ICC yakiri kupokea rasmi malalamiko kutoka Tanzania juu ya ukiukwaji wa haki za binadamu wakati wa uchaguzi uliopita

Utoto ndiyo nini? Kama Polisi vyombo vya dola vinawabana kila kona watapumulia wapi? hapo utoto upo wapi? Kama ni utoto upo kwa hao hao wanaotumia Dola kuminya demokrasia.
 
Zanzibar zipo video ushahidi wa kutosha ICC itaichukulia hatua Zanzibar hakuna cha nini wala ni

Vitendo vilivyotokea havina uzito wa kuingiliwa na mahakama za kimataifa - ni migogoro midogo iwezayo kumalizwa na mahakama za ndani ya nchi
Ukasome sheria ya Rome iliyonzisha mahakama hii pamoja na kanuni zake; acha uvivu.

CCM Kikombe hiki kamwe hamtakikwepa safari hii, ubabe wenu umepata wababe wenzenu. Safari ya Uholanzi zinawahusu!!

Uhai wa mtu hata akiwa mmoja unaita migogoro midogo? Uchafuzi wote huo wa kura kama si ustaarabu wa watanzania si ingekuwa mauaji makubwa!!
 
Mkuu tupe kidogo insight ya hii Rome Statute. Ni makosa gani au ya aina gani ICC wanashughulika nayo. Itasaidia sana kufunga huu mjadala
Makosa yamejumuishwa katika makundi manne

1. War Crimes: Haya ni Yale yanayotojea wakati wa Vita. Na ambayo yapo kinyume na Sheria zinaratibiwa masuala ya kivita, Rape, torture, rooting, kuua watu wasio na Silaha n.k Haya lazima kuwe na Vita.

2. Crimes against Humanity. Torture, Mauaji, Rape, Persecution, Enslavement n.k na ambayo ndio nadhani Hao wadau wamepeleka Malalamiko yao. Hapa siyo lazima kuwe na Vita inaweza kuwa at any time.
3. Genocide: Mauaji ya kimbali.
4. Acts of Agrression.

Sasa lazima ufahamu kuwa hii ni Mahakama ya Kimataifa Ina deal na issues za Nationals, kwahiyo always wanakuwa very careful kuhakikisha hawaingilii State Sovereignty ( Mamlaka za ndani ambazo).

Najua Kuna wajinga humu watabisha lakini ukweli ni Tanzania ni moja ya Nchi zenye Strong internal state Machinery zenye uwezo wa kuhandle haya mambo Kama yapo.

The Question is, these barking dogs have ever reported these allegations to the Institutions Concerned!? Wametoa ushirikiano ili ku investigate Malalamiko yao na hivyo vyombo vimepuuzia kushughulikia hayo Malalamiko au ni kelele tu!?
 
Tundu kashasema pamoja na kusisitiza kwenye kila mkutano wa kampeni wananchi wameishia kugomea mpango wake wa maandamano na sasa anataka maridhiano na rais John Pombe Joseph Magufuli
Maridhiano hayaondoi mashitaka ICC

2007,Odinga alifanya maridhiano na kubaki lakini ICC nako ilifanya kazi yake
 
Ukasome sheria ya Roma iliyonzisha mahakama hii pamoja na kanuni zake; achani uvivu.

CCM Kikombe hiki kamwe hamtakikwepa safari hii, ubabe wenu umepata wababe wenzenu. Safari ya Uholanzi zinawahusu!!
Ushahidi upo wa kutosha video picha zote matamko yote vyote vipo ICC hawatahitaji upelelezi wowote kilaza kitu kipo wazi.
 
Zanzibar zipo video ushahidi wa kutosha ICC itaichukulia hatua Zanzibar hakuna cha nini wala nini
Yaani watu wafanye fujo barabara waachiwe , wawarushie made walinda usalama waachiwe tu, wameifanya nchi ni danguro.
 
Ndiyo Mana wanatafuta utatuzi kutoka icc Mana hapa kwetu vyombo vyote vinawashugulikiwa wapinzani na kuwapiga na kuwajeruhi tu
Viongozi sahihi na vyama imara ni wale wanaoweza kutatua matatizo kama hayo na sio viongozi walalamike na wafuasi walalamike
 
Siku Mzee mzima anapanda ndege na mimi namchinja Jogoo wangu huyu mkubwaa ishara ya ushindi wa HAKI.

Ifike pahala watanzania tuheshimiane...and we will.
 
Vipi wakiamua kufia madarakani?
 
Tukio la Lissu kupigwa risasi hadharani liliripotiwa polisi hadi leo hakuna uchunguzi wowote uliofanyika, Ben saanane kapotea hakuna chombo chochote kilichojali kufanya uchunguzi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…