ICC yakiri kupokea rasmi malalamiko kutoka Tanzania juu ya ukiukwaji wa haki za binadamu wakati wa uchaguzi uliopita

Huku kazi inendelea tuu,nyie nendeni ICC sijui huku mambo ya uchaguzi over.Watu hata hawajadili ni kazi kazi.
 
Tukio la Lissu kupigwa risasi hadharani liliripotiwa polisi hadi leo hakuna uchunguzi wowote uliofanyika, Ben saanane kapotea hakuna chombo chochote kilichojali kufanya uchunguzi.
Waliwasmbia Mmlete Dereva ambaye kimsingi ni eye Witness wa tukio lakini hadi Leo hamjawahi kufanya hivo! Kwa Lugha nyingine hamtoi ushirikiano ba mmechangia zoezi kuwa gumu!
 
Ha
Waliwasmbia Mmlete Dereva ambaye kimsingi ni eye Witness wa tukio lakini hadi Leo hamjawahi kufanya hivo! Kwa Lugha nyingine hamtoi ushirikiano ba mmechangia zoezi kuwa gumu!
Tuwezi kufanya kosa Hilo Mana mtamuassassinate na ushahidi kuishia hapo. Nyie siyo watu na raisi wenu muuaji
 
Waliwasmbia Mmlete Dereva ambaye kimsingi ni eye Witness wa tukio lakini hadi Leo hamjawahi kufanya hivo! Kwa Lugha nyingine hamtoi ushirikiano ba mmechangia zoezi kuwa gumu!
Kwahiyo asipopatikana dereva uchunguzi haufanywi?
 
Mashtaka hamjapeleka mahakama za ndani yakashindwa kushughulikiwa mnadhani ICC wanawasaidiaje hapa!

Dadek kukosa ile miposho ya bungeni sio mchezo, time hii mtaenda kwa kila mganga mnaeweza kumfikia
 
Vitendo vilivyotokea havina uzito wa kuingiliwa na mahakama za kimataifa - ni migogoro midogo iwezayo kumalizwa na mahakama za ndani ya nchi
Hicho ndicho kiwango Cha ufahamu wako, inabidi tuheshimu huo ufahamu ulio nao.
 
Waliwasmbia Mmlete Dereva ambaye kimsingi ni eye Witness wa tukio lakini hadi Leo hamjawahi kufanya hivo! Kwa Lugha nyingine hamtoi ushirikiano ba mmechangia zoezi kuwa gumu!
Hii inaonyesha wazi kuwa vyombo vya dola haviaminiki Tanzania?..

Vyombo vya usalama vimeegemea upande mmoja,upande wa Chama tawala,.
 
Mashtaka hamjapeleka mahakama za ndani yakashindwa kushughulikiwa mnadhani ICC wanawasaidiaje hapa!

Dadek kukosa ile miposho ya bungeni sio mchezo, time hii mtaenda kwa kila mganga mnaeweza kumfikia
Mahakama zipi. Hizi za kupokea maagizo kutoka kwa jpm. Sisi wananchi ndo tumeamua usiwasingizie wabunge eti kukosa posho. Wananchi ndo tunaumia Sana na serikali hii isiyojali ustawi wa watu.

Ndo Mana reaction imeanza kwa kuchomwa Moto kila waliohusika na wizi hasa wakurugenzi Mana bila wao lisu angekuwa raisi.
 
Mjinga mwingine huyu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa katiba ipi na kwa watu gani hao wanao iheshimu hiyo katiba.
 
Mashtaka hamjapeleka mahakama za ndani yakashindwa kushughulikiwa mnadhani ICC wanawasaidiaje hapa!

Dadek kukosa ile miposho ya bungeni sio mchezo, time hii mtaenda kwa kila mganga mnaeweza kumfikia
Mahakama ipi.
 
Hao wakurugenzi Wachomwe Moto Tu,halafu wafatie Wabunge, Madiwani na kila alieusika na dhulma ya Uchaguzi
 
ICC hawapokei na kushighulikia barua za individuals

Zitto kaandika peke yake akiwa kajifungia ndani na Maria Sarungi naye kajiandikia peke yake !!!
Hivi nyinyi Lumumba hata akili ya mbuzi kuvukia barabara hamna ? Maria Sarungi alitembea nchi nzima kukusanya ushahidi? Jibu ni hapana watanzania ndio walikusanya ushahidi wa video , picha sauti na documents zingine akapatiwa atume kwa niaba yetu . Na bado naendelea kushauri kila mtanzania atume ushahidi alionao dhidi ya mauaji na ukiukaji mkubwa wa haki za binadamu uliofanywa na ccm , chama cha magaidi wakati wa uchaguzi mkuu ili kuzidi kuongezea uzito hayo mashtaka .
 
Vitendo vilivyotokea havina uzito wa kuingiliwa na mahakama za kimataifa - ni migogoro midogo iwezayo kumalizwa na mahakama za ndani ya nchi
Ambazo kimsingi hazijawahi kuwa suluhisho bora ktk chaguzi zetu....
 
Siku magu anadakwa nitafanya sherehe kubwa sana
 
Kiuahalisia sipendezwi na hizi habari maana kwa sasa hivi kusema kweli tutaanza kufatiliwa na kama wakipata ushahidi na upenyo inaweza kutuharibia

Kwa sasa hivi watanzania wamegawanyika kuna kundi lipo tayari kwa lolote hata nchi ikiwekewa vikwazo nchi ikipata majanga wao watafurahia na hao wapo kwa lolote hawana cha kupoteza ktk nchi na wamekuwa hivi kwakuwa hawathaminiwi hawasikilizwi wanakamtwa wanafungwa wanauliwa

Na kundi la pili wao ndio wanajiofanya nchi ni yao hili kundi la pili ni hatari na ndio linapolekea kufika hapa tulipo

CCM mjitafakari hii nchi sio yenu peke yenu na wala CCM sio Tanzania
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…