Ibrahim Traore: Huu ndo ujinga na upumbavu wa Waafrika!

Traore kakataa kugonbea urais kwenye uchaguzi tu.

Kama anapendwa hivyo kweli, kwa nini hagombei urais kwenye uchaguzi?
 
Huyu limbukeni anayetembea na bastola kiunoni huwaambii watu wa Afrika kitu chochote kibaya kuhusu yeye. Kla siku wanazua jambo jipya la kumsifia. Ni suala la muda tu watajua rangi zake kwa sababu usanii wake hauwezi kudumu kwa muda mrefu. Alikuwepo mwingine akiitwa master sergent Doe, baadae akageuka chinja chinja na kufa kifo kibaya sana.
 
Kumbe bora udikteta

Safi sana
 
Nafuu useme wewe. Yule dogo yuko overrated sana. Mimi namuona ni kama kobe aliyepandishwa kwenye mti tu. Kumbe mwenyewe (Putin) yupo pembeni. Kubadili mkoloni kutoka Paris na kwenda Moscow siyo uzalendo.

Kwanza anatawala 60% ya nchi na 40% iko chini ya wapinzani wake.

Rais kutwa kutembea na bastola kiunoni, mbona hatujawahi kusikia kuwa kumshambulia nani na hiyo bastola
 
Inasikitisha na kufurahisha sana pale mtu mwenye degree 5 za ujinga anawaona wenye degree mbili za ujinga ni wajinga kumzidi yeye
 
Tupe rangi zake halisi.
 
Nimetumanwa sana kwenye social media tofauti kisa huyu dogo, tena kwenye hizo AI generated content za kumkweza, waafrika sisi ni manyumbu sana tu.
Hata huu uzi subiri wanakuja.
Ukiuliza sehemu yenye Burkina Faso people themselves wanatoa maoni anonymously bila uwoga utashangaa hamna.

Lakini wanaoeleza sana maendeleo ya dogo wote ni raia wa nchi zingine nje huku, na hakuna anayediriki kuthibitisha chochote.
 
So issue ni watu kuuwawa ama??,wafuatuliaji wote wa mambo wanajua kuna vita vinaendelea kaskazini mwa nchi hiyo na ni ugaidi uliosababisha na mataifa ya magharibi hasa Ufaransa hilo lipo wazi.
Sio kweli, magaidi wenyewe ni waislam kama wewe na wanadai kumpigania mungu wao anayeitwa allah, sasa Wafaransa na huyo allah ni wapi na wapi.

Mnajaribu sana kupotosha ukweli wa chimbuko halisi la ugaidi ambalo lengo lake kuu ni kulazimisha watu wote wawe waislam kitu ambacho kamwe hakiwezekani.

Kama ni mataifa ya kizungu ndizo zinazofadhili ugaidi na magaidi sasa ni kwa nini wanaokubali huo mpango wawe ni waislam tu dunia nzima...!!!????
 
Kwa nini watu wanampamba kwa mambo ya uongo na uzushi?

Hakuna nyomi lililojitokeza Paris na kuandamana kumuunga mkono..

Ila watu wanatengeneza videos na watu wanatoa maoni utadhani ni kweli!

Why?
Hao ni Youtubers. Wanaishi kwa views.

Na sasa hivi jamaa ni trending sana, ndio maana content creators wanapika kila aina ya taarifa.

In short, Traole kwa Content creators ni PESA.
 
Hao ni Youtubers. Wanaishi kwa views.

Na sasa hivi jamaa ni trending sana, ndio maana content creators wanapika kila aina ya taarifa.

In short, Traole kwa Content creators ni PESA.
Kwa hiyo yeye ni social media creation tu na hana lolote la maana wala hajafanya chochote cha ajabu.

Anapaishwa kwenye social media tu.
 

Traore ni hype + Scam.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…