Ibrahim Traore ni Gaddafi mpya wa Afrika?

Hivi wafuasi wa kijani kibichi mna shifa gani, adui yenu ni ukweli na misimamo ya haki.
Basi tufanye Kasongo ndiye best Ptesident in Africa kwa furaha yenu.
 
Upo kwenye fikra za kitumwa hebu tuambie ubaya wa ghaddafi!
 
Huyu mgalatia asikuumuze kichwa udini tuu umemjaa...ndo angle yake hujamsoma tuu
 
Kwani nini usitolee mfano hapo Zambia taifa ambalo mwanzo mwsh limeongozwa na wagalatia wenzio nini wamefanya?..
 
Rubbish
 
Kuwachota akili waAfrica kazi rahisi sana.

Gaddafi aliuwawa kwa mikono ya walibya wenyewe. That speaks volume.
 
Trump alisema waAfrica na waArabu wajinga sana ukiwapa siraha wanauana wenyewe Kwa wenyewe

Unaweza kutupa a credible source ya hii habari yako? Usiseme source "trust me bro".
 
Dah!uwa naheshimu saana mchango wako..ila kwenye Gaddafi hapo Kaka umechemka..na hata huyu wa Burkina Faso,sioni sababu ya kumkosoa Kwa namna hiyo,muda utaongea.
 
Parody...
 
Vipi Libya ya sasa na ile ya Gaddafi ziko sawa?
Ya Ghaddafi na Libya na Waasi.
Waasi walikuwa wameamua Ghaddfi asipoondoka basi Libya inaharibika, Ghaddfi nae akafanya kuwa haondoki Libya kamwe acha iharibike
 
Adam Schiff aliwahi kuulizwa kilichomkuta Gaddafi alijibu ni kile kile kinachosababisha political unrest kwa mataifa mengine" Ku defy Petrodollar system na Central bank activities".
Weka clip au link ya hiyo interview hapa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…