Makwizi Band
JF-Expert Member
- Aug 19, 2024
- 2,691
- 4,057
Just formalities, ni wajinga pekee yao wanaweza kusema eti kura zetu huaga zina amua chochote. Tumeyaona hayo na tumewasikia wana ccm kadhaa wakitamka hadharani kuhusu hiloRole ya raia huwa ni kutekeleza haki yao ya kumpigia kura.
Kila kukicha serikali yake inaibuka na madai "wamezima jaribio la mapinduzi"
Leta za ukweliHuyu anapewa sifa za uongo
Hapo kwenye kufanya vizuri kiukweli anajitahidi kidogo lakini kusema ukweli waafrika ni viazi ambao wanadanganyika kirahisi. Uwezo wa ku judge wa waafrika ni mdogo kiasi cha kusikitisha.Hivi kwa nini Waafrika hudanganyika kirahisi rahisi hivyo?
Kuna watu kwenye hii mitandao wanaotumia nguvu za ziada kulazimisha umaarufu wa dikteta uchwara wa Burkina Faso.
Habari nyingi kumhusu yeye ni za uongo.
Kwa bahati mbaya zaidi, watu wanaouamini huo uongo ni wengi sana na ni Waafrika.
Case in point ni hii clip ya YouTube Shorts. Madai ni kwamba eti nyomi la watu katika mji mkuu wa Ufaransa, Paris, walijitokeza barabarani na kuandamana kumuunga mkono.
View: https://youtube.com/shorts/Wmo9mPPp7BM?si=fCOX3bChahmHrMBN
Ukweli ni kwamba hao watu ni Waserbia waliokuwa wanaandamana huko Belgrade kuipinga serikali yao.
Kama kweli huyo Traore anapendwa sana na anafanya maajabu, kwa nini uongo na uzushi unatumika katika kumsifia?
YouTube kuna video nyingi za uongo zikimwonyesha akizungumza Kiingereza na ukienda kwenye comment section unakutana na nyumbu wa Kiafrika wakimsifia kwa kutema madini ilhali ni AI!!
Bara limejaa watu viazi na vilaza sana aisee.
Uongo wa nini kama kweli anafanya vizuri?
MK254
Inferiority complex inatusumbua.Hapo kwenye kufanya vizuri kiukweli anajitahidi kidogo lakini kusema ukweli waafrika ni viazi ambao wanadanganyika kirahisi. Uwezo wa ku judge wa waafrika ni mdogo kiasi cha kusikitisha.
Ndiyo maana Kila anachokisema mtu maarufu wao huamini ni cha kweli. Mtu aliyetoka chuo kikuu akisema chochote basi wale ambao hawajafika kule huamini haraka haraka.
Nyambafu sana waafrika wengi.
Food for thought.Hivi kwa nini Waafrika hudanganyika kirahisi rahisi hivyo?
Kuna watu kwenye hii mitandao wanaotumia nguvu za ziada kulazimisha umaarufu wa dikteta uchwara wa Burkina Faso.
Habari nyingi kumhusu yeye ni za uongo.
Kwa bahati mbaya zaidi, watu wanaouamini huo uongo ni wengi sana na ni Waafrika.
Case in point ni hii clip ya YouTube Shorts. Madai ni kwamba eti nyomi la watu katika mji mkuu wa Ufaransa, Paris, walijitokeza barabarani na kuandamana kumuunga mkono.
View: https://youtube.com/shorts/Wmo9mPPp7BM?si=fCOX3bChahmHrMBN
Ukweli ni kwamba hao watu ni Waserbia waliokuwa wanaandamana huko Belgrade kuipinga serikali yao.
Kama kweli huyo Traore anapendwa sana na anafanya maajabu, kwa nini uongo na uzushi unatumika katika kumsifia?
YouTube kuna video nyingi za uongo zikimwonyesha akizungumza Kiingereza na ukienda kwenye comment section unakutana na nyumbu wa Kiafrika wakimsifia kwa kutema madini ilhali ni AI!!
Bara limejaa watu viazi na vilaza sana aisee.
Uongo wa nini kama kweli anafanya vizuri?
MK254
Tuko wachache tunaopenda ukweli na hatuamini mambo ya kizushi kirahisi. Sehemu kubwa ya jamii yetu wanaamini uzushi kirahisi sana.Hivi kwa nini Waafrika hudanganyika kirahisi rahisi hivyo?
Kuna watu kwenye hii mitandao wanaotumia nguvu za ziada kulazimisha umaarufu wa dikteta uchwara wa Burkina Faso.
Habari nyingi kumhusu yeye ni za uongo.
Kwa bahati mbaya zaidi, watu wanaouamini huo uongo ni wengi sana na ni Waafrika.
