ICC yakiri kupokea rasmi malalamiko kutoka Tanzania juu ya ukiukwaji wa haki za binadamu wakati wa uchaguzi uliopita

Mkuu wewe na nani? Uchaguzi unaonyesha majority wanamkubali wewe na mburukenge wenzako ni minority.
Aliiba kura. Majority waliwachagua raisi lisu na wabunge wa upinzani. Rejea masanduku ya kura yaliyokamatwa yameshapigwa Kura kwa ccm. Nchi nzima mawakala wa upinzani walienguliwa ili wizi ufanyike gizani na zaidi ya yote mitandao ya kijamii ikazimwa tofauti na chaguzi za miaka yote.
 
Weka ushahidi. Unalishwa maneno mdomoni na unarukaruka kama kasuku leta ushahidi. hata Trumpet anarukaruka ati kaibiwa kura ujinga mtupu.

Kwa hiyo mitandao ya kijamii ndio inapiga kura? Wewe Ikitotanzila uliyejiunga JF Sept 2020 ni Senior Member? Phew!
 
Weka ushahidi. Unalishwa maneno mdomoni na unarukaruka kama kasuku leta ushahidi. hata Trumpet anarukaruka ati kaibiwa kura ujinga mtupu.

Kwa hiyo mitandao ya kijamii ndio inapiga kura?
Ushahidi huu hapa
 

Attachments

  • 2614671_1605215663091.png
    88.6 KB · Views: 2
Hivi mnadhani waliompa hifadhi ni wajinga? Mjue kuwa Lisu aliwakilisha ushahidi wa matishio aliyokuwa akipewa kabla hajakubaliwa kupata hifadhi ya ukimbizi ndani ya ubalozi wa Ujerumani.

Balozi wa Ujerumani aluwasiliana na Serikali ya JMT kuitaka itoe uhakikisho wa usalama wa Lisu, haikufanya hivyo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hata mimi naweza nikawa na begi lina kura nikasema hivyo. Je, unafahamu maana ya ushahidi? Je, Nani unampelekea ushahidi? Huna hoja wewe umejaa viroja.
Mwingine huu hapa
 

Attachments

  • 2614670_1605215596755.png
    119.3 KB · Views: 2
Endelea kubwabwaja lakini ujue kuwa wenye akili wanapitia na kuchbua hoja.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu wewe na nani? Uchaguzi unaonyesha majority wanamkubali wewe na mburukenge wenzako ni minority.
Ficha unafiki wako ili uiokoe nafsi yako! Kabisa una uhakika na uchaguzi kuwa ulikuwa wa haki! Ina aibu kutumia tumbo kufikiri! Mrudie Maulana akusitiri kwa dhambi hii unayoitenda ama sivyo utakuwa na Maisha magumu hapa na ahera!
 
Photo shop is very easy to make, huna hoja wewe, I ignore you officially.
Haya kalia ubishi wako wa kisiwiemu. Uchaguzi mmeuvuruga na watu mmewatia vilema huko Zanzibar mpaka Leo mazrui haijulikani alipo. Mmetesa watu na kuwaua waliotaka kuzuia kura zisiibiwe.
Mmeingia ikulu kwa wizi wa kutisha halafu. Mmeshawahi kuona tangu tupate Uhuru internet unazimwa kisa hamtaki watu wawasiliane na kwa wakati huohuo kampeni nzima mlivitisha vyombo vya habari ili kutompa coverage lisu.
 
Ficha unafiki wako ili uiokoe nafsi yako! Kabisa una uhakika na uchaguzi kuwa ulikuwa wa haki! Ina aibu kutumia tumbo kufikiri! Mrudie Maulana akusitiri kwa dhambi hii unayoitenda ama sivyo utakuwa na Maisha magumu hapa na ahera!
I ignore you officially.
 

Ni muda muhafaka sasa ICC wawashughulikie wapuuzi wote wanaotumia vyeo vyako kuminya democracy nchi TZ.
 

Wakati Mugabe anatawala kibabe huko Zimbabwe, na yeye alikuwa anachezea box la kura na kushinda kwa kishindo kama ccm. Siku wananchi wameingia barabarani hakuwa na wapambe. Kura za kwenye mabeg tumeziona kwa macho yetu, uhuni wote dhidi ya mawakala ya upinzani tumeuona, na uchafu mwingine huo. Kama kweli hiyo mahakama itachukua hatua, tuko tayari kupeleka ushahidi wa ushenzi wote uliofanyika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…