Ibrahim Traore: Huu ndo ujinga na upumbavu wa Waafrika!

Wakoloni wamekaa hapa tangu 1800's hadi 196+

unasemaje miaka 50
 
🤣🤣.

Hakuna maendeleo yoyote huko wewe.

Dogo ni mshamba tu na ni creation wa social media.
Yeye hausiki kwenye huo upuuzi

Upuuzi unazushwa na wapuuzi wenye hizo social media na followers wao nao ni wapuuzi tu

Mwamba hausiki
 
Kumbuka ya kuwa waarabu walikuwa na njia zao za kupata hao watumwa hawakuingia tu sehemu na kuwasomba watu kuna muda walikuwa wanawatumia wafungwa na watu waliofanya uhalifu na pia waliingia mikataba na machifu.

Na sisemi ya kuwa waarabu hawakuwa na makosa. Ila hao wazungu na waarabu wote lao lilikuwa moja kututumikisha na kutuambukiza dini zao.
 
I refuse to fall for fake narratives.

Traore is nothing but a hype job. A social media creation.

Eti alikataa mwaliko wa Trump 🤣.

Hata aibu hamna nyie watu.
Je, yeye aliwahi kusema hivyo?

Wachukie hao watafuta like na followers sio yeye
 

watumwa ni sehemu moja, ila nyingine ni caravan iliyotoka kigoma hadi pwani zaidi km 1000 kwa mguu na mizigo walibebeshwa waafrika nankwa miaka mingi sana tu hiyo practice iliendelea hiyo iliisha baada tu ya Christians kuja, hata utumwa ulimalizwa na Christians pia, hivyo unaposema “kutupambikizia” dini zao haujui kwamba biashara ya utumwa iliisha baada ya Kanisa kuingilia atleast kwa hapa kwetu ?
 
Wakoloni wamekaa hapa tangu 1800's hadi 196+

unasemaje miaka 50

wakoloni wa kizungu wa kwanza walikuwa wajerumani ulianza mwaka 1896 ukaisha mwaka 1918 baada ya vita kuu ya kwanza ya dunia kuisha na wajerumani kushindwa wakanyang’anywa na kuwekwa chini ya uangalizi wa uingereza ktk 1920 mpaka 1961 do the arithmetic hiyo ni miaka mingapi ya ukoloni wa kizungu? isitoshe chini ya uingereza hatukuwa really koloni kama vile kenya, ug au zambia, malawi na wengineo.

hivyo hapa kwetu wazungu hawakukaa sana, mnadanganywa sana …
 
Utumwa ulimalizwa na Industrial revolution yaani mapinduzi ya viwanda. Hao wajerumani walikuwa wakristo ila walishiriki kwenye slave trade hata Uingereza matajiri walikuwa na watumwa bila kusahau Marekani kipindi cha Trans Antlantic Slave Trade.

Industrial revolution pekee ndo ilimaliza slave trade kwakuwa demand ya slaves ilipungua.
 

nafikiri unachanganya mambo, watumwa wa liouzwa kwetu hawakuwa na uhusiano wowote ule na industrial revolution kwani hawakupelekwa western countries na hata wanunuzi hawakuwa wazungu, usichanganye atlantic slave trade na biashara ya utumwa ya kwetu iliyofanywa na waarabu ni vitu viwili tofauti …
 
Sema sera zake mbili zilizo nzuri kwa Africa
Nilimsikia akizungumzia swala la matibabu kwa wakina Mama wanaotaka kujifungua ni bure na swala la kuwa na viwanda vya ndani bila kutegemea vitu vingi kutoka nje bila kusahau kutohitaji msaada wa chakula kutoka nchi za Ulaya hasa Ukraine ishu ya Ngano wakati wao wapo vitani wanatoa ngano kwa Nchi ambazo hakuna vita mtu kama huyu ukimsikia anaongea hivi ukimponda jua tu una matatizo yako binafsi..
 
Hao waarabu walikuwa wanawachukua watumwa kutoka kwetu halafu wanawauzia wazungu. Ndo maana watu weusi walikuwa wengi nchi za Ulaya kuliko Uarabuni kwahiyo industrial revolution ilimaliza utumwa na si dini. Wamarekani wengi ni wakristo ila walishiriki Trans Atlantic slave trade.
 

siyo kweli, unachanganya, hakuna mtumwa ktk kwetu aliyepelekwa USA na Amerikas, unajua kwa nini kwanza iliitwa the atlantic slave trade ? biashara ya utumwa ya kwetu ni kama inayoendelea leo hii sudani, maurtania au mali haina uhusiano na western Christian countries ….
 
Miaka 37 kupindua nchi na kusurvive sio mchezo.Umri wake nafikiri ndo unempa umashuhuri, huo umri vijana wengi wa Dar bado wanakimbizana na pombe na minyama ya bure pamoja na kuwa machawa.
 
Hakuna sehemu nimesema watumwa wetu walipelekwa USA nimesema tu US ina wakristo wengi ila bado walishiriki Trans Antlantic.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…