ICC yakiri kupokea rasmi malalamiko kutoka Tanzania juu ya ukiukwaji wa haki za binadamu wakati wa uchaguzi uliopita

ICC yakiri kupokea rasmi malalamiko kutoka Tanzania juu ya ukiukwaji wa haki za binadamu wakati wa uchaguzi uliopita

Hakuna jipya huko. Nyie endeleeni kujifariji tuu☺☺
😃 Yani mama D unajifariji, anza kupanga mawakili wenye uzoefu na kesi za kimataifa, mfano prof kabudi, moto wa uko sio we unafikili kwa nini Rais kinyatta bahada ya kuburuzwa huko Sasa uko smart Sana kwenye Mambo siasa,na mpaka Sasa democracy yao Sasa ipo stable,yeye na wapinzani wako sawa, hata Yule bwana alipojiapisha hakuguswa,
Sasa unafikili hao muaitao mabeberu wakiamua kukusukia mkeka na wakakupangia draft vizuri unachomokaje, achana na wenye dunia yao,
 
Mlihangaika hivihivi na uchaguzi mkashindwa, mkahangaika tena hivihivi kuingiza watu barabarani mkashindwa sasa endeleeni kuhangaika na ICC
 
Vibaraka wa Magufuli mnahangaika kweli , wewe na wenzio mlitekeleza mauaji kwa maagizo jiandaeni kwenda huko The Hague , unasema tu kesi haiwezi kufunguliwa provide concrete evidence , kesi itafunguliwa na mtapelekwa huko time will tell .
 
Milango yote mkifunga, wananchi watachukuwa hatua mikononi mwao. Na wameanza... Ma-DED wahamishieni Ikulu Chamwino na familia zao kwa usalama wao.
 
ICC hawapokei na kushighulikia barua za individuals

Zitto kaandika peke yake akiwa kajifungia ndani na Maria Sarungi naye kajiandikia peke yake !!!
ICC wanapokea ushahidi wowote. Nara nyingi Waandishi wa habari ndio source ya ushahidi huo.
Magufuli ajiandae tu.
 
Kuna watz wanafikiri kwa kupeleka documents zao huko ICC basi ndiyo Tanzania itafunguliwa kesi na viongozi kushitakiwa
Hakuna aliyesema TANZANIA inafunguliwa kesi.
Wanaoshtakiwa ni waliohusika binafsi, na mtuhumiwa namba moja ni mkuu wa malaika
 
Huu upuuzi unaofanywa na serekali ya TZ inawezekana bongo tuu, ingekuwa Liberia, Nigeria, Cameroo n.k Sasa ivi tungeshaona wanaume wakitema cheche!Wabongo ni lege lege sana kama alivyosema Alhaj Kikwete mara moja. Ivi wananchi wanasubiria ICC au msaada wa kutoka nje ya nchi.

Niwadokezeni tuu, katiba mpya na demokrasia kwa nionavyo mimi havitapatikana kwa njia hizi tulizonazo. Labda iwe ni qudra ya Allah tuu, lakini nadhani lazima imwagike damu nyingi sana ndio CCM wakubali kuheshimu maamuzi ya sanduku la kura.

Marehemu Asha Bakari alisema hadharani "nchi hii ni ya kimapinduzi...". Sasa ivo vikaratasi tunavyosubiria tukishapiga kura naona kama ni kujifurahisha tuu au kubuy time kwa maneno ya mitaani.

Wananchi wanatakiwa kujipanga na kufuata yale ya maneno ya Nyerere "mkiwa woga, mtatawaliwa na madikteta...". Lakini nahisi kwa nilichoshuhudia tokea 1992 - 2020, sijaona mabadiliko yoyote katika mfumo wa kuendesha nchi pamoja na uchaguzi wake.

Nionacho ni sawa na kucheza mechi ya mpira, halafu timu moja iko ugenini (wapinzani). Wenyeji wako uwanja wao, referee na wasaidizi, mpira wenyewe vyote ni vya wenyeji.....Tena mechi ikianza referee anatoa penalti kwa mwenyeji baada ya wachezaji kujitupa nje ya boksi na kufunga magoli ya penalti na kuanza kusherehekea.

Mpira ukimaliza mwenyeji anaanza kutoa pongezi kwa walioandaa mechi (hotuba ya bunge ya JPM).

Maasalaam
 
Kesi za ICC huwa haziozi. Hata miaka 50 ijayo, kama watakuwa hai, watapelekwa tu huko...
Vibaraka wa Jiwe mnahangaika kweli , wewe na wenzio mlitekeleza mauaji kwa maagizo ya Mhutu jiandaeni kwenda huko The Hague , unasema tu kesi haiwezi kufunguliwa provide concrete evidence , kesi itafunguliwa na mtapelekwa huko time will tell .
 
Hivi watu WOTE waliouawa. na wengine Kutiwa vilema vya maisha haswa wazanzibari wewe unaona ni jambo dogo?
WEWE subiri Ndio utajua vilio vya watoto yatima ni vibaya sana
You can't kill a lot of innocent people like this and you say there were nothing happened
Hata Kama sio ICC lakini mimi naamini haki itatendeka just a matter of time
 
Milango yote mkifunga, wananchi watachukuwa hatua mikononi mwao. Na wameanza... Ma-DED wahamishieni Ikulu Chamwino na familia zao kwa usalama wao.
Waliofanya matukio hayo ni wahalifu Kama wahalifu wengine tu na watachukuliwa hatua za kuharibu Mali na hopeful watafungua jela miaka mingi tu hakuna issue ya siasa hapo sahau kabisa
 
Kuna watz wanafikiri kwa kupeleka documents zao huko ICC basi ndiyo Tanzania itafunguliwa kesi na viongozi kushitakiwa hilo naomba mlisahau kabisa maana vigezo vya mashitaka kufunguliwa havipo kabisa

Nashukuru ICC wamewajibu kupokea hizo nyaraka mlizotuma ili kuwatia moyo na kupunguza kelele nchini

Ngoja tujipange kujenga nchi na kufanya Tanzania kufika viwango vikubwa kiuchumu zaidi ya viwango vya Sasa.

Watz wamepiga kura kwa usalama kabisa na hakuna kibaya kilichotokea na Kama Kuna yoyote ambaye alipambana na vyombo vya dola ni wale ambao walizuia vyombo vya dola kufanya kazi yake kwa mujibu wa sheria.

Nawashauri watz kujipanga kwa uchaguzi wa 2025 Ila uchuguzi wa 2020 huu umeshamalizika na matokeo yake kila mmoja anaujua 84%
 
Vibaraka wa Jiwe mnahangaika kweli , wewe na wenzio mlitekeleza mauaji kwa maagizo ya Mhutu jiandaeni kwenda huko The Hague , unasema tu kesi haiwezi kufunguliwa provide concrete evidence , kesi itafunguliwa na mtapelekwa huko time will tell .
Hakuna kesi ndugu yangu wewe hope moyo tu keep this comment
 
Aliyefanya hivi ni muhalifu tu Kama muhalifu mwingine yoyote wa Mali za mtu
 
Back
Top Bottom