Ibrahim Rahbi na Azam na uchambuzi wa mgogoro wa Israel na Hamas

Yule ni mchambuzi na anachambua kwa mtazamo wala sio msimamo wa media house ya Azam, unasumbuliwa na udini bro, na wewe chambua tuone maoni yako.
Hivi kwa mfano akichambua kwa kuisifia Israel kuishambulia Hamas, ataendelea kualikwa Azam?
 
Gaidi kwako ni mpigania uhuru kwa mwingine kama ambavyo Mandela alipigwa ban kuingia US kuwa ni ugaidi.
Udini unaingiaje hapo?
NB; Waisraeli sio Wakristo
 
Jamaa fulani azam wamemuweka kila siku asubuhi awe anachambua masuala ya kisiasa, anaamini anajua sana kumbe hamna kitu udini tu umemjaa. hajawahi kuongea chochote ila vile vinavyopendelea dini yake.
Si kama udini umejaa, anachoongea huyu jamaa ni ukweli mtupu ambao watu wengi hawataki kuusikia. Israel imeundwa na Waingereza na Wamarekani mwaka 1948 kabla ya hapo Israel haikuwa nchi, wewe unaumia wapi kwa ukweli huu?
 
Si kama udini umejaa, anachoongea huyu jamaa ni ukweli mtupu ambao watu wengi hawataki kuusikia. Israel imeundwa na Waingereza na Wamarekani mwaka 1948 kabla ya hapo Israel haikuwa nchi, wewe unaumia wapi kwa ukweli huu?
hivyo ndivyo mnavyofundishwa huko misikitini, tuambie lini kulishawahi kuwa na taifa la palestina, taja hata rais mmoja tu au waziri mkuu au hata mfalme. nenda kawaulize na viongozi wako ukiona hujui hili swali.
 
Gaidi kwako ni mpigania uhuru kwa mwingine kama ambavyo Mandela alipigwa ban kuingia US kuwa ni ugaidi.
Udini unaingiaje hapo?
NB; Waisraeli sio Wakristo
gaidi kwangu mimi ni mtu aliyemuua Joshua na clement, watanzania wasio na hatia kabisa, gaidi ni mtu yeyote anayesema kuua mtu unapewa mabikira 72. ni nini icho sasa kama sio ugaidi?
 
Kigezo sio kujenga hizo bandari zimejengwa kwenye aridhi ya nani?
kwenye ardhi ya waisrael, Biblia imeonyesha hadi mipaka. tuambie, lini kulishawahi kuwepo taifa la palestina, ili tujue kuwa ni kweli hiyo ardhi ni ya wapalestina. waarabu wote wameshindwa kujibu hili swahi labda wewe utaweza. tutajie hata rais wao mmoja tu, au waziri wao mkuu au mfalme prior to 1948.
 
hiyo haki kwenye international water wanaitoa wapi, ongea kama una ubongo walau kidogo.
 
Wananchi wa Israel waandamana kupinga Serikali juu ya vita inayo endelea na kushinikiza kufanyika kwa Uchaguzi Mkuu.
Chanzo israel television na Aljazera tv
 
HAPA MNAPIGIANA KELELE NA WAISLAMU NA WAARABU AMBAO WANA MIKAKATI YA KUWAUA WAYAHUDI NA WAKRISTO DUNIANI KOTE ILA WAMEKUTA WAKRSTO NA WAYAHUDI WA ZAMA HIZI WABABE AFU WANAPENDA VITA.....NA PIA MUNGU WA WAYAHUDI NA WAKRSTO YEHOVA ANAWALINDA DHIDI YA MIPANGO OVU YA MUNGU WA KIARABU ALKAH!!!
NB: WAISLAMU NA WAARABU WANAKESHA MSIKITINI WAKIMUOMBA MUNGU WAO WA KIARABU ALLAH AWAUE WAYAHUDI NA WAKRISTO NA WAYAZIDI NA WAHINDU NA WABUDHA..!!!
 
MTAWACHUKIA WAYAHUDI NA WAKRSTO AFU MTAKUFA MTAWAACHA.....KAMA WALIVYOKUA BABU ZENU NA BABA ZENU......!!!!
 
IDDI AMINI ALIWATUKANA WAYAHUDI NA WAKRSTO KUWASEMA VIBAYA KIPO WAPI????
GHADAFI KIPO WAPI???
WAMEKUFA WAMEWAACHA WAYAHUDI NA TAIFA LAO WAPO.
 
Sijawahi kuangalia azam hata siku moja maisha yote duniani.
So simjui mwenye tv wala mwajiriwa yoyote.
Ni kwamba sina interest
 
Yaani azam Tv Ina maadui wengi kisa mmiliki ni muislam


Zile chaneli za miziki na mipira mbona hamsemi uislamu hautaki ila kaziweka?
[emoji1787][emoji1787]argument ya kitoto sasa hii,anayepaswa kumshangaa Bakhresa kuhusu muziki,mpira,ndondi..ni nyie mnayemuona ni bonge ĺa ustaadh huku mkijipanga foleni kwenda kuomba hela na majuba yenu!
 
hivyo ndivyo mnavyofundishwa huko misikitini, tuambie lini kulishawahi kuwa na taifa la palestina, taja hata rais mmoja tu au waziri mkuu au hata mfalme. nenda kawaulize na viongozi wako ukiona hujui hili swali.
Mkuu unaijuwa historia lakini au na wewe ni wale wale tu?
 
Mtoa uzi anataka kuwa Mkatoliki kumpita Papa
Huyu kijana unayemsema huwa anapigiwa simu mpaka na vyombo vya habari ambavyo vinaheshimika duniani kama BBC, DW na VOA kudadavua matukio mbalimbali ya kimataifa
Wewe ni nani kumkosoa
 
Mkuu unaijuwa historia lakini au na wewe ni wale wale tu?
wewe unayeijua historia, tuambie, lini paliwahi kuwepo taifa linaitwa palestina, tutajie rais wao au mfalme wao, au hata waziri mkuu. taja tafadhali.

kwa kukusaidia tu, hapajawahi kuwepo hilo taifa, eneo hilo limekuwa chini ya mataifa mengine karne kadhaa, karibuni hivi walikuwepo ottoman empire ambao ni waturuki, mwisho wakawepo waingereza hadi 1948. waarabu hao unaowaita wapalestina walikuwa na ndoto wao waunde taifa jipya pale wakiichukua nchi chini ya mwingereza, myahudi akawawahi na kutangaza taifa kabla mwarabu hajatangaza. huu ndio ukweli ambao hamfundishwi.
 
Kachambua vizuri sana tatizo humu jf ujuaji mwingi sana sababu wengi wamejaa humu walimu wa UPE na waumini wa mwamposa plus bodaboda na mashabiki wa yanga ambazo wengi wao ni banana
 
Hamasi sio magaidi magaidi ni hao UN na Israel wanao ua watoto na wanawake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…