Ibada za wakiristo mbona siku hizi zipo hivi?

Kelele makanisani na misikitini vipigwe marufuku, viskike kwa walio ndani ya hizo nyumba za ibada tu
 
Mkristo akiisoma qur an ili aitumie kama hoja dhidi ya waislam ataielewa na akiielewa tu nakuhakikishia hatakaa awe tena mkristo
Hata wewe isome qur an utake kuitumia kama hoja dhidi ya waislam na uislam uone kama hutakua muislamu
Mimi nimesoma Quran, Surat Mariam 19: 71 inasema waislamu wote wanakwenda motoni, sasa unaweza kunishawishi vipi kuwa muislamu?

Hoja ya pili Yesu hakuuwa watu bali alifufuwa wafu lakini Muhammad aliuwa watu lakini hakuwahi kufufuwa wafu.

Muhammad amezikwa Madina na yupo kuzimu, wakati Yesu yupo mbinguni na Allah na Quran inatamka wazi Masiah ni mtume wa daraja la juu, sasa ni kichaa peke yake ndio anaweza kuacha njia ya uzima na kweli.

Ukiona Mkristu kasilimu ni ukosefu wa elimu tu na kuyajuwa maandiko.
 

🙄😆😆😆

Na hii hadhara Gani??🎤
👇👇

View: https://youtu.be/-sP9Us7Siu0?si=IUQsVgX32e0fIeJX
 
Huo muda si bora nikakanyage mafuta kwa mwamposa
Mkristo akiisoma qur an ili aitumie kama hoja dhidi ya waislam ataielewa na akiielewa tu nakuhakikishia hatakaa awe tena mkristo
Hata wewe isome qur an utake kuitumia kama hoja dhidi ya waislam na uislam uone kama hutakua muislamu
 
Kila mtu afanye mambo yake...chukulia hizo kelele kama zile za adhana, mawaidha ya ijumaa n.k
 

Tushirikiane kupinga makelele yote ikiwamo bar, makanisani, misikitini, kumbi za disco nk.

Mkuu hata zile swala swala kwa jina la azana alfajiri ni kero Kwa wengine hata uarabuni hazipo!
 
adhana dakika 2 zinakukera? kuna waislam wapo chini ya msikitini hawasikii adhana, ukiwauliza anakwambia sikusikia adhana kwa sabau nilichoka. Hapa tunakusudia Mziki
Alfajiri huwa sio adhana tu, kuna vipande huwa vinaitangulia adhana, kipo cha saa kumi na ushee hivi, halafu kipo cha saa 11 kosoro chache hivi, then ndio inakuja adhana
 
kilichoandikwa vipi?
Dini,dini malaria 2 siyo mapenzi ya Mungu, ila imani kumwelekea Mungu ,Upendo na kuchukuliana katika madhaifu, hiyo ndio tabia ya Mungu Toka mwanzo, binaadamu alimtenda Dhambi ,akaghafilika ,lakini badae akamkumbuka akamrudia Tena kwa njia za manabii, Duniani hakuna mtakatifu ila Kuna watu wanaoishi kitakatifu ,mana Ake wanaweza kuanguka mda wowote ,. Ila wakifa huku wakiwa wameishi kitakatifu mpaka mwisho hao Huwa watakatifu,

Ni kama askari kuruta siyo askari, ila akifudhu mafunzo Huwa askari,. Jitafakari sana kuwasema wenzako wakati hata kufa hujafa Wala hujawahi,huko mbinguni hukujui Wala mamlaka ya kuhukumu huna,


Utatenda Dhambi Tena, hicho unachokiamini dhidi ya wengine ni salaha mbaya sana ambayo imecost maisha na imani za watu
 
Biashara huria siku hizi kila mfanya biashara anatumia njia anazozijua kujitangaza..
 
Hio ni kuonesha kua thamani ya quran ni kubwa haiwez kuhifadhiwa kwenye vichwa maji ,yani ukishajiona una kichwa tikitik basi ujue quran huwez kuinukuuu sasa biblia inatiwa mikono mpaka na kizaz kilichozaliwa mwaka 2000 yani maandish kila siku yanabadilishwa nini tatizo
Ni ngumu sana mkristo kuandika mada akanukuu vifungu vya kuruani ila ni rahisi sana muislam kuandika mada na kunukuu vifungu vya Biblia, Nguvu ya Biblia kubwakuoneshnes
 
Maskini ungejua binadamu wote tuna funza kichwani wala usingejitapa kumiliki kichwa boga
 
adhana dakika 2 zinakukera? kuna waislam wapo chini ya msikitini hawasikii adhana, ukiwauliza anakwambia sikusikia adhana kwa sabau nilichoka. Hapa tunakusudia Mziki
Kwahiyo unakereka na mziki ila sio adhana ya saa kumi alfajiri???
Shida kubwa ya uislam umetengeneza wafuasi wanafiki sana mbele za watu,na hawana aibu hata kidogo.wako tayari kusema uongo,yupo tayari kunuka mavi na kuonekana mpumbavu ila dini iwe sehemu salama,matokeo yake mpaka dini inaonekana ni ya kipumbavu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…