Ibrahim Rahbi na Azam na uchambuzi wa mgogoro wa Israel na Hamas

naijua oslo acord kuliko wewe. ila sasa jibu swali, lini palishawahi kuwepo nchi ya palestina (sio palestinian authority), taja rais wake hata mmoja tu au hata mfalme wake even one. kama huwezi, kwenda zako huko.
Mkuu hicho ndicho kinachopiganiwa sasahivu kwasababu kuna madhalimu hawataki kutii sheria na mikataba ya kimataifa ndio maana tunasema hamas wana haki ya kupigania taifa lao na kukataa any form of occupation and oppression from israel
 
Mkuu hicho ndicho kinachopiganiwa sasahivu kwasababu kuna madhalimu hawataki kutii sheria na mikataba ya kimataifa ndio maana tunasema hamas wana haki ya kupigania taifa lao na kukataa any form of occupation and oppression from israel
taifa lao lipi we mjinga? lingi palishawahi kuwepo na taifa linaitwa palestina? rais wao alikuwa nani, mfalme wao alikuwa nani? taja hata mmoja tu.
 
taifa lao lipi we mjinga? lingi palishawahi kuwepo na taifa linaitwa palestina? rais wao alikuwa nani, mfalme wao alikuwa nani? taja hata mmoja tu.
Itakuwa huna akili kama hujui huu mgogoro unahusu nini na ubishi wako wa kijiweni
 
Kichukuliwe hatua na nani ? Wewe sii uchukue tu hizo hatua unangoja nini?
 
Hoja zako azina mashiko jeshi la Yemeni linahaki ya kuzuia meli zipite kwenye maji yake

Pia hiyo bandari ya isirael mwanzo ilikuwa upande wa palesitina wakaikalia kwa mabavu

Unapo sema heti ni muisilamu huo ni upumbavu kwani muisilamu apaswi kusema kweli?

Nchi ya afirika kusini imeishitaka Israel kwenye mahakama ya kimataifa kosa mauji ya kimbari ndio kusema hao wanasheria ni waisilamu?
 
Kigezo sio kujenga hizo bandari zimejengwa kwenye aridhi ya nani?
 
Yule ni mchambuzi na anachambua kwa mtazamo wala sio msimamo wa media house ya Azam, unasumbuliwa na udini bro, na wewe chambua tuone maoni yako.
Stachumbua nini mjinga tu huyo kwanza ukiona mtu kila kitu anakihusisha na udini mtu huyo akili zake sio sawa
 
Ndiyo tatizo la kukaririshwa! Sijui Mungu gani anakuwa dalali wa kiwanja/ ardhi! As if leo akija mtu toka Misri na dini yake inaitwa Kemet Orthodox akaja kumwambia Mungu wake amemuambia eneo alilopo ni mali yaie amepewa yeye na uzao wake wote! Yeye atakuwa tayar kumpisha.
 
Houth wanahaki ya kuzuia meli za isirael zisipite kwenye maji yao daudi Saudi hawa ndio vibaraka wa israel
 
Jamaa fulani azam wamemuweka kila siku asubuhi awe anachambua masuala ya kisiasa, anaamini anajua sana kumbe hamna kitu udini tu umemjaa. hajawahi kuongea chochote ila vile vinavyopendelea dini yake.
Kwani muisilamu hapaswi kusema kweli?
 
Yeye ni muislam, Azam channel ya muislam imemuweka awe anachambua masuala yote yanayoigusa Israel na Hamas, pamoja na wahurthi.
Mfalme, kwako wewe unaumia unapoona Muislam anachambua masuala ya Mashariki ya kati? Mbona unaonesha hisia hasi kwa Watanzania wenzio kisa dini? Unataka kumaanisha kwamba vyombo vyote vya habari vinavyomilikiwa na wakristo ni marufuku mkristo kuchambua masuala na vile vinavyomilikiwa na waislam iwe marufuku muislam kuchambua? Hapa unachochea ubaguzi ambao hauna afya yoyote kwa taifa.
Kwanini UN hawaitambui Palestine kama nchi? Na umoja wa mataifa ni nani? Kwa maoni yako na utashi wako unaona Palestine haistahili kuwa nchi bali inastahili kutawaliwa?
Kama UN wameitambua Israel kama nchi, mfanyakazi mmoja wa serikali ya Tanzania anakujaje leo kusema Israel sio nchi? Na kwamba ile bandari haipo ISrael ipo palestina?
Bila shaka wewe ni mfuatikiaji mzuri wa siasa za kimataifa, Katibu Mkuu wa UN alisema nini juu ya mzozo wa Isreal na Palestine? Mwalimu Nyerere ambaye alikuwa ndio mfanyakazi namba moja wa serikali alikuwa na msimamo upi juu ya Palestine?
Serikali kutotamka lolote kwa wakati huu sio hoja, Mwalimu Nyerere alikuwa ni Rais wa nchi na ni Mkristo lakini haikumzuia kuweka msimamo wake dhidi ya Isreal ambapo aliona kinachofanywa na Waisrael huko Palestine sio haki. Na yeye Mwalimu alipambana na kuwatetea waliodhulumiwa ikiwemo Afrika ya Kusini dhidi ya Makaburu.
Anapokataa uwepo wa Israel wakati bado anafanya kazi serikalini, anafanya hivyo kwa kuwakilisha chuo cha mwalimu nyerere au anafikiri nini? Chuo kimwangalie kwasababu suala la dini, Israel na palestina sio laini, linaweza kuharibu mshikamano wetu.
Anakataa uwepo wa Isreal mahala gani? Vipi kuhusu mipaka ya mwaka 1967 inayotambuliwa na Umoja wa mataifa ambayo Isreal kila kukicha inaendeleza makazi ya Wayahudi na kunyang'anya ardhi ya Wapalestine, unalionaje hili Mfalme?

