Mtoto wa Shule
JF-Expert Member
- Nov 16, 2014
- 21,572
- 15,610
Unasubiria kama fisi anayeaubiria mkono wa binadamu kuanguka! Ahahahahaha!!!Hili lilishawahi kufanyika huko nyuma wakati Mahakama ya Mauaji ya Kimbari ya Yugoslavia ilipotoa amri za kuwakamata Washtakiwa waliohusika na Mauaji ya Kimbari kwenye vita ya Yugoslavia.
Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa lilipitisha kuanzishwa kwa Taskforce ya kijeshi ambayo ilifanya kazi ya kuwakamata wahusika wote na kuwafikisha Mahakamani.
Safari hii hati za kuwakamata Samia, DGIS, IGP na CDF zikitolewa na ICC tutaomba Marekani na EU wawasilishe maombi kwa Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa lipitishe iundwe taskforce ya kijeshi itakayoongzwa na US Special Forces hasa Navy Seals na Delta Force kuhakikisha Samia na washenzi wenzake wote wanakamatwa na kufikishwa ICC.
Mambo ni yamoto sana.