Unafahamu Libya ya Gaddafi ilikuwa ni nchi mojawapo yenye matatizo makubwa ya umeme barani Africa??LIBYA ILIKUWA INAENDA KUWA FIRST CLASS COUNTRY
Ada bure, matibabu bure, nafuta robo dola, usafiri bei rahisi, vijana wasio kuwa na ajira wanapewa hela ya kujikimu. Duty free shops....
Mabeberu walivyo ona anataka kuunganisha Africa wakose raslimali za viwanda vyao; wakamtengenezea zengwe kuwa ni gaidi na kugawa silaha ili wapigane.....
Sasa hivi hao wanalia na kusaga meno....
wanatamani Mungu amrudishe ila ndio hivyo tena hakuna namna!!!
Unaelewa alichokuwa anakifanya mfaransa pale?Ndiyo yale yale malaya wa bar ana afadhali kuliko malaya wa barabarani.
Upuuzi tu unatetea hapa.
Vipi baada ya mr propaganda gaddafi kufariki Libya inaendeleaje saivi mkuu?Kama kuna kiongozi Africa aliyekuzwa, kutukuzwa na kusifiwa sana kwa propaganda za kila aina na uongo mwingi sana barani Africa basi ni Muamar Gaddafi. Huyu bwana aliimbiwa sifa zote kiasi kwamba ungeweza kufikiri aliifanya Libya sawa na peponi ila uhalisia ulikuwa ni tofauti kabisa, alipewa sifa za kila aina ikiwemo kuharibu uchumi wa "mabeberu" Marekani kwa kukataa kuuza mafuta kwa $dola!
Bila shaka sasa aliyerithi nyota yake ya propoganda ni huyu kijana wa Burkina Faso, Ibrahim Traore. Kuna ujinga mwingi sana Africa.
View attachment 3217287
View attachment 3217288
Usimfananishe Traore na Kiongozi wa hovyo kuwahi kutoka Africa aliyeitwa GhadafiKama kuna kiongozi Africa aliyekuzwa, kutukuzwa na kusifiwa sana kwa propaganda za kila aina na uongo mwingi sana barani Africa basi ni Muamar Gaddafi. Huyu bwana aliimbiwa sifa zote kiasi kwamba ungeweza kufikiri aliifanya Libya sawa na peponi ila uhalisia ulikuwa ni tofauti kabisa, alipewa sifa za kila aina ikiwemo kuharibu uchumi wa "mabeberu" Marekani kwa kukataa kuuza mafuta kwa $dola!
Bila shaka sasa aliyerithi nyota yake ya propoganda ni huyu kijana wa Burkina Faso, Ibrahim Traore. Kuna ujinga mwingi sana Africa.
View attachment 3217287
View attachment 3217288
Kwa hiyo maisha ya walibya enzi za gadaffi yalikuwa mabaya kuliko ya Watanzania na sehemu nyingine Afrika? Wewe ni nchi gani afrika ambapo raia alikuwa anapewa posho, elimu bure hata nje ya nchi, afya bure hata utake matibabu ambayo yanapatikana nje ya nchi, posho ya kuanzia maisha baada ya ndoa n.k?Kama kuna kiongozi Africa aliyekuzwa, kutukuzwa na kusifiwa sana kwa propaganda za kila aina na uongo mwingi sana barani Africa basi ni Muamar Gaddafi. Huyu bwana aliimbiwa sifa zote kiasi kwamba ungeweza kufikiri aliifanya Libya sawa na peponi ila uhalisia ulikuwa ni tofauti kabisa, alipewa sifa za kila aina ikiwemo kuharibu uchumi wa "mabeberu" Marekani kwa kukataa kuuza mafuta kwa $dola!
Bila shaka sasa aliyerithi nyota yake ya propoganda ni huyu kijana wa Burkina Faso, Ibrahim Traore. Kuna ujinga mwingi sana Africa.
View attachment 3217287
View attachment 3217288
Aisee kumbe we bado hujielewi na haujui kabisaaaa hebu kaa kwa kutulia, unakumbuka mabalaa kipindi cha mwaka 2012?Kikwete aliuza rasilimali gani za Tanzania?
Uhuru aliuza rasilimali gani za Kenya?
Unafahamu Libya ya Gaddafi ilikuwa ni nchi mojawapo yenye matatizo makubwa ya umeme barani Africa??
Wahusika wenye wanasemaje?Hizi ndio propaganda Gaddafi alizofanikiwa kusambaza Africa nzima.
Unafahamu Libya ya Gaddafi ilikuwa ni mojawapo ya nchi zenye viwango vya juu sana vya ukosefu wa ajira (unemployment) hasa kwa vijana hali ilyopelekea wawe wanaishi kwa msaada wa TASAF ya Libya??LIBYA ILIKUWA INAENDA KUWA FIRST CLASS COUNTRY
Ada bure kuanzia primary hadi university, matibabu bure, mafuta ya petrol/diesel robo dola kwa lita, usafiri bei rahisi, vijana wasio kuwa na ajira walipewa hela ya kujikimu, Duty free shops....