Case in point ni hii clip ya YouTube Shorts. Madai ni kwamba eti nyomi la watu katika mji mkuu wa Ufaransa, Paris, walijitokeza barabarani na kuandamana kumuunga mkono.
View: https://youtube.com/shorts/Wmo9mPPp7BM?si=fCOX3bChahmHrMBN
Ukweli ni kwamba hao watu ni Waserbia waliokuwa wanaandamana huko Belgrade kuipinga serikali yao.
Kama kweli huyo Traore anapendwa sana na anafanya maajabu, kwa nini uongo na uzushi unatumika katika kumsifia?
YouTube kuna video nyingi za uongo zikimwonyesha akizungumza Kiingereza na ukienda kwenye comment section unakutana na nyumbu wa Kiafrika wakimsifia kwa kutema madini ilhali ni AI!!
Bara limejaa watu viazi na vilaza sana aisee.
Uongo wa nini kama kweli anafanya vizuri?
MK254
Lakini kuhusu huyo Traore ni Waafrika wengi sana wanaoamini mambo ya uongo kuhusu yeye!
Akili za Waafrika ni duni sana aisee.
Leteni ukweli sasa.Wewe upo kwenye level ya kuwa genius,waafrika wengi hawana uwezo wa kupambanua mambo, medicator huwa wanapropaganda machine wanazozitumia kukuza umaarufu wa tawala zao,ni kama hapa kwetu enzi za utawala wa Magu tulidanganywa mambo mengi mfano ni lile jiwe kubwa la dhahabu lililodaiwa kupatwa na yule mtu waliemuita Leizer,ulikuwa uwongo mtupu,watu wenye akili zao za kutosha hawadanywagi na uwongo kama huo,eti Traore ameuza madini amelipa madeni yote ya taifa lake,huo ni upuuzi mtupu.
Propaganda za kitoto sana za huyu jamaa. Kila week utasikia wamezima jaribio la mapinduzi. Huyu bodyguard choka mbaya eti kakataa mil 5 usd ukimcheck hata hajielewi utadhani ni kibaka tu kaokotwa sehemu.View attachment 3333335
Huyu bodyguard wa Traore ni wa kukataa $m5 kweli🤣?
Wafuasi mashabiki wa Ibrah Traore ni kama wana cracks kwenye bongo zao,Propaganda za kitoto sana za huyu jamaa. Kila week utasikia wamezima jaribio la mapinduzi. Huyu bodyguard choka mbaya eti kakataa mil 5 usd ukimcheck hata hajielewi utadhani ni kibaka tu kaokotwa sehemu.
Hao black American wanaishi kivyao kwasababu ya ubaguzi. Black people wanabaguliwa hata kuliko hao Asians leo hii vurugu ikitokea sehemu huko Marekani mtu mweusi ndo wakwanza kukamatwa hata kama hakuhusika huko mashuleni na vyuoni Black people wanabaguliwa ile mbaya.aliyelea waafrika ndiyo huyo huyo aliyelea black amerikan, wote wamelelewa kuchukia mkono unaowalisha, wakati dunia nzima wanashirikiana na Western Christian Nations na kujifunza sisi tunafundishwa kuwachukia, angalia india wameamka nao walikuwa wajinga hivyo, matokeo yake black amerikan wamekuwa USA kwa zaidi ya miaka 400 lkn ni poorest group pmj na opport. zote US has to offer, black amerikan wanakataa hata kuongea proper english wameunda ya kwao, wanachakula chao, wanavaa kivyao wako busy kujitenga na Christian Amerika kama waafrika pia mwalimu wao ni mmoja, matokeo yake umaskini na backwardness na wanshindwa ku move up the ladder kwa sababu hawana qualications za kuwafanya wapate kazi nzuri kwa sababu wanakataa elimu wanaita kua act white kwa black anayesoma anaitwa sell out, kama afrika vile vile, lkn asians wanakuja wanajifunza wanapata kazi nzuri wanaingia middle class na upper class …
Hao black American wanaishi kivyao kwasababu ya ubaguzi. Black people wanabaguliwa hata kuliko hao Asians leo hii vurugu ikitokea sehemu huko Marekani mtu mweusi ndo wakwanza kukamatwa hata kama hakuhusika huko mashuleni na vyuoni Black people wanabaguliwa ile mbaya.
Pia Christian Education sio factor ya nchi kuendelea nchi kama Israel na Iran hazina Christian Education na zimeendelea. Kumbuka ya pia unyonyaji wa hao Western Christians ndo umeifikisha Afrika hapa ilipo.
Kwahiyo?Walioingia kidemokrasia waliifanyia yapi mazuri Burkinafaso na wananchi wake?