Lord Denning
JF-Expert Member
- Jun 3, 2015
- 23,491
- 57,973
- Thread starter
- #21
Kwa hawa makomandoo wenu wanaopasua matofali kwa ngumi? Hawajui hata kuwa vita ni teknolojia siku hizi?Tutayakimbiza kwa mwendo wa ngiri kum.bake
Kwa hawa makomandoo wenu wanaopasua matofali kwa ngumi? Hawajui hata kuwa vita ni teknolojia siku hizi?Tutayakimbiza kwa mwendo wa ngiri kum.bake
waje wamkamate president si ndioHili lilishawahi kufanyika huko nyuma wakati Mahakama ya Mauaji ya Kimbari ya Yugoslavia ilipotoa amri za kuwakamata Washtakiwa waliohusika na Mauaji ya Kimbari kwenye vita ya Yugoslavia.
Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa lilipitisha kuanzishwa kwa Taskforce ya kijeshi ambayo ilifanya kazi ya kuwakamata wahusika wote na kuwafikisha Mahakamani.
Safari hii hati za kuwakamata Samia, DGIS, IGP na CDF zikitolewa na ICC tutaomba Marekani na EU wawasilishe maombi kwa Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa lipitishe iundwe taskforce ya kijeshi itakayoongzwa na US Special Forces hasa Navy Seals na Delta Force kuhakikisha Samia na washenzi wenzake wote wanakamatwa na kufikishwa ICC.
Mambo ni yamoto sana.
Kipi kinashindikana?waje wamkamate president si ndio
🤣 🤣
you cannot convict a president, UN yote ikija bongo inakua kama shirika na sio mamlaka, and serikali inaweza kuamua kuwafukuza pia ikitaka kama wale wapelelezi wa ICC walivofukuzwaKipi kinashindikana?
Nani kakwambia?you cannot convict a president, UN yote ikija bongo inakua kama shirika na sio mamlaka, and serikali inaweza kuamua kuwafukuza pia ikitaka kama wale wapelelezi wa ICC walivofukuzwa
kwa sababu unaendeshwa na mihemko ndo maaana huelewi chochote, hao ICC walikuja wakarudishwaNani kakwambia?
Kifungu kipi cha Sheria za Kimataifa kinasema hayo?
Rudini shule nyie wapumbavu wa uvccm.
kwa sababu unaendeshwa na mihemko ndo maaana huelewi chochote, hao ICC walikuja wakarudishwa
View: https://www.instagram.com/p/DQ3UwZZiISq/
kwan wakitoa arrest warrant watamkamata vp? ICC wana jeshi au mgambo? na wana ruhusiwa kuingia kwenye mipaka ya tanzania wanavotaka?Kwa hiyo hilo ndo litazuia wao kutoa arrest warrant na international military taskforce kufanya kazi?
Durtete ana hamu naye sana- sijui wataruhusiwa walau kupungiana mikono au na kutakiana salaam? Sijui itakuwane wawili hawa wakikutana huko The Hague ?Huyu mama Abdul anatakiwa awe the hegue siku nyingi. Huyu mwanamke amejaa kiburi sana na ni jeuri sana.
Haelewi kwamba katika dunia ya sasa, hauwezi kuongoza nchi kama utakavyo, anatakiwa atafakari, imekuwaje Paul Kagame pamoja na ujeuri wake wotee lakini ameenda kwa Trump kusaini makubaliano ya kusitisha vita nchini congo??
Huyu mama Abdul akivaa shati la CCM basi anajiona yeye ndiyo dunia, huyu mtu pamoja na ufupi wake anatakiwa afikishwe ICC hata kama akiwa amekufa.
Somaga mada ndo utoe comment yakokwan wakitoa arrest warrant watamkamata vp? ICC wana jeshi au mgambo? na wana ruhusiwa kuingia kwenye mipaka ya tanzania wanavotaka?
Huyu lazima awekwe chumba kimoja isolated ili ajinyongeDurtete ana hamu naye sana- sijui wataruhusiwa walau kupungiana mikono au na kutakiana salaam? Sijui itakuwane wawili hawa wakikutana huko The Hague ?
Hili lilishawahi kufanyika huko nyuma wakati Mahakama ya Mauaji ya Kimbari ya Yugoslavia ilipotoa amri za kuwakamata Washtakiwa waliohusika na Mauaji ya Kimbari kwenye vita ya Yugoslavia.
What your supposed to understad is, ICC is weak when dealing with a sitting president and hawana namna yoyote wanaweza kuingia nchi ambayo sio yao kumkwapua mtu, na mpaka sasa arrest warrant zipo kama 41 na hakuna wanachoweza kufanya baada ya hapo!Somaga mada ndo utoe comment yako
Marekani hawa wanasubiri kwa hamu waranti, Samia hatapata bahali ya jenerali Bashir wa Sudan au Joseph Kony wa Uganda.
Samia atakamatwa kama jenerali Manuel Noriega alivyokamatwa na majeshi ya Marekani alipojificha ubalozi wa Vatican mjini Panama City Panama. Samia asipokimbia sasa kwenda kwa wajomba zake, basi atakamatwa Kizimkazi
TOKAM MAKTABA
2022
This is the story of Manuel Noriega – the man that led Panama for decades – and his downfall, due to his own belief in his invincibility.
View: https://m.youtube.com/watch?v=eEtetQv8tjQ
🤣 inafurahisha mnavojipa moyoIle Who are you si aliwauliza huku kashika kiuno?
Sasa wanaenda kumuonesha vizuri Who are they? Na kwa nini wanatawala dunia.
Nani kakwambia weak?What your supposed to understad is, ICC is weak when dealing with a sitting president and hawana namna yoyote wanaweza kuingia nchi ambayo sio yao kumkwapua mtu, na mpaka sasa arrest warrant zipo kama 41 na hakuna wanachoweza kufanya baada ya hapo!
Lile li Kheri Haji inabidi lifungwe difu ya FAW azimishwe nayo baharini akiwa haiHili lilishawahi kufanyika huko nyuma wakati Mahakama ya Mauaji ya Kimbari ya Yugoslavia ilipotoa amri za kuwakamata Washtakiwa waliohusika na Mauaji ya Kimbari kwenye vita ya Yugoslavia.
Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa lilipitisha kuanzishwa kwa Taskforce ya kijeshi ambayo ilifanya kazi ya kuwakamata wahusika wote na kuwafikisha Mahakamani.
Safari hii hati za kuwakamata Samia, DGIS, IGP na CDF zikitolewa na ICC tutaomba Marekani na EU wawasilishe maombi kwa Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa lipitishe iundwe taskforce ya kijeshi itakayoongzwa na US Special Forces hasa Navy Seals na Delta Force kuhakikisha Samia na washenzi wenzake wote wanakamatwa na kufikishwa ICC.
Mambo ni yamoto sana.