Makosa yamejumuishwa katika makundi manne
1. War Crimes: Haya ni Yale yanayotojea wakati wa Vita. Na ambayo yapo kinyume na Sheria zinaratibiwa masuala ya kivita, Rape, torture, rooting, kuua watu wasio na Silaha n.k Haya lazima kuwe na Vita.
2.Crimes against Humanity. Torture, Mauaji, Rape, Persecution, Enslavement n.k na ambayo ndio nadhani Hao wadau wamepeleka Malalamiko yao. Hapa siyo lazima kuwe na Vita inaweza kuwa at any time.
3.Genocide: Mauaji ya kimbali.
4. Acts of Agrression.
Sasa lazima ufahamu kuwa hii ni Mahakama ya Kimataifa Ina deal na issues za Nationals, kwahiyo always wanakuwa very careful kuhakikisha hawaingilii State Sovereignty ( Mamlaka za ndani ambazo).
Najua Kuna wajinga humu watabisha lakini ukweli ni Tanzania ni moja ya Nchi zenye Strong internal state Machinery zenye uwezo wa kuhandle haya mambo Kama yapo.
The Question is, these barking dogs have ever reported these allegations to the Institutions Concerned!? Wametoa ushirikiano ili ku investigate Malalamiko yao na hivyo vyombo vimepuuzia kushughulikia hayo Malalamiko au ni kelele tu!?