PostGE2025 ICC wakitoa Arrest Warrant ya Samia na wenzake tutawaomba Marekani na EU waombe Baraza la Usalama UN likubali kuundwa Taskforce kufanya ukamataji

PostGE2025 ICC wakitoa Arrest Warrant ya Samia na wenzake tutawaomba Marekani na EU waombe Baraza la Usalama UN likubali kuundwa Taskforce kufanya ukamataji

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Nani kakwambia weak?

EU na USA wamekushikia bango kiongozi uliyeiba uchaguzi ambae hata Wananchi wako hawakutaki tena upo nchi masikini isiyojielewa alafu upone?

Huyu Arrest Warrant ikitoka watamfanyia kama Manuel Noriega. Sekunde tu yupo kwenye Manowari ya US anasubiri ndege kumpeleka Uholanzi.
amka utachfua sakafu 🤣 🤣 🤣 , btw sio tu kuiba uchaguzi tunaweza kuamua kubadilisha ata katiba atawale milele, kwan watatufaya nn? tatizo lako unadhan hao wazungu wako wanaweza kuingia tanzania wanavotaka na kutoka, hao ni wafanya kazi wa kawaida tu na wanaweza kufukuzwa mda wowote
 
Hili lilishawahi kufanyika huko nyuma wakati Mahakama ya Mauaji ya Kimbari ya Yugoslavia ilipotoa amri za kuwakamata Washtakiwa waliohusika na Mauaji ya Kimbari kwenye vita ya Yugoslavia.

Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa lilipitisha kuanzishwa kwa Taskforce ya kijeshi ambayo ilifanya kazi ya kuwakamata wahusika wote na kuwafikisha Mahakamani.

Safari hii hati za kuwakamata Samia, DGIS, IGP na CDF zikitolewa na ICC tutaomba Marekani na EU wawasilishe maombi kwa Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa lipitishe iundwe taskforce ya kijeshi itakayoongzwa na US Special Forces hasa Navy Seals na Delta Force kuhakikisha Samia na washenzi wenzake wote wanakamatwa na kufikishwa ICC.

Mambo ni yamoto sana.
Tunapenda amani lakini RC anasema kwamba waandamanaji walitaka kuchoma Kinyerezi I and II na Ubungo Gas Plant ,kulipua matank ya mafuta TAZAMA ni uongo mtupu...wanasema hayo kuhalalisha mauaji waliyofanya.

Tunakubali kweli kwenye msafara wa Mamba(Waandamanaji) na Kenge(Wezi) wamo ,lakini mbona ilikuwa easy kudeal na wezi ,why walikuwa wanaua watu hovyo hovyo tu barabarani kuanzia tar 29 usiku mpaka tar 3 nov?
 
Tunapenda amani lakini RC anasema kwamba waandamanaji walitaka kuchoma Kinyerezi I and II na Ubungo Gas Plant ,kulipua matank ya mafuta TAZAMA ni uongo mtupu...wanasema hayo kuhalalisha mauaji waliyofanya.

Tunakubali kweli kwenye msafara wa Mamba(Waandamanaji) na Kenge(Wezi) wamo ,lakini mbona ilikuwa easy kudeal na wezi ,why walikuwa wanaua watu hovyo hovyo tu barabarani kuanzia tar 29 usiku mpaka tar 3 nov?
Usisikikize propaganda zao uchwara hizo.
 
Yule Kheri tuna hamu nae sana. Ngoja tumalizane kwanza na tajiri wake.

Uzuri wazungu wamemkalia kooni safari hii hachomoki.
aje sasa? kinachounganisha hio bond ni misaada na sio lazima wanatoa wanapojiskia anything outside that tunaweza wafukuza
 
Samia akigoma kwenda kwa wajomba zake kumpa hifadhi kabla ya 2026, basi atatiwa nguvuni Kizimkazi mubashara CNN, NBC, New York Post n.k
 
Wengi wataunganishwa na Samia ikiwemo Albert Chalamila, Muliro n.k

Dar es Salaam Regional Commissioner Albert Chalamila asked about the whereabouts of the abducted ambassador Humphrey Polepole​


The most contentious questions asked by the press to governor of Dar es Salaam county Mr Abert John Chalamila revolved around the intelligence failures leading up to the October 29th chaos in Tanzania , the perceived aggressiveness of the security response, and the lack of official data.

He was also asked about the whereabouts of the abducted former ambassador Humphrey Polepole.

Did you issue similar aggressive orders to the police in Dar es Salaam as you once did for "thugs" in Mbeya? by John Bukuku.


View: https://m.youtube.com/watch?v=U_JcS8syiHs

Chalamila explicitly stated, "Hapana" (No), explaining the Mbeya context was about self-defense against armed intrusion.

He stressed that the police operate with professional integrity and are not simply following direct orders from the RC Where was the intelligence/security committee that they failed to detect the chaos before it occurred? by Abdalla Majura, Lambert.

Chalamila acknowledged having information but said security opted not to act preemptively to avoid claims of political intimidation before the polls.

He justified the rapid response by emphasizing the security forces had to protect critical infrastructure like the national gas plants and the airport from arson/bombings, which he called a security "principle."

Don't leaders' statements, like your own quote that "we don't eat internet" (during the curfew / shutdown), contribute to public anger/incitement? by Lambert.

Chalamila admitted that "it's possible that's what I said" when "calmness is not great, it becomes a problem." He justified his communications by noting that his presence helps people "heal" and feel safe.RC Chalamila did not provide direct answers or used justification/security concerns to deflect the following contentious questions:

What is the specific security plan to guarantee safety for the upcoming December 9th, 2025 ? by Anna Mwasioke.

Chalamila refused to give specifics, stating it would be like giving out the "password" to their security strategy. He offered a general reassurance instead, warning the public not to succumb to fear.

Why are police officers seen wearing masks "ninja" masks/gear if you criticize the rioters for wearing them? by Salim.

Chalamila avoided the specific subject of police attire, instead generally agreeing that "no one is above the law," without addressing the use of masks by the police force.

What is the total cost of the new rapid bus machines and the government/public damage assessment? by Lambert.

Chalamila refused to provide a figure for the cost of the replacement bus machines. He stated that providing specific figures might trigger a new public controversy about "procurement" corruption and insisted that some information is "beyond necessity" for security reasons.

Question About Humphrey Polepole The question regarding Humphrey Polepole was and what happpened to him was asked by journalist David Royagira.

RC Chalamila's response was that he did not know what happened to Polepole [01:14:30]. He added that he does not have any official security profile or connection to Polepole, as no law requires a former ambassador to report to the Regional Commissioner.

Chalamila said he only follows Polepole's story in the media and on platforms like YouTube. Chalamila said he is waiting for the official word from the police's ongoing investigation, which he trusts
 
Unaambiwa Samia kajaa vizuri sana ICC sasahivi.

Arrest Warrant zinasukwa vizuri sana. Mtuhumiwa No. 1 ni Samia, Mtuhumiwa No. 2 IGP Wambura, Mtuhumiwa No. 3 DGIS Mombo, Mtuhumiwa No. 4 CDF Mkunda na No. 5 na 6 ni CP Awadh na SACP Mafwele
Kuna lile Jangili linaitwa Ameir Haji lipo ikulu na majangili mengine yanajifanya yana kinga ya idara labda yakimbilie Mars au wajiue watakunywa damu waliyoimwaga..
 
Hebu tuwaze kwa uhalisia, Hiko kitu kinaitwa arrest warrant toka icc hakipo na hakiwezekani kwa rais aliye madarakani
 
Back
Top Bottom