Kosa la Gadafi likawa kutaka kuunganisha Africa; mabeberu walivyo ona akiunganisha Africa na kuwatoa usingizini .....watakosa raslimali za viwanda vyao; wakaona wamtengenezee zengwe kuwa ni gaidi na Anamiliki Nuclear...bila ushahidi wowote!
Vijana wa Kiafrica walivyo wajinga (rahisi kuwa manipulate) wakahamasishwa na kupewa silaha ili wapigane.....
Sasa hivi wanalia na kusaga meno.... wanatamani Mungu amrudishe ila ndio hivyo tena hakuna namna!!!
Hiyo ni kweli kabisa, Libya ni kati ya Nchi ambazo vijana wengi hawana ajiraUnafahamu Libya ya Gaddafi ilikuwa ni mojawapo ya nchi zenye viwango vya juu sana vya ukosefu wa ajira (unemployment) hasa kwa vijana hali ilyopelekea wawe wanaishi kwa msaada wa TASAF ya Libya??
Tanzania huwa hawaruhusu watu wenye drama za kisanii kwenye mambo ya Ulinzi na Usalama.Sijui kwa nini hakuja Dar kwenye mkutano wa Nishati..
Hakuwa na akili za kuwekeza kwenye viwanda, yeye alijikita kuwagaia watu vipesa kidogo kidogo ili wabaki tegemezi na chawa kwake. Hata silaha bora na mafunzo bora ya kijeshi aliwapatia kikosi chake cha ulinzi binafsi na eneo la nyumbani kwake tu huku sehemu kubwa ya jeshi akiiacha hovyo kwa sababu ya paronia yake ya kuogopa kupinduliwa.Hiyo ni kweli kabisa, Libya ni kati ya Nchi ambazo vijana wengi hawana ajira
Nafikiri kwa sababu ya jangwa, Gadafi alitakiwa awekeze kwenye Viwanda ili vijana wengi wapate ajira...
Ila Gaddafi alikuwa na mbwembwe na mashamsham sanaš¤£. Kuna mwaka alipoenda kwenye mkutano wa UN Marekani ulitokea mzozo mkubwa sana na serikali ya Marekani kwa sababu walimkatalia kusimika hema lake la utamaduni wa jangwani la Bedouin awe anakaa huko, ndipo Trump akamkodishia moja ya eneo lake aweke hilo tent lake la muda la kuishi.Tanzania huwa hawaruhusu watu wenye drama za kisanii kwenye mambo ya Ulinzi na Usalama.
Baada ya mkutano uliofanyika wa South Afrika miaka ile enzi Mkapa ni alipokuwa madarakani, Ghaddaf alipanga kutoka South Africa hadi Libya kwa barabara.
Huko njiani katika kila nchi aliyooita, alikuwa akigawa hela kwa wananchi waliojipanga barabarani kumuona, huku kila wanapopita waki jam mawasiliano.
Msafara wake kwa njia ya barabara ukaendelea hadi kufika Malawi, safai ikaishia hapo. Tanzania haikuruhusu ule msafari kwa namna walivyojipangia.
Ikabidi Ghadaf achukuliwe na ndege, msafara wake ukaelekezwa Mozambique, huko ukapakiwa kwenye meli kurudi kwao Libya.
HIvyo hata huyu dogo mwenye balehe anayejiona 'Komando Joni', yeye pia security strategies and frameworks zake zimekataliwa na wenyeji, hivyo akaona ni bra kutokwenda.
Uyo ulokole ndio umearibu kichwa propaganda wkt Gaddafi kasaidia sana Africa misaada mingi sanaa na akuwadai ata Tanzania ametusaidia sana Gaddafi umekwama zwazwa la kununua udongo! Jina la Ibrahim ndio tatizo kwake lkn Akisikia watu wanasifia Nelson Mandela Patrick Lumumba kwame Nkrumah anajisikia swafi lkn akisikia jina la Kislamu anatamani kupasuka mijitu imejaa chuki kama wanakula mavi uko kanisani !!! mwache Apasuke tu lkn kwasasa Mwamba wa AFRICA ndio uyo IBRAHIM TRAOLE, kila kona ya AFRICA anatajwa yeye tu.Vipi Libya ya sasa na ile ya Gaddafi ziko sawa?
ZWAZWA LA KILOKOLE KWENYE UBOLA WAKO tukiwaambia uko kanisani mnalishwaga upumbavu mnakataaa sasa umekuja kujivua nguo mbele za watuKama kuna kiongozi Africa aliyekuzwa, kutukuzwa na kusifiwa sana kwa propaganda za kila aina na uongo mwingi sana barani Africa basi ni Muamar Gaddafi. Huyu bwana aliimbiwa sifa zote kiasi kwamba ungeweza kufikiri aliifanya Libya sawa na peponi ila uhalisia ulikuwa ni tofauti kabisa, alipewa sifa za kila aina ikiwemo kuharibu uchumi wa "mabeberu" Marekani kwa kukataa kuuza mafuta kwa $dola!
Bila shaka sasa aliyerithi nyota yake ya propoganda ni huyu kijana wa Burkina Faso, Ibrahim Traore. Kuna ujinga mwingi sana Africa.
View attachment 3217287
View attachment 3217288