Achana lao unaangaika nalo la Nini...Hakuna kesi ICC ya TzHili bandiko ushenzi mtupu
No fact
No reference
Just stupidity
Ndicho kitakachotokea ila watu watatoa povu na kujipa false hopes. Watu ‘wamegoma’ kuandamana na hapa hakuna ICC wala ‘beberu’ yeyote atakayekuja kutusaidia.Vitendo vilivyotokea havina uzito wa kuingiliwa na mahakama za kimataifa - ni migogoro midogo iwezayo kumalizwa na mahakama za ndani ya nchi
Nakuonea huruma sana ila tambua tu, kwa ushahidi uliokusanywa na ulivyo wa uhakika Magufuli, Diwani Athumani, SIMON Sirro, Venance Mabeyo, Heri James, Bashiru Ally ni watuhumiwa watarajiwa wa ICC.Kuna watz wanafikiri kwa kupeleka documents zao huko ICC basi ndiyo Tanzania itafunguliwa kesi na viongozi kushitakiwa hilo naomba mlisahau kabisa maana vigezo vya mashitaka kufunguliwa havipo kabisa
Nashukuru ICC wamewajibu kupokea hizo nyaraka mlizotuma ili kuwatia moyo na kupunguza kelele nchini
Ngoja tujipange kujenga nchi na kufanya Tanzania kufika viwango vikubwa kiuchumu zaidi ya viwango vya Sasa.
Watz wamepiga kura kwa usalama kabisa na hakuna kibaya kilichotokea na Kama Kuna yoyote ambaye alipambana na vyombo vya dola ni wale ambao walizuia vyombo vya dola kufanya kazi yake kwa mujibu wa sheria.
Nawashauri watz kujipanga kwa uchaguzi wa 2025 Ila uchuguzi wa 2020 huu umeshamalizika na matokeo yake kila mmoja anaujua 84%
Vitendo vilivyotokea havina uzito wa kuingiliwa na mahakama za kimataifa - ni migogoro midogo iwezayo kumalizwa na mahakama za ndani ya nchi
Sisi tupo very active kwenye mitandao ya kijamii. Watu wanahamasisha maandamano huku wao wakiwa wamekaa sitting room zao wakigonga mvinyo.Huu upuuzi unaofanywa na serekali ya TZ inawezekana bongo tuu, ingekuwa Liberia, Nigeria, Cameroo n.k Sasa ivi tungeshaona wanaume wakitema cheche!Wabongo ni lege lege sana kama alivyosema Alhaj Kikwete mara moja...
Watimize watie ushirikiano, then swala lisiposhughulukiwa ndo walalamike.Hii inaonyesha wazi kuwa vyombo vya dola haviaminiki Tanzania?..
Vyombo vya usalama vimeegemea upande mmoja,upande wa Chama tawala,.
Uzuri wa safari za huko; swala la nauli na visa hawakuulizi.Sawa mkuu, tusubiri kuanza safari za uholanzi sasa🤣
Mshahara wa dhambi huwa ni aibu.. kweli majuto ni mjukuu.Mashtaka hamjapeleka mahakama za ndani yakashindwa kushughulikiwa mnadhani ICC wanawasaidiaje hapa!
Dadek kukosa ile miposho ya bungeni sio mchezo, time hii mtaenda kwa kila mganga mnaeweza kumfikia
Hakuna demokrasia isiyo na mipaka dogo hapa duniani!! Hapa USA ambako wameanza kupratise demokrasi miaka mingi lakini bado wanalalamika tu. Trump na group lake baada ya kushindwa naye analalamika kuwa hakuna demokrasia kwenye uchaguzi uliyopita!
Mlihangaika hivihivi na uchaguzi mkashindwa, mkahangaika tena hivihivi kuingiza watu barabarani mkashindwa sasa endeleeni kuhangaika na II
Mama D tubet, uchaguzi urudiwe wa huru na haki kwa sharti moja tu wagombea wapige kampeni ya wiki moja tu then tuone, si mnasingiziwa kwamba mlikwiba kura, na wapiga kura si ni walewale, rudisheni ngoma uwanjani ichezwe, kwa nini kuandikia mate na wino upo?Mlihangaika hivihivi na uchaguzi mkashindwa, mkahangaika tena hivihivi kuingiza watu barabarani mkashindwa sasa endeleeni kuhangaika na ICC
Watanzania tulishakataa, kwanza hatuongozwi kwa viingereza
Mama D tubet,uchaguzi urudiwe wa huru na haki kwa shart moja tu wagombee wapige kampeni ya wiki moja tu then tuone,si mnasingiziwa kwamba mlikwiba kura , na wapiga kura si ni walewale, ludisheni ngoma uanjani ichezwe ,kwa nini kuandikia mate na wino upo,
uhalifu wa kivita,
Ni vita gani imetokea nchini?
Itafute katiba yako uone ipo katika lugha gani basically. .... kiswahili ni translations tu.
Technology zote utumiazo in English or Chinese etc
Kujifaraguwa kwa kukwepa ukweli nikichekesho.
Mmmh, Waafrika chini ya Jangwa la Sahara tuna matatizo Sana..Watimize watie ushirikiano, then swala lisiposhughulukiwa ndo walalamike.
Jambo jema aya hata Mimi ningependa JPM ashinde kwa asilimia zaidi ya mia Sasa ITISHENI uchaguzi ili wakomeshwe wanaowasingizia Mara oh mlikwiba, twendeni kwenye uchaguzi wa marudio mkuu mama D.CCM hata wasipopiga kampeni, hata CCM wasipoweka mawakala, hata mawakala wenu wawe kina amstadam tuu Magufuli anashindaaa tena sio kwa 84% tena sasa itakua kwa 94%
Chadema hadi sasa hamuwajui watanzania. Siku mtakapojua wapiga kura wanataka nini, ndio siku mtayoshinda
Political persecution itawapoteza MaCCM ...haina tofauti na ApertheidUtasubiri Sana brother, nenda kasome vizuri jurisdiction ya hiyo Mahakama and under what curcumstances inaweza ku assume Majukumuu ambayo kimsingi yanapaswa kushughulikiwa na Nchi huska. By the way, hizi ni porojo na Namna ya kujicomfort baada ya kipigo cha Mbwa Koko.
Vitu vingine viko wazi. Take your time, Isomeke hiyo Mahakama, Soma crimes it has jurisdiction to try and kwa Mazingira gani inaweza ku intervene.
Mwisho kabisa, hii Mahakama imeshapoteza Credibility siku nyingi Sana, it is more or less like other Imperialism Machinery and every one's knows that!
Otherwise, endeleni kujifafiji Kama Kawaida yenu!
Wewe kama nani?Kuna wajinga humu wanadanganyana hiyo mahakama haiwezi kuwashughulikia watesi wetu, waacheni waendelee kudanganyana.
Wajue fika watapandishwa kizimbani hata kama ni baada ya miaka kumi, kuwa kwao madarakani sasa hivi kusiwadanganye, hiyo siku yaja, watavuna walichopanda.
Neno "Communication" kwa wale msiojua linamaanisha Hati ya Mashtaka. Hii ni lugha yao kwenye hiyo mahakama.
Msije kudhani linamaanisha mawasiliano.
Uchaguzi umekwisha!Jambo jema aya hata Mimi ningependa jpm ashinde kwa asilimia zaidi ya mia Sasa ITISHENI uchaguzi ,ili wakomeshwe wanaowasingizia Mara oh mlikwiba,
Twendeni kwenye uchaguzi wa marudio mkuu mama D,