ICC yakiri kupokea rasmi malalamiko kutoka Tanzania juu ya ukiukwaji wa haki za binadamu wakati wa uchaguzi uliopita

Mkuu ushauri Kama huu ,ilo kundi la pili hawapendagi sikia, na Sasa tunasogea pabaya bado lipo kwa kwa kujifariji na kuponda tu,but nafikili ipo siku, watakuja elewa,
Tunawambia wananchi wanahasira japo wapo kimia ,hawaelewi hao mpaka ziwatoke masikioni
 
Wenyewe wanasema JPM kawabeba!kumbe wizi mtupu! Hahahahah
 

Hakuna jipya huko. Nyie endeleeni kujifariji tuu☺☺
 
Wanaongoza nchi kama unaongoza familia yaan tushachelewa yaan sijui nani atakayekuja kuwaonganisha Tz kama zamani
 
The Question is, these barking dogs have ever reported these allegations to the Institutions Concerned!? Wametoa ushirikiano ili ku investigate Malalamiko yao na hivyo vyombo vimepuuzia kushughulikia
Mi pia hoja yangu iko hapa. Kwamba hujapeleka shauri lako mahakama za ndani zikakufanyia mizengwe au zikakunyima ushirikiano halafu uamke tu na kukimbilia ICC! Sidhani kama mashtaka yao yatafanyiwa kazi zaidi ya kurudishwa huku
 
Hizi ni za ACT na Maria Sarungi kwa hiyo bado ya Robert Amsterdam hapa kuna kazi kubwa sana
 
Kuna watz wanafikiri kwa kupeleka documents zao huko ICC basi ndiyo Tanzania itafunguliwa kesi na viongozi kushitakiwa hilo naomba mlisahau kabisa maana vigezo vya mashitaka kufunguliwa havipo kabisa

Nashukuru ICC wamewajibu kupokea hizo nyaraka mlizotuma ili kuwatia moyo na kupunguza kelele nchini

Ngoja tujipange kujenga nchi na kufanya Tanzania kufika viwango vikubwa kiuchumu zaidi ya viwango vya Sasa.

Watz wamepiga kura kwa usalama kabisa na hakuna kibaya kilichotokea na Kama Kuna yoyote ambaye alipambana na vyombo vya dola ni wale ambao walizuia vyombo vya dola kufanya kazi yake kwa mujibu wa sheria.

Nawashauri watz kujipanga kwa uchaguzi wa 2025 Ila uchuguzi wa 2020 huu umeshamalizika na matokeo yake kila mmoja anaujua 84%
 
Wenyewe wanasema JPM kawabeba!kumbe wizi mtupu! Hahahahah
Wanachanganya Kati ya CCM na Tanzania na wakati Tanzania ni nchi na haitowezekana CCM kuwa Tanzania
Kama hutaki kukosolewa kaongoze familia yako na kujenga madaraja kununua madege haikufanyi uuwe watu uibe kura ukamate watu
 
Unaongea na mimi au unaongea na simu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…