Lord Denning
JF-Expert Member
- Jun 3, 2015
- 23,491
- 57,973
- Thread starter
- #61
Hawa hawachomoki safari hii.Wakimbia zipelekwe familia zao ziwekwe bondi
Hawa hawachomoki safari hii.Wakimbia zipelekwe familia zao ziwekwe bondi
Tapeli hili linajifanya kilema ili lipate pesa,supporter la shetani SamiaHiyo task force yako itachapwa risasi kama wewe nyumbu mwizi na muharibifu wa mali za watu utakavyochapwa risasi
Kwa kilichotokea kuanzia Oct.29 ni wazi kuwa tulistahili kipigo toka kwa M23 maana tumeendekeza ujinga kwenye high alert situations. Swala la jeshi kuwa autonomous ni muhimu sana sio kila kitu mpaka muombe utashi wa Mkuu.M23 tu wamewatoa jasho hadi mkakimbia Goma ndo muwaweze Navy Seals au Delta Force?
Hayo yafanyike baada ya kufumua jeshi la polisi na kumuondolea raisi kinga za kufanya upuuzi anaojiskia. Hakuna kujichagulia watu sisi ndio tutaamua nani akae kwenye tume, mahakamani, bungeni pamoja na Ikulu pamoja na IGP. Wafanye contest kama inavyofanywa bongo star search tuwapigie kura tokana na relevance na elimu zao.Kwa upuuzi unaoendelea Tanzania sasa hivi, imefika wakati modality ya Siasa iwe kama ya China. Huu upuuzi wa Uchaguzi kila baada ya miaka mitano ni kupotezeana muda, na kuwapa pumzi vibaraka wa wazungu kuvuruga nchi. Muda wa kufanya kazi nchi isonge mbele, mna kazi ya kuzungumzia kuabudu wazungu.
Hao wote waende jela tu wakapigwe vifungo vya maisha ila Binti Kiziwi anyongwe bila kuchelewa.Unaambiwa Samia kajaa vizuri sana ICC sasahivi.
Arrest Warrant zinasukwa vizuri sana. Mtuhumiwa No. 1 ni Samia, Mtuhumiwa No. 2 IGP Wambura, Mtuhumiwa No. 3 DGIS Mombo, Mtuhumiwa No. 4 CDF Mkunda na No. 5 na 6 ni CP Awadh na SACP Mafwele
Hahahahah akifungwa diff ya FAW hachomoi, au wamfungie kwenye pipa walitoboe toboe akafe nalo majiniLile li Kheri Haji inabidi lifungwe difu ya FAW azimishwe nayo baharini akiwa hai
***** la kijan akil mavamka utachfua sakafu 🤣 🤣 🤣 , btw sio tu kuiba uchaguzi tunaweza kuamua kubadilisha ata katiba atawale milele, kwan watatufaya nn? tatizo lako unadhan hao wazungu wako wanaweza kuingia tanzania wanavotaka na kutoka, hao ni wafanya kazi wa kawaida tu na wanaweza kufukuzwa mda wowote
Mbali sana huko, hawa wanapigwa hata na Uganda au Rwanda na Round hii hatuwasaidii, ndo kwanza tunawapa locationM23 tu wamewatoa jasho hadi mkakimbia Goma ndo muwaweze Navy Seals au Delta Force?
Kuna taarifa kuwa M23 pia wanaitamani tarehe 09.12.2025M23 tu wamewatoa jasho hadi mkakimbia Goma ndo muwaweze Navy Seals au Delta Force?
Jeshi linaloweka mbele uchawa badala ya wananchi sio jeshi ni kikundi cha wahuni.Mbali sana huko, hawa wanapigwa hata na Uganda au Rwanda na Round hii hatuwasaidii, ndo kwanza tunawapa location
Waanze kwanza kumkamata Nyetanyau wa IsraelHili lilishawahi kufanyika huko nyuma wakati Mahakama ya Mauaji ya Kimbari ya Yugoslavia ilipotoa amri za kuwakamata Washtakiwa waliohusika na Mauaji ya Kimbari kwenye vita ya Yugoslavia.
Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa lilipitisha kuanzishwa kwa Taskforce ya kijeshi ambayo ilifanya kazi ya kuwakamata wahusika wote na kuwafikisha Mahakamani.
Safari hii hati za kuwakamata Samia, DGIS, IGP na CDF zikitolewa na ICC tutaomba Marekani na EU wawasilishe maombi kwa Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa lipitishe iundwe taskforce ya kijeshi itakayoongzwa na US Special Forces hasa Navy Seals na Delta Force kuhakikisha Samia na washenzi wenzake wote wanakamatwa na kufikishwa ICC.
Mambo ni yamoto sana.
Wao kila hoja utasikia Wazungu, ICC, UN, mara Marekani, EU. Mpaka unapata mashaka kwahii imani waliyoiweka kwa wazungu, kuna kitu gani wazungu watawaomba wakawakatalia kama hakina maslahi na nchi yetu, nashkuru hii changamoto imefanya tuwaangalie wanaharakati (Mawakala wa Mabeberu) kwa jicho angavu kali kuliko ilivyokuwa jana na juzi.Hivi ni kwanini wanaharakati wengi Wana. Mirengo isiyo huru? Wanaharakati wengi hata huyu Wana mindset ya kuwategemea wamagharibi kila kitu chao! Ikiwa ni maandamano basi utaskia wakikwambia Marekani, Ufaransa na Unigereza wapo! Kwani hakuna namna mnaweza kuwa na mfumo mpya wa kifikra wa kujitegemea kuhusu uchumi, siasa, na teknolojia?
Nisiwadanganye mmeanza kuonekana vibaraka wa wazi kadiri siku ziendavyo!Ni ajabu kwamba mtu anashabikia kile kilichofanywa na NATO ndani ya YUGOSLAVIA.NATO waliua watu maelfu lakini Bado wakaanza kuwakamata na kuwapeleka resistance fighters eti kwenye mahakama ya ICC!
Waafrika tubadilike!
WakitubaniaWao kila hoja utasikia Wazungu, ICC, UN, mara Marekani, EU. Mpaka unapata mashaka kwahii imani waliyoiweka kwa wazungu, kuna kitu gani wazungu watawaomba wakawakatalia kama hakina maslahi na nchi yetu, nashkuru hii changamoto imefanya tuwaangalie wanaharakati (Mawakala wa Mabeberu) kwa jicho angavu kali kuliko ilivyokuwa jana na juzi.
Maisha yataendelea tu.Wakitubania
De Yahudi de Busu la Kenge Dujeumsaeng The Mongolian SavageKwani fwele de ghayo de nyauz adriz anasemaje
Ghayo de Mafwele