PostGE2025 ICC wakitoa Arrest Warrant ya Samia na wenzake tutawaomba Marekani na EU waombe Baraza la Usalama UN likubali kuundwa Taskforce kufanya ukamataji

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections

Lord Denning

JF-Expert Member
Joined
Jun 3, 2015
Posts
23,491
Reaction score
57,973
Hili lilishawahi kufanyika huko nyuma wakati Mahakama ya Mauaji ya Kimbari ya Yugoslavia ilipotoa amri za kuwakamata Washtakiwa waliohusika na Mauaji ya Kimbari kwenye vita ya Yugoslavia.

Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa lilipitisha kuanzishwa kwa Taskforce ya kijeshi ambayo ilifanya kazi ya kuwakamata wahusika wote na kuwafikisha Mahakamani.

Safari hii hati za kuwakamata Samia, DGIS, IGP na CDF zikitolewa na ICC tutaomba Marekani na EU wawasilishe maombi kwa Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa lipitishe iundwe taskforce ya kijeshi itakayoongzwa na US Special Forces hasa Navy Seals na Delta Force kuhakikisha Samia na washenzi wenzake wote wanakamatwa na kufikishwa ICC.

Mambo ni yamoto sana.
 
Safari hii hati za kuwakamata Samia, DGIS, IGP na CDF zikitolewa na ICC tutaomba Marekani na EU wawasilishe maombi kwa Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa lipitishe uliundwe taskforce ya kijeshi itakayoongzwa na US Special Forces hasa Navy Seals na Delta Force kuhakikisha Samia na washenzi wenzake wote wanakamatwa na kufikishwa ICC.

Mambo ni yamoto sana.
Huyu mama Abdul anatakiwa awe the hegue siku nyingi. Huyu mwanamke amejaa kiburi sana na ni jeuri sana.

Haelewi kwamba katika dunia ya sasa, hauwezi kuongoza nchi kama utakavyo, anatakiwa atafakari, imekuwaje Paul Kagame pamoja na ujeuri wake wotee lakini ameenda kwa Trump kusaini makubaliano ya kusitisha vita nchini congo??

Huyu mama Abdul akivaa shati la CCM basi anajiona yeye ndiyo dunia, huyu mtu pamoja na ufupi wake anatakiwa afikishwe ICC hata kama akiwa amekufa.
 
Hiyo task force yako itachapwa risasi kama wewe nyumbu mwizi na muharibifu wa mali za watu utakavyochapwa risasi
 
Hili lilishawahi kufanyika huko nyuma wakati Mahakama ya Mauaji ya Kimbari ya Yugoslavia ilipotoa amri za kuwakamata Washtakiwa waliohusika na Mauaji ya Kimbari kwenye vita ya Yugoslavia.

Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa lilipitisha kuanzishwa kwa Taskforce ya kijeshi ambayo ilifanya kazi ya kuwakamata wahusika wote na kuwafikisha Mahakamani.

Safari hii hati za kuwakamata Samia, DGIS, IGP na CDF zikitolewa na ICC tutaomba Marekani na EU wawasilishe maombi kwa Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa lipitishe uliundwe taskforce ya kijeshi itakayoongzwa na US Special Forces hasa Navy Seals na Delta Force kuhakikisha Samia na washenzi wenzake wote wanakamatwa na kufikishwa ICC.

Mambo ni yamoto sana.
Chief maandiko yako mengi unawawaza Wazungu, hongera lakini ndiyo maisha uliyoyachagua.
 
Hili lilishawahi kufanyika huko nyuma wakati Mahakama ya Mauaji ya Kimbari ya Yugoslavia ilipotoa amri za kuwakamata Washtakiwa waliohusika na Mauaji ya Kimbari kwenye vita ya Yugoslavia.

Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa lilipitisha kuanzishwa kwa Taskforce ya kijeshi ambayo ilifanya kazi ya kuwakamata wahusika wote na kuwafikisha Mahakamani.

Safari hii hati za kuwakamata Samia, DGIS, IGP na CDF zikitolewa na ICC tutaomba Marekani na EU wawasilishe maombi kwa Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa lipitishe uliundwe taskforce ya kijeshi itakayoongzwa na US Special Forces hasa Navy Seals na Delta Force kuhakikisha Samia na washenzi wenzake wote wanakamatwa na kufikishwa ICC.

Mambo ni yamoto sana.
Wewe na wamarekani tu safari hii
 
Mkuu unaelewa ugumu wa kumkamata siting president?Ni VITA,Ni kama Iraq,au Libya.Are you sure kwamba ndicho tunachotamani kama Watanzania?
 
Yaaani Tanganyika tupigane kwa sababu ya huyu shetani kukamatwa?

Sitting president alichaguliwa na nani? Mwananchi gani wa Tanganyika ataanzisha fujo au vita ili Samia aendelee kuwa Rais?
 
Hv unajua maana ya mauaji ya kimbari?
Uhalifu dhidi ya Binadamu ndo makosa yanayowakabili Samia, IGP, DGIS na CDF.

Haya ni makosa ya jinai kimataifa sawa na mauaji ya kimbari yalivyo.

Mauaji aliyofanya Samia na hao watu wake wakati na baada ya Uchaguzi hayana tofauti na mauaji ya kimbari piq.
 
Hiyo task force yako itachapwa risasi kama wewe nyumbu mwizi na muharibifu wa mali za watu utakavyochapwa risasi
Hapa JF sijawaki kuona jitu pumbavu kama hili, kichwan ni tope tu hamnamo akili, tungelikua ukoo mmoja wew ningeliwaomba wanaukoo tukubadri kwa mbuzi, bora tule mchuzi kuliko kuwa na mwanaukoo msenge hv!
 
Hili lilishawahi kufanyika huko nyuma wakati Mahakama ya Mauaji ya Kimbari ya Yugoslavia ilipotoa amri za kuwakamata Washtakiwa waliohusika na Mauaji ya Kimbari kwenye vita ya Yugoslavia.

Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa lilipitisha kuanzishwa kwa Taskforce ya kijeshi ambayo ilifanya kazi ya kuwakamata wahusika wote na kuwafikisha Mahakamani.

Safari hii hati za kuwakamata Samia, DGIS, IGP na CDF zikitolewa na ICC tutaomba Marekani na EU wawasilishe maombi kwa Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa lipitishe iundwe taskforce ya kijeshi itakayoongzwa na US Special Forces hasa Navy Seals na Delta Force kuhakikisha Samia na washenzi wenzake wote wanakamatwa na kufikishwa ICC.

Mambo ni yamoto sana.
Tutayakimbiza kwa mwendo wa ngiri kum.bake
 
Back
Top Bottom