Afrika Kusini wala sio nchi ya kiislam na haiongozwi na muislam lakini kutokana na kinachofanywa na Isreal huko Gaza nchi imeamua kusimama dhidi ya Isreal, hapo ndugu Mfalme una maoni gani pia?

Unadhani Ramaphosa anasimama dhidi ya Isreal anatetea uislam? Ana udini? Jibu ni hapana bali anatetea UTU, UBINADAMU na kupinga dhulma, unyanyasaji, ukatili ambao kimsingi huwezi kutofautisha na UGAIDI ambacho ndicho kinachofanywa na Isreal huko Gaza.

Au Mfalme, ukiondoa dini yako na ukaamua kubaki na utu wako, kwa dhati yako kabisa unaona wale watoto, wanawake, wazee maelfu kwa maelfu wanaouwa kila siku na Isreal ni sawa?

Na unadhani nini kifanyike ili utulivu na amani ya kudumu ipatikane huko Isreal na Palestine?

Au Mfalme utaungana na wale mawaziri wawili wa Isreal waliotangaza waziwazi kwamba Wapastina wote waangamizwe na mwenzie akasema Wapalestina wote wafukuzwe na pajengwe nyumba za waisreal?
4. Ni mtanzania wa aina gani tena mfanyakazi wa serikali anaweza kuongea mbele ya chombo cha tv kwamba wahurthi Yemen wasilaumiwe badi Israel ndio ilaumiwe?
Huyu hatakuwa mfanyakazi wa kwanza kueleza sababu au kiini cha machafuko huko Isreal na Palestine. Katibu Mkuu wa UN mbele ya vyombo vya habari vya kimataifa alibainisha wazi kuwa vitendo vinavyofanywa na Isreal kwa Wapalestine ndio vinachochea matokeo hasi. Lau Isreal ingekuwa inawatreat kiutu Wapalestina, kutambua uhuru wao, utaifa wao na kila mmoja akaheshimu mipaka ya mwenzie yamkini hata jina la Hamas usingelisikia Mfalme.
Ndugu Mfalme unapaswa kuwa fair kwa mambo ya huko. Marekani, Uingereza, Ufaransa, Ujerumani wanatoa fedha na mabomu kuyapeleka Isreal ili yatupwe Gaza kuteketeza na kuchanachana mpaka miili ya watoto na wanawake kwa kisingizio cha kujilinda, huu wewe huoni kuwa ni ugaidi wa kutisha zaidi kuliko hata ugaidi wa Wahuthi?

Marekani inapotoa silaha kwa Isreal iangamize hata wasio na hatia huko Gaza na kweli imeangamiza vya kutosha huoni kama hili pia linapaswa kukemewa kama ambavyo wahuthi wanapozuia meli za Isreal na wafadhili wake kushinikiza waache kuendelea kuangamiza maisha ya wasio na hatia huko Gaza.

Mwisho; kama huyo Mchambuzi anasapoti kusimamisha mauaji ya Isreal huko Palestine na kwa sapoti hii wewe unamnasibisha na gaidi basi kufanya hivyo unaleta tafsiri kuwa hata Mwalimu Nyerere, Nelson Mandela na sasa Ramaphosa wanatetea ugaidi duniani.

Usisahau hata Mandela wakati anapigania uhuru dhidi ya ubanguzi na ukatili wa Makaburu naye aliitwa Gaidi na akafungwa jela kwa ugaidi wake. Unaamini Mandela kweli alikuwa Gaidi?

Mfalme, tumia Ufalme wako kusimamia haki, uadilifu, usawa, utu na uhuru. Ufalme huohuo utumie kupinga dhulma, ubaguzi, unyanyasaji, unyonyaji kwa wananchi wako bila kujali dini zao, makabila yao, jinsia zao.
 
Hawa watu wanasema hadi Nduli Iddi Amin dada alionewa baada ya kuvamia, kuua watanzania na kutangaza kui annex Kagera kisa dini yao moja.!! Wahouth walitaka wazungu wawatazame tu wanavyovamia meli zao.!!!!
 
Kama huyo Ni lecturer, wanafunzi wasipofahamu misimamo yake ya kiislam watafeli vibaya, usalama wao Ni kusifia Hamas, Boko Haram, isis n. k Kama vikundi vya ukombozi!!!!
 
kama yupo mchambuzi anaesema ukweli azam kuanzia kesho naanza kumfatilia asanteni azam na mbarikiwe sana na muendelee na uislamu wenu uwe na nguvu
 

hata mama yako alikuwa kwenye mpango huo wa ugaidi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…