Ibrahim Traore ni Gaddafi mpya wa Afrika?

We jamaa sidhan kama una akili timamu ww au uwenda ulikuwa unanyonya wakati wa utawala wa kikwete
Ilo lokole la kupiga mikelele kwenye jua usisumbuke nalo uyo akisikia kuna udongo unauzwa Arusha anakwenda kununua!!!!!
 
Unafahamu Libya ya Gaddafi ilikuwa ni nchi mojawapo yenye matatizo makubwa ya umeme barani Africa??
Kaimbe kwayaa ww una ulijualo zwazwz la mwisho!! Umeacha kukata mauno kwenye nyimbo za kwaya umeamia kwenye propaganda za majina ya kislamu Taifa limebeba zigo kubwa sana.
 
Weeh mgalatia kwani nchi ikiongozwa na muislam kwako inakua shida sanaa si ndio?
 
Zwazwa lengine la kilokole limejitokeza!! Ivi udongo kwasasa kias gani bwashee!!
 
Uyo zwazwa wa kilokole yupo kwenye propaganda ya kupinga majina ya kislamu unamjibu nini lokole la kupiga kilele juani!!
 
Kwako rais mzuri ni muoga na asiye msimamo?

Mifano ya kina Kikwete na Uhuru sio?
Watuachie Capt. Ibrahim Traoré wetu.
Sisi tunampenda tu hivyo hivyo hata kama ni propaganda!
Uzuri anafanya vitu vinaonekana kama ilivyokuwa enzi za Hayati JPM Mwamba wa Afrika.
Halafu sijui wanaowapinga hawa Wazalendo huwa wanalipwa na nani!
 
Weeh mgalatia udini tuu umekujaa nchi nyng tu za Africa zineongozwa na wagalatia kwani zimefikia robo ya Libya?
Paul Biya wa Cameroon mgalatia mzuri mbn humtolei mfano mpk umrukie Gaddafi?..kwani hakua binadamu Gaddafi?..mpk asiwe alipokosea mwalimu Nyerere je?..hakukoswa koswa kupinduliwa?
 
Afrika inawapenda wazalendo regardless dini zao.
Hayo mambo ya dini mnayaleta nyie.
Kina Lumumba, Mandela, Nkrumah, Ghadafi, Thomas Sankara, Magufuli n.k wote walipendwa sana na Waafrika Wazalendo bila kujali dini zao.
 
Watuachie Capt. Ibrahim Traoré wetu.
Sisi tunampenda tu hivyo hivyo hata kama ni propaganda!
Uzuri anafanya vitu vinaonekana kama ilivyokuwa enzi za Hayati JPM Mwamba wa Afrika.
Halafu sijui wanaowapinga hawa Wazalendo huwa wanalipwa na nani!
Kitu gani alichofanya huko Burkina Faso ambacho kinaoenekana?
 
Gaddafi hakusiwa Bali alikuwa anatenda Kwa vitendo na ingetokea yu hai mpka Leo nafikiri hakuna nchi Africa ingeizidi Libya Kwa uchumi
 
Wewe ni mfia dini. Points zako zote ni za kidini🤔
 
Just few google search mkuu haina haja ya kutuonesha ujinga wako, nikusaidie ingia kwenye browser yoyote unayotumia fungua google search engine kisha andika hivi "libya before and after gaddafi" then nenda kwenye upande wa picha .

Au andika hivi "libya before and after democracy" then nenda upande wa picha .
 
Alikuwa anafanya kama wao wamarekani wanavyofanya. WAkati obama anakuja hapa kwani si ulinzi wake ulitangulia hadi barabara zinakaguliwa.
Gadaffi alikuwa anafanya kile wanachofanya tu wao kwa sababu ela ilikuwepo.
Hii ni according to chatgpt
"During Muammar Gaddafi’s rule (1969–2011), Libya had a relatively high standard of living compared to many other African and Middle Eastern countries. Gaddafi implemented socialist policies that used Libya’s oil wealth to fund public services such as free healthcare, free education, subsidized housing, and interest-free loans. The country also had one of the highest GDP per capita figures in Africa."
Kwa hiyo utaona na kumwita gaidi lakini alitumia vizuri resources za nchi yake kwa wananchi wake. Wakati huo huo kuna nchi kama Nigeria ambayo ndiyo inaongoza kwa uzalishaji wa mafuta AFrika haijaweza kufanya hivyo.
 
Just few googke search mkuu haina haja ya kutuonesha ujinga wako, andika hivi google "libya before and after gaddafi" then nenda kwenye upande wa picha .

Au andika hivi "libya before anf after democracy" then nenda upande wa picha .
Chagpt yenyewe inasema hivi "During Muammar Gaddafi’s rule (1969–2011), Libya had a relatively high standard of living compared to many other African and Middle Eastern countries. Gaddafi implemented socialist policies that used Libya’s oil wealth to fund public services such as free healthcare, free education, subsidized housing, and interest-free loans. The country also had one of the highest GDP per capita figures in Africa."
Waafrika ni kama vile akili yetu tumeshikiwa na west. Wakisema huyu ni mbaya bai humu watu wanakomaa shingo kuwa ni mbaya hata kama wao wakienda kujifungua wanaambiwa walete pesa wakati wenzao hata operation zisizowezekana kufanyika nchini mwao walikuwa wanasafirishwa kutibiwa nje kwa gharama ya serikali.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…