masoko,michezo,shule nk.
Ili walaumiwe watu wa mipango miji
 
Mkuu umejichanganya kuleta uislamu ndani,mada mwanzo ni nzuri ila kuanza kutuconvice tuufate uislamu huo ndo upumbavu ulipokosea,siku nyingne tumia akili
 
Ni ngumu sana mkristo kuandika mada akanukuu vifungu vya kuruani ila ni rahisi sana muislam kuandika mada na kunukuu vifungu vya Biblia, Nguvu ya Biblia ni kubwa.
Sababu kuu ni Qurani ni copy and paste ya Biblia, waandishi wa Quran walichaguwa vya kucopy vingine wakaacha.

Kwenye Qurani kuna Torati, zaburi na Injili na Quran inamtambuwa Masiah kama mtume wa daraja la juu ambaye yupo na Allah.
 
adhana 2 min- hayo ni 3-4 hours continue
5mins za adhana zinaharibu usingizi wa mtu totally.

Ungeleta hoja yako kwa context ya mazingira ningekuunga mkono kabisa, ila upo na mambo yako ya kidoni.
 
Hili nakubaliana na wewe. N makanisa ya kilokole. Serikali ndiyo ya kulaumiwa. Jiji la Dar lina noise pollution mbaya sana. Bar, makanisa, honi za magari na wapiga debe wanaotumia speaker.
Na wale wahubiri wanaokaa stand na maspika wapo au wamehama
Wengine walikua wanapanda mpaka ndani ya dala dala wanatoa mahubiri😀😀😀
 
Mkuu umejichanganya kuleta uislamu ndani,mada mwanzo ni nzuri ila kuanza kutuconvice tuufate uislamu huo ndo upumbavu ulipokosea,siku nyingne tumia akili
Uislamu hauwezi kukamilika bila Ukristo, wengi hamjui siri iliyojificha.

Muhammad aliuwa watu na hajawahi kufufuwa wafu, lakini Yesu hakuwahi kuuwa watu bali alifufuwa wafu.

Muhammad amekufa na amezikwa Madina na yupo Jehenamu wakati Yesu alisurubiwa akafa na akafufuka na yupo mbinguni na Allah.

Soma surat Mariam 19; 71- 72 waislamu wote wanakwenda motoni.
 
Mbona bar huwa wanafujo pia, vibanda vya kuchoma movie pia,
Kiujumla kelele ni kero.

Napenda sana waislamu yaani atakama wana ibada zao za usiku wa manane, wanavyoimba atakama una stress unalala nakusinzia. Wana micharazo mizuri sana.
 
Ni ngumu sana mkristo kuandika mada akanukuu vifungu vya kuruani ila ni rahisi sana muislam kuandika mada na kunukuu vifungu vya Biblia, Nguvu ya Biblia ni kubwa.
Mkristo akiisoma qur an ili aitumie kama hoja dhidi ya waislam ataielewa na akiielewa tu nakuhakikishia hatakaa awe tena mkristo
Hata wewe isome qur an utake kuitumia kama hoja dhidi ya waislam na uislam uone kama hutakua muislamu
 
IBDA ZA WAISLAM
Waislam wao sauti inatoka kwenye adhana tu ambayo dakika 2 au ili kuamsha watu, na hii inawasadia hata wasiokuwa waisam kuwahi makazini, mashuleni na masokoni.
Sielewi hiyo hapo juu sheikh.

Hapa nilipo kuna misikiti iliyo karibu karibu kama mitano, yaani umbali kwa yote hauzidi 500mtrs na yote ina adhini kwa wakati mmoja.

Kutokana na andiko lako hapo juu, je ni sahihi?, sababu utakuwa umeshaifaham hapo.
 
5mins za adhana zinaharibu usingizi wa mtu totally.

Ungeleta hoja yako kwa context ya mazingira ningekuunga mkono kabisa, ila upo na mambo yako ya kidoni.
Duniani hakuna adhana inayochukua dakika tano
Labda msomaji awe anasoma ananyamaza hapa sawa
Ila ukisoma direct umetumia muda mwingi dakika 3
 
Nchi sahv kila mahali makelele

Ova
